Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ccm have been doing that for years lakin watu wanajifanya hawaoniWapinzani wamegeuza siasa kuwa biashara... I hate them
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm have been doing that for years lakin watu wanajifanya hawaoniWapinzani wamegeuza siasa kuwa biashara... I hate them
NI wajinga haswaHiyo inakuletea ugali mezani kwako siyo?
Maccm mbona mnakuwa mapunga..?
Kwani hiyo Ina shida Gani dogo??Hasa kwenye nafasi ya Urais..
wanasubiri mistakes za serikali ndipo wareact...
Hawana na hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya vyama vyao wala nje ya vyama vyao wanajipiga kifua tu, safari hii sijui nini na nini huko, siku imeisha....
Hawana agenda, mipango mikakati mbadala, wala sababu za kuwashawishi wananchi wawakatae viongozi walioko mamlakani kwasababu mambo mengi yametekelezwa vizuri sana kwa uhakika na serikali iliyopo madarakani..
Hawana imani wala uhakika na wagombea wao nafasi mbalimbali kama vile wenyeviti wa mitaa na vijiji, madiwani, wabunge na hata Rais. Ni wagombea wao, wana hofu nao na wengi wao wanaitwa mamluki 🤣
Hawana uhakika wa kushinda nafasi yoyote ya uongozi katika uchaguzi wa ngazi yoyote.
Na maandalizi yao kwasasa ni kuandaa na kubuni sababu za kuwaeleza na kuwatuliza wanachama wao kwanini washindwa vibaya uchaguzi huo, kama kisingizio cha kuwatuliza na kuwapa moyo wafuasi na wanachama wao dhidi ya fedheha hiyo 🐒
Nini maoni yako kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na baadae uchaguzi mkuu mwaka ujao?
Kwani Kuna shida Gani ikiwa ccm itashinda kihalali 95% au hamjiaminini katika kuweka record sawa tu,
isije inaonekana hatukusema wala kutoa tahadhari mapema mwisho wa siku 🐒
Hoja zako zingekuwa na mashiko iwapo Polisi na Tume wangekaa pembeni tuone game halali kati ya CCM na CHADEMA. sasa hivi huwezi pata tathmini sahihi.Hasa kwenye nafasi ya Urais..
wanasubiri mistakes za serikali ndipo wareact...
Hawana na hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya vyama vyao wala nje ya vyama vyao wanajipiga kifua tu, safari hii sijui nini na nini huko, siku imeisha....
Hawana agenda, mipango mikakati mbadala, wala sababu za kuwashawishi wananchi wawakatae viongozi walioko mamlakani kwasababu mambo mengi yametekelezwa vizuri sana kwa uhakika na serikali iliyopo madarakani..
Hawana imani wala uhakika na wagombea wao nafasi mbalimbali kama vile wenyeviti wa mitaa na vijiji, madiwani, wabunge na hata Rais. Ni wagombea wao, wana hofu nao na wengi wao wanaitwa mamluki 🤣
Hawana uhakika wa kushinda nafasi yoyote ya uongozi katika uchaguzi wa ngazi yoyote.
Na maandalizi yao kwasasa ni kuandaa na kubuni sababu za kuwaeleza na kuwatuliza wanachama wao kwanini washindwa vibaya uchaguzi huo, kama kisingizio cha kuwatuliza na kuwapa moyo wafuasi na wanachama wao dhidi ya fedheha hiyo 🐒
Nini maoni yako kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na baadae uchaguzi mkuu mwaka ujao?
wewe unafanya kipiHasa kwenye nafasi ya Urais..

mnaandaa mazingira ya kuiba kurani katika kuweka record sawa tu,
isije inaonekana hatukusema wala kutoa tahadhari mapema mwisho wa siku 🐒
mwaka ujao ni 5% wapinzani kwa ujumla wao, chukua hii iweke kama kumbukumbu itakusaidia 🐒Kwani hiyo Ina shida Gani dogo??
Kama jamii inataka iwe hivyo Kuna ubaya Gani! Au unaupenda upinzani uko ccm kwa ajili ya maokoto??
Huna kazi za kufanya Kila siku upinzani tu
Kwa taarifa yako 1995 upinzani ulishinda haukutangazwa
2020 upinzani zenji ulishinda haukutangazws
2025 upinzani zenji ulishinda haukutangazwa
2010 slaa alishinda hakutangazwa
Lowasa alishinda hakutangazwa
2015
2020 lissu alishinda hakutangazwa
Katika mazingira kama haya ya tutegeemee udanganyifu tu
Kama ccm itashinda kwa 95% alafu umasikini na tozo zikiondoka kwa 95% hakuna shida dogomwaka ujao ni 5% wapinzani kwa ujumla wao, chukua hii iweke kama kumbukumbu itakusaidia 🐒
Kidumu chama cha mapinduzi!CCM chama dume ,chama imara ,chama makini na chama cha siasa sio chama cha kukopeshanaHasa kwenye nafasi ya Urais..