Kwa hapa alipofikia Tundu Lissu, elimu yake Sheria imefika mwisho, haiwezi tena kumsaidia

Warue

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2012
Posts
424
Reaction score
810
"No one is above the laws of the country".

Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug interactions with human cells" iliotumika kukutibu, lakini, tunaheshimu sheria za nchi na kuwatii viongozi wetu. Kwa wasioijua schrodingers equation rejea hii hapa chini.

1598292300189.png

​
Sasa, uitumie kuelezea dawa inavyofanya kazi mwilini mpaka mtu anapona, sio kazi rahisi. Kusoma sheria kusikufanye kuwa na haki ya kupanda juu ya sheria za nchi, kuna watu wamebobea kwenye mwili wako na sheria zako. Technical, you are out of the system na no law firm will help get back.

Kwa hapa alipofikia Lisu, hakuna namna, jioni ya leo kibaridi kimeanza kuwaingia taratibu kabla NEC kufanya maamuzi yao ya mwisho kesho. Wagombea woooote ikiwa pamoja na rais wa nchi wamepita kimya kimya, wala hatukujua wamepita lini. Zito Kabwe pomoja na kimodomo mdomo chake hujamsikia kafika kigoma lini na Membe wake, lakini wewe "debe tupu" uliamua kupiga kelele za kila namna, bila kujali sheria za nchi, ukatanguliza lawama zisozo na msingi kama mwanamke. Ama kweli elimu haina mwisho, sasa ukumbuke tu kwamba "No one is above the law", Lazima uning'inizwe na usituingize kwa matatizo yako ya utovu wa nidhamu.

Ukumbuke tu kwamba matatizo yako sio ya muungano wala ushirika, na hatusiki kwa namna ya yoyote ile na tabia yako isiyofaa kwa jamii ya watanzania. Baada ya kukatwa, ubebe msalaba wako mwenyewe, ukiamua kurudi Ubelgiji kwa wakina Amstaderm sawa tu ukiamua kupambana na Mbowe kwenye uwenyekiti wa chama sawa tu utajijua mwenyewe.

Mwisho, kumbuka kwamba "you are now in different jurisdiction" na Tanzania ni nchi huru isiotisika na kampuni ya uwakili.

Tukutane kesho!
 
No one is above the law? Vipi jiwe kumteua mwanasheria mkuu wa serikali bila kuzingatia sheria za utumishi? Vipi kuhusu tundu lisu kunyimwa stahiki zake za matibabu bila kujari sherja inasemaje?

Vipi DPP kufunga jarada la Aquilina bila kuwafikisha mahakamani watuhumiw? Elimu yako ya kusoma sijui schikolonyoko haihakusaidia, wana tumeyasoma yote hayo mautumbo yako lakini bado tunaamini binadamu wote ni sawa.
 
Duuh!
Kwa hivyo kesho wanapokea fomu na kutangaza kabisa nani wamekatwa na nani wamepitishwa kuwa wagombea?
 
No one is above the law? Vipi jiwe kumteua mwanasheria mkuu wa serikali bila kuzingatia sheria za utumishi? Vipi kuhusu tundu lisu kunyimwa stahiki zake za matibabu bila kujari sherja inasemaje? Vipi DPP kufunga jarada la Aquilina bila kuwafikisha mahakamani watuhumiw? Elimu yako ya kusoma sijui schikolonyoko haihakusaidia, wana tumeyasoma yote hayo mautumbo yako lakini bado tunaamini binadamu wote ni sawa.
Hivi vyote vimefanywa kwa mujibu wa sheria za nchi, ulitaka avunje katiba?
 
Yaani nilivyoona calculus nikajua ntakutana na hoja fananizi na zenye mantiki.....kumbe ni hoja isiyo na mashiko wala muelekeo wa kisheria.

Kuzunguka kwake Kwa kelele amekuwa juu ya Sheria ipi...tuwekee na nukuu
 
Wapinzani wana hali mbaya sana hapa nchini, lakini hakuna namna hatuna la kuwasaidia kwasababu ngoma kwa DJ inasoma CCM mbele kwa mbele... Watu wanajifanya kama Tanzania hawaijui bhana, Hapa Chama pinzani ni No Way no Way...
Na wakuandamana barabarani nchi hii hakuna hahahahah
 
Juzi kati aliposhindwa ku'cite' sheria hata moja inayomruhusu kufanya alichofanya badala yake akatoa mifano isiyoeleweka; nikajua huyu yawezekana amefanya haya kwa makusudi ili atafute sababu ya kuanzisha vurugu nchini baada ya kuadhibiwa ama yawezekana kweli kitendo cha Chadema kumteua kimemlevya...sasa anajiona the smarter guy kumbe ni smelted guy kisiasa!
 
Kweli kwa miaka hii mitano umeamini kabisa no one is above the law?
Halafu tutolee upuuzi wako hapo sijui wa kutuwekea function hapo!
Kila mtu akiamua kutamba na elimu yake,hapatatosha hapa jf!
 
Kutoka kuamua kumuua Leo mmefikia kumkata! Kweli bado kama magoli mmefungwa mengi na LiSU
 
Juzi kati aliposhindwa ku'cite' sheria hata moja inayomruhusu kufanya alichofanya badala yake akatoa mifano isiyoeleweka; nikajua huyu yawezekana amefanya haya kwa makusudi ili atafute sababu ya kuanzisha vurugu nchini baada ya kuadhibiwa ama yawezekana kweli kitendo cha Chadema kumteua kimemlevya...sasa anajiona the smarter guy kumbe ni smelted guy kisiasa!
wew ni unajua zaid ya lissu
 
No one is above the law? Vipi jiwe kumteua mwanasheria mkuu wa serikali bila kuzingatia sheria za utumishi? Vipi kuhusu tundu lisu kunyimwa stahiki zake za matibabu bila kujari sherja inasemaje?

Vipi DPP kufunga jarada la Aquilina bila kuwafikisha mahakamani watuhumiw? Elimu yako ya kusoma sijui schikolonyoko haihakusaidia, wana tumeyasoma yote hayo mautumbo yako lakini bado tunaamini binadamu wote ni sawa.

Acha kuongea na huyo Kasuku
 
"No one is above the laws of the country".

Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug interactions with human cells" iliotumika kukutibu, lakini, tunaheshimu sheria za nchi na kuwatii viongozi wetu. Kwa wasioijua schrodingers equation rejea hii hapa chini.

Sasa, uitumie kuelezea dawa inavyofanya kazi mwilini mpaka mtu anapona, sio kazi rahisi. Kusoma sheria kusikufanye kuwa na haki ya kupanda juu ya sheria za nchi, kuna watu wamebobea kwenye mwili wako na sheria zako. Technical, you are out of the system na no law firm will help get back.

Kwa hapa alipofikia Lisu, hakuna namna, jioni ya leo kibaridi kimeanza kuwaingia taratibu kabla NEC kufanya maamuzi yao ya mwisho kesho. Wagombea woooote ikiwa pamoja na rais wa nchi wamepita kimya kimya, wala hatukujua wamepita lini. Zito Kabwe pomoja na kimodomo mdomo chake hujamsikia kafika kigoma lini na Membe wake, lakini wewe "debe tupu" uliamua kupiga kelele za kila namna, bila kujali sheria za nchi, ukatanguliza lawama zisozo na msingi kama mwanamke. Ama kweli elimu haina mwisho, sasa ukumbuke tu kwamba "No one is above the law", Lazima uning'inizwe na usituingize kwa matatizo yako ya utovu wa nidhamu.

Ukumbuke tu kwamba matatizo yako sio ya muungano wala ushirika, na hatusiki kwa namna ya yoyote ile na tabia yako isiyofaa kwa jamii ya watanzania. Baada ya kukatwa, ubebe msalaba wako mwenyewe, ukiamua kurudi Ubelgiji kwa wakina Amstaderm sawa tu ukiamua kupambana na Mbowe kwenye uwenyekiti wa chama sawa tu utajijua mwenyewe.

Mwisho, kumbuka kwamba "you are now in different jurisdiction" na Tanzania ni nchi huru isiotisika na kampuni ya uwakili.

Tukutane kesho!
Yaan makanuni uchwara ya ccm mnataka kuyaingiza NEC ,hio kufanya kampeni kabla ya mda ni huko ccm only
 
MATAGA mnaangaika mno
 
Back
Top Bottom