Hivi vyote vimefanywa kwa mujibu wa sheria za nchi, ulitaka avunje katiba?
Brother out of politik ni kweli kabisa Lissu hajui sheria!?Lissu na mikwara ya kuijua sheria
We boya uliyesoma mambo magumu Upo wapi sasa...eti umesoma mambo magumu halaf unakuwa Fala hivi, duh🤣"No one is above the laws of the country".
Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug interactions with human cells" iliotumika kukutibu, lakini, tunaheshimu sheria za nchi na kuwatii viongozi wetu. Kwa wasioijua schrodingers equation rejea hii hapa chini.
Sasa, uitumie kuelezea dawa inavyofanya kazi mwilini mpaka mtu anapona, sio kazi rahisi. Kusoma sheria kusikufanye kuwa na haki ya kupanda juu ya sheria za nchi, kuna watu wamebobea kwenye mwili wako na sheria zako. Technical, you are out of the system na no law firm will help get back.
Kwa hapa alipofikia Lisu, hakuna namna, jioni ya leo kibaridi kimeanza kuwaingia taratibu kabla NEC kufanya maamuzi yao ya mwisho kesho. Wagombea woooote ikiwa pamoja na rais wa nchi wamepita kimya kimya, wala hatukujua wamepita lini. Zito Kabwe pomoja na kimodomo mdomo chake hujamsikia kafika kigoma lini na Membe wake, lakini wewe "debe tupu" uliamua kupiga kelele za kila namna, bila kujali sheria za nchi, ukatanguliza lawama zisozo na msingi kama mwanamke. Ama kweli elimu haina mwisho, sasa ukumbuke tu kwamba "No one is above the law", Lazima uning'inizwe na usituingize kwa matatizo yako ya utovu wa nidhamu.
Ukumbuke tu kwamba matatizo yako sio ya muungano wala ushirika, na hatusiki kwa namna ya yoyote ile na tabia yako isiyofaa kwa jamii ya watanzania. Baada ya kukatwa, ubebe msalaba wako mwenyewe, ukiamua kurudi Ubelgiji kwa wakina Amstaderm sawa tu ukiamua kupambana na Mbowe kwenye uwenyekiti wa chama sawa tu utajijua mwenyewe.
Mwisho, kumbuka kwamba "you are now in different jurisdiction" na Tanzania ni nchi huru isiotisika na kampuni ya uwakili.
Tukutane kesho!
"No one is above the laws of the country".

Sasa mkuu hapo ulipo sura yako unaiweka wapi? Na jamaa bado ameibuka na mapingamizi ya kisheria ambayo, hata yakipuuzwa lakini, yana mantiki!! Tatizo lenu kila jambo ni mihemko tu, lisu ndio alivyozaliwa hivyo ana akili za kizungu, hataki kuburuzwa kwa kitu anachokiamini, ammbacho kwa waafrika wengi hatuna, ndio maana anaonekana mkorofi!! Lakini kwa wenye akili kama zake, anaonekana kawaida tu."No one is above the laws of the country".
Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug interactions with human cells" iliotumika kukutibu, lakini, tunaheshimu sheria za nchi na kuwatii viongozi wetu. Kwa wasioijua schrodingers equation rejea hii hapa chini.
Sasa, uitumie kuelezea dawa inavyofanya kazi mwilini mpaka mtu anapona, sio kazi rahisi. Kusoma sheria kusikufanye kuwa na haki ya kupanda juu ya sheria za nchi, kuna watu wamebobea kwenye mwili wako na sheria zako. Technical, you are out of the system na no law firm will help get back.
Kwa hapa alipofikia Lisu, hakuna namna, jioni ya leo kibaridi kimeanza kuwaingia taratibu kabla NEC kufanya maamuzi yao ya mwisho kesho. Wagombea woooote ikiwa pamoja na rais wa nchi wamepita kimya kimya, wala hatukujua wamepita lini. Zito Kabwe pomoja na kimodomo mdomo chake hujamsikia kafika kigoma lini na Membe wake, lakini wewe "debe tupu" uliamua kupiga kelele za kila namna, bila kujali sheria za nchi, ukatanguliza lawama zisozo na msingi kama mwanamke. Ama kweli elimu haina mwisho, sasa ukumbuke tu kwamba "No one is above the law", Lazima uning'inizwe na usituingize kwa matatizo yako ya utovu wa nidhamu.
Ukumbuke tu kwamba matatizo yako sio ya muungano wala ushirika, na hatusiki kwa namna ya yoyote ile na tabia yako isiyofaa kwa jamii ya watanzania. Baada ya kukatwa, ubebe msalaba wako mwenyewe, ukiamua kurudi Ubelgiji kwa wakina Amstaderm sawa tu ukiamua kupambana na Mbowe kwenye uwenyekiti wa chama sawa tu utajijua mwenyewe.
Mwisho, kumbuka kwamba "you are now in different jurisdiction" na Tanzania ni nchi huru isiotisika na kampuni ya uwakili.
Tukutane kesho!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]eti shikolokonyoNo one is above the law? Vipi jiwe kumteua mwanasheria mkuu wa serikali bila kuzingatia sheria za utumishi? Vipi kuhusu tundu lisu kunyimwa stahiki zake za matibabu bila kujari sherja inasemaje?
Vipi DPP kufunga jarada la Aquilina bila kuwafikisha mahakamani watuhumiw? Elimu yako ya kusoma sijui schikolonyoko haihakusaidia, wana tumeyasoma yote hayo mautumbo yako lakini bado tunaamini binadamu wote ni sawa.
Wewe ni limbukeni....kitendo cha kutukana wanawake kinaonesha ni kiasi gani ulivyo bogus....na kielimu chako cha kukariri..kaa ukijua humu ndani kuna watu makini sana"No one is above the laws of the country".
Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug interactions with human cells" iliotumika kukutibu, lakini, tunaheshimu sheria za nchi na kuwatii viongozi wetu. Kwa wasioijua schrodingers equation rejea hii hapa chini.
Sasa, uitumie kuelezea dawa inavyofanya kazi mwilini mpaka mtu anapona, sio kazi rahisi. Kusoma sheria kusikufanye kuwa na haki ya kupanda juu ya sheria za nchi, kuna watu wamebobea kwenye mwili wako na sheria zako. Technical, you are out of the system na no law firm will help get back.
Kwa hapa alipofikia Lisu, hakuna namna, jioni ya leo kibaridi kimeanza kuwaingia taratibu kabla NEC kufanya maamuzi yao ya mwisho kesho. Wagombea woooote ikiwa pamoja na rais wa nchi wamepita kimya kimya, wala hatukujua wamepita lini. Zito Kabwe pomoja na kimodomo mdomo chake hujamsikia kafika kigoma lini na Membe wake, lakini wewe "debe tupu" uliamua kupiga kelele za kila namna, bila kujali sheria za nchi, ukatanguliza lawama zisozo na msingi kama mwanamke. Ama kweli elimu haina mwisho, sasa ukumbuke tu kwamba "No one is above the law", Lazima uning'inizwe na usituingize kwa matatizo yako ya utovu wa nidhamu.
Ukumbuke tu kwamba matatizo yako sio ya muungano wala ushirika, na hatusiki kwa namna ya yoyote ile na tabia yako isiyofaa kwa jamii ya watanzania. Baada ya kukatwa, ubebe msalaba wako mwenyewe, ukiamua kurudi Ubelgiji kwa wakina Amstaderm sawa tu ukiamua kupambana na Mbowe kwenye uwenyekiti wa chama sawa tu utajijua mwenyewe.
Mwisho, kumbuka kwamba "you are now in different jurisdiction" na Tanzania ni nchi huru isiotisika na kampuni ya uwakili.
Tukutane kesho!
Kama una hakika na ulicho andika nenda kwenye chombo kinacho tafasiri sheria na kutoka haki kwa mujibu wa sheria. Kinaitwa the Court of Law.No one is above the law? Vipi jiwe kumteua mwanasheria mkuu wa serikali bila kuzingatia sheria za utumishi? Vipi kuhusu tundu lisu kunyimwa stahiki zake za matibabu bila kujari sherja inasemaje?
Vipi DPP kufunga jarada la Aquilina bila kuwafikisha mahakamani watuhumiw? Elimu yako ya kusoma sijui schikolonyoko haihakusaidia, wana tumeyasoma yote hayo mautumbo yako lakini bado tunaamini binadamu wote ni sawa.
Katika michango yote interest yangu huwa iko kwenye 'reasoning' - namna gani tunaweza kufikia hitisho kutokana na hoja mchangiaji alizozitoa. Hapa sijaona hoja yenye ushawishi na inayoendana na hitimisho lako."No one is above the laws of the country".
Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug interactions with human cells" iliotumika kukutibu, lakini, tunaheshimu sheria za nchi na kuwatii viongozi wetu. Kwa wasioijua schrodingers equation rejea hii hapa chini.
Sasa, uitumie kuelezea dawa inavyofanya kazi mwilini mpaka mtu anapona, sio kazi rahisi. Kusoma sheria kusikufanye kuwa na haki ya kupanda juu ya sheria za nchi, kuna watu wamebobea kwenye mwili wako na sheria zako. Technical, you are out of the system na no law firm will help get back.
Kwa hapa alipofikia Lisu, hakuna namna, jioni ya leo kibaridi kimeanza kuwaingia taratibu kabla NEC kufanya maamuzi yao ya mwisho kesho. Wagombea woooote ikiwa pamoja na rais wa nchi wamepita kimya kimya, wala hatukujua wamepita lini. Zito Kabwe pomoja na kimodomo mdomo chake hujamsikia kafika kigoma lini na Membe wake, lakini wewe "debe tupu" uliamua kupiga kelele za kila namna, bila kujali sheria za nchi, ukatanguliza lawama zisozo na msingi kama mwanamke. Ama kweli elimu haina mwisho, sasa ukumbuke tu kwamba "No one is above the law", Lazima uning'inizwe na usituingize kwa matatizo yako ya utovu wa nidhamu.
Ukumbuke tu kwamba matatizo yako sio ya muungano wala ushirika, na hatusiki kwa namna ya yoyote ile na tabia yako isiyofaa kwa jamii ya watanzania. Baada ya kukatwa, ubebe msalaba wako mwenyewe, ukiamua kurudi Ubelgiji kwa wakina Amstaderm sawa tu ukiamua kupambana na Mbowe kwenye uwenyekiti wa chama sawa tu utajijua mwenyewe.
Mwisho, kumbuka kwamba "you are now in different jurisdiction" na Tanzania ni nchi huru isiotisika na kampuni ya uwakili.
Tukutane kesho!
Huna akili..Kama una hakika na ulicho andika nenda kwenye chombo kinacho tafasiri sheria na kutoka haki kwa mujibu wa sheria. Kinaitwa the Court of Law.