Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

Ila kuna mboga unawaza binadamu alikuwa anatafuta nini! Kuna mgagani, mnavu na mchunga๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
 
Nikupikie? Nenda shishi food
Aaah lamomy ๐Ÿ˜‹ Lamomy
Screenshot_20250304-181701~2.jpg
 
Wakuu

Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?

Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.View attachment 3265940
Ezisaga๐Ÿ˜… a.k.a gwata kumutwe! Hiyo mboga enzi zetu ilikuwa ikipikwa nyumbani watoto wote wakati wa kula basi mkono shavuni kama tumefiwa๐Ÿ˜… ni chungu balaa hasa ukiikosea kuipika( mkuu umenikumbusha mbali sana....!! Maisha haya nyie acheni jamani. Ni tiba nzuri pia
 
Back
Top Bottom