Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

Nenda Mbezi luis karibu na shule ya msingi njia ya kwenda Goba kuna soko la mbogamboga pale kuna aina zote za mboga utapata.
 
Kuna Jamaa Kwao Bukoba Anasema Mgagani, Mnavu Ni Mboga Lakini Pia Dawa
Ndio ni dawa mgaagani (omusaga) kwa watoto waliokuwa wanaumwa minyoo(nyakanyo)walikuwa waiponda kwa mkono kuifikicha ule mchuzi wanawekewa mataqoni dawa nzuri sana hiyo hukuti mtoto akijikuna kuna huko komesha kabisa
 
Back
Top Bottom