Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

Wakuu

Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?

Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.View attachment 3265940
EzisagaπŸ˜… a.k.a gwata kumutwe! Hiyo mboga enzi zetu ilikuwa ikipikwa nyumbani watoto wote wakati wa kula basi mkono shavuni kama tumefiwaπŸ˜… ni chungu balaa hasa ukiikosea kuipika( mkuu umenikumbusha mbali sana....!! Maisha haya nyie acheni jamani. Ni tiba nzuri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…