Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

Kila ng'ombe huwa anayo au na huweza toa gram ngapi kwa ng'ombe mmoja?
Syo kila ngombe anayo kikubwa kila unapochinja uwe makini tu kuangalia mkuu

Ova
 
Hii sijaisikia nilikua naijua ya pembe na nyeti ila kupatikana kwake kukanitatiza...
Labda nijaribu hiyo ya nyongo,
Sasa na wewe utachukua kwa bei hiyo au?
Mkuu ya pembe na nyeti za mnyama gani au binadamu @Hormet
 
Vyovyote vile ila ukiwa tayari na ukizipata tutajua tunafanyeje mkuu

Ova
 
Si unajua vyuma vimekazwa line zimezibwa Sasa tunarudia biashara za zamani mataita wenyewe wanataka mzigo huo....
Alafu China bei yake parefu sana mzee kuuza

Ova
 
Makavell changanya mbongo mkuu.
Hahaha wiki 3 zilizopita nlipata grm5
Sema unahitaji utolee macho sana
Na kama uko kwenye sekta ya mifugo unaweza piga bao....Sema watu wengi hawajui hii ishuu wanapiga kimya!

Ova
 
Jamaa kakwambia approx gr 5+ mi binafsi hiyo kitu sijawahi kuiona mkuu
Mimi nshakutana nayo labda Nna kismet I
Sema kwenye machinjio watu wanatoleaga macho sana

Ova
 
Bachelor sugu@ana connection nzuri ya kuzipata na mmoja namhakikishia %10000 anauza tena kwa pozzy kubwa

Ova
Mkuu sio kwamba nina connection ila kwa kuwa ni fursa lazima tuingie tupambane ila nimeshafanya shughuli ya kuchinja ng'ombe miaka ya 2000-2005 hivyo nina experience ya kutosha kuhusu mwili wa ng'ombe ila huku nilipo nitajaribu kufanya research ya hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…