Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Tukitaka maridhiano haikwepi Tundu Lissu na wengine walioko na kesi mahakamni zifutwe pia na waliotekwa serikali itoe maelezo ya kina kwa wananchi na hatua zilizochukuliwa za kiuwajibikaji kisha tusonge mbeleKuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni baba askofu mmoja, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
Ni kweli kabisa, tuemdelee na mambo mengine sasa maana kila siku kukicha Mo29Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni baba askofu mmoja, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
Kwa hiyo wakina Ali Kibao, Polepole, Soka, Mdude na wengine wengi waliopotezwa ndio inakuwa imeisha hivyo??Ni kweli kabisa, tuemdelee na mambo mengine sasa maana kila siku kukicha Mo29
Mnapoteza muda, ujumbe ushawafikia walengwa. Kama ni kusemwa vishasemwa sana, enough is enough. Mambo mengine yaendelee.Kwa hiyo wakina Ali Kibao, Polepole, Soka, Mdude na wengine wengi waliopotezwa ndio inakuwa imeisha hivyo??
Kuwatoa CHADEMA kwenye lawama ya Oktoba 29, nikama kubomoa msingi wa jengo. Chimbuko la haya yote, pamoja na mengine, ni malalamiko ya kukosekana kwa usawa katika chaguzi zetu. Hiki ndicho kilichopelekea kampeni ya "NO REFORMS, NO ELECTION" jambo lililopelekea kukamatwa na kushitakiwa kwa Tundu Lissu. Swali la msingi ni Je, CHADEMA wangekubali kuingia kwenye uchaguzi yaliyotokea yangetokea? Jibu dhahiri ni hapana! Sasa kwanini uwatoe kwenye lawama?Acha kuandika kiushabiki maandazi kiCCM, sema CHADEMA walaumiwe kwa sababu zipi, walihusikaje na mauaji ya October 2029.
Watu wa kuwajibishwa ni CCM na dola kwa utekaji, rushwa, kuharibu uchaguzi, kushindwa kushugulikia ajira kwa vijana na kuhusika na mauaji.
Kwani kuna mambo yamesimama? We can multitaskMambo mengine yaendelee.

Ungekuwa umepoteza ndugu yako au umekuwa kilema ungesema hivyo kirahisi tu??Mnapoteza muda, ujumbe ushawafikia walengwa. Kama ni kusemwa vishasemwa sana, enough is enough. Mambo mengine yaendelee.
Kama hao akina polepole wangekuwa bado kuna nia ya kuachiwa, angeachiw hata kabla ripoti ya Mo29 haijasomwa.
Kwa maoni yangu; Serikali ingemwachia tu Lissu na kufunga jalada lote la Oktoba 29. Sioni nia ya wazi ya kuwajibishana kikamilifu. Bora tukubali hili limetushinda, tuendelee tu na 4R zetu. Wahusika watawajibishwa siku ya kiama kwa haki na Mwenyezi Mungu mwenyewe.Tukitaka maridhiano haikwepi Tundu Lissu na wengine walioko na kesi mahakamni zifutwe pia na waliotekwa serikali itoe maelezo ya kina kwa wananchi na hatua zilizochukuliwa za kiuwajibikaji kisha tusonge mbele
Huu ni sawa na ujinga wa kumlaumu binti aliyebakwa kusema anawajibika kwa sababu alivaa nguo fupi, ni sawa na kumlaumu mtu aliyeibiwa kwa sababu hakufunga mlango.Kuwatoa CHADEMA kwenye lawama ya Oktoba 29, nikama kubomoa msingi wa jengo. Chimbuko la haya yote, pamoja na mengine, ni malalamiko ya kukosekana kwa usawa katika chaguzi zetu. Hiki ndicho kilichopelekea kampeni ya "NO REFORMS, NO ELECTION" jambo lililopelekea kukamatwa na kushitakiwa kwa Tundu Lissu. Swali la msingi ni Je, CHADEMA wangekubali kuingia kwenye uchaguzi yaliyotokea yangetokea? Jibu dhahiri ni hapana! Sasa kwanini uwatoe kwenye lawama?