Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
- Thread starter
-
- #101
Jipachike na ww tittle ya Dr. Ukipenda unaweza hata kuwa Dr. Manyaunyau.Wewe ni miongoni mwa member wajinga kabisa hapa JF. Halafu unajipachika title ya 'Dr'. Hujui ni kwa nini kila kilichotokea 29/10 kinatakiwa kijulikane na hatua zichukuliwe?
Sasa ww ambaye halijakushinda umechukua hatua gani mpaka sasa kuhakikisha watuhumiwa wafikishwa kwenye vyombo vya sheria na haki inapatikana?Limekushinda wewe; halijawashinda waTanzania.
Haya unayotaka wewe ni kutafuta tu njia ya kuwanusuru wahalifu; upumbavu huo waTanzania hawautaki.
Jifunze kusoma kwa ufahamu kabla ya kutukana kwenye comment, its pathetic.Una akili ya kipuuzi sana wewe mtu; kama walivyo wengine wote wanaotegemea manufaa toka kwa waovu hawa wanaolitingisha taifa hili.
Unatoa wapi ujasiri wa kuwaambia waTanzania wakubali kuendelea kuwa wanyanyaswaji ndani ya nchi yao wenyewe!.
Ni maslahi yapi ya taifa yatakayolindwa kwa kuendelea kuwa na wahalifu/majambazi wakiendelea kunajisi taifa hili?
Hiyo serikali imewasamehe vipi iliowaua; itawarudisha toka kwenye makaburi ya pamoja?
Hakuna mtu wala kundi lolote linalostahili lawama isipokuwa Samia Suluhu Hassan na Genge lake walioamua kung'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu. Hilo ndilo lililosababisha maafa yote haya, na litaendelea kusababisha maafa wakati wote kundi hili likiwa madarakani.
Kama ni rahisi jiite Dr. na ww! By the way hujaalikwa kusoma makala yangu wala kuyaamini niliyoyaandika.Unajiita Dr hakafu kichwa chako ni FUVU tu, badala ya kutumia LOGIC na AKILI, unatafuta WATU WA KUWAAMINI??
Nenda ka Mwamposa, basi.
Mkuu wengi wao sana sana hawa mboga mboga na machawa wanaamini uchaguzi wa oktoba ndio chanzo cha kuandama bila kujua kwamba watu tumevumilia mengi mabaya yaliyofanywa before octoba ,watu wametekwa,vyombo vya habari vimenyimwa uhuru ,vimetokea vifo vingi vya wanaharakati kibao alafu mtu anakuja kusema kifo ni kifo na wanataka tukae kimya sisi sio maroboti tuongozwe kama nyumbu we are going through a lot of pain so tulitumia tukio kubwa ili kudai haki ambayo before hatukusikilizwa kwa sababu tu ya kuonekana hatuna cha kuwafanya😪😪😪Hadi sasa silaha kuu ya ccm ni kutishia watu kuwatoa uhai pale wananchi wanapotoka kuongea maoni yao na hisia zao.. hili linafanyiwa kazi.
Kingine tukumbuke mauaji ya kutisha na utekaji kabla ya MO29, tukumbuke Watanzania wenzetu waliopoteza maisha kikatili, je ? nani ni mvunja amani? walioandamana ama watekaji? nani wafanya vurugu?
Lakini yana mwisho..
@Dr Adam wewe ni daktari wa kupima joto la kinyesi labdaMatusi yako hayatatutoa hapa tulipo. Tunaomba utupe njia ya kuwawajibisha watuhumiwa na mkakati wake wa utekelezaji.
Mm na wenzangu wenye mtazamo kama wangu tumeng'amua hakuna political will ya kuwawajibisha watuhumiwa, tunaona bora mjadala ufungwe tufanye mambo mengine.
Hata hivyo tungependa kujua kutoka kwa nyie wenzetu waweza mambo yote mna suluhisho gani?
Kungekuwa na ustaarabu wa kuruhusu wananchi kukosoa na kufanya maandamano kuonyesha hisia zao basi tusingefika huko, watu wangetoa maoni yao na kufanya maandamano ya amani ila shida katika nchi yetu kutoa maoni ya kukosoa serikali basi kawaida kujikuta umetekwa au kuuwawa kabisa, na maandamano hata ya amani yalionekana ni kama uasi kitu ambacho hakikuwa kikiruhusiwa na huko nyuma kiliwahi kuzuiliwa kabisa.
Kumfumaster97 Unaonekana hiyo ndio kazi yako mtaalam. Umeielezea kwa ufanisi mkubwa sana.@Dr Adam wewe ni daktari wa kupima joto la kinyesi labda
Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
Maandamano huwa na mabango yenye ujumbe, je yale yalikuwa ba mabango?Kungekuwa na ustaarabu wa kuruhusu wananchi kukosoa na kufanya maandamano kuonyesha hisia zao basi tusingefika huko, watu wangetoa maoni yao na kufanya maandamano ya amani ila shida katika nchi yetu kutoa maoni ya kukosoa serikali basi kawaida kujikuta umetekwa au kuuwawa kabisa, na maandamano hata ya amani yalionekana ni kama uasi kitu ambacho hakikuwa kikiruhusiwa na huko nyuma kiliwahi kuzuiliwa kabisa.
Kilicho tokea oct 29 ni kama mtu ambaye aliyekuwa akijaribu kuzuia kikohozi kwa muda mrefu.
Mkuu maandamano yalishakatazwa hivyo hata wangebeba vitabu vya dini bado wangekutana na kipigo cha jeshi la polisi, Samia toka mwanzo alisema maandamano yatakuwa ya kutoka nyumbani na kwenda kwenye kituo cha kupiga kura tu. Sasa hapo mkuu bado unazungumzia mabango?Maandamano huwa na mabango yenye ujumbe, je yale yalikuwa ba mabango?
Unawasaidiaje Watanganyika waliopoteza ndugu zao na mpaka Sasa hawajui wamefukiwa wapiKuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yameshatushinda.
Nani alikuambia au aliweka sheria kwamba maandamano lazima yawe na mabango?? CCM?Maandamano huwa na mabango yenye ujumbe, je yale yalikuwa ba mabango?
Kinyume cha hapo ni vurugu na ndiyo maana mlikuwa mnachoma miundombinu ya Serikali na kuiba mali za watu. Truly uncouth, barbaric and uncivilizedNani alikuambia au aliweka sheria kwamba maandamano lazima yawe na mabango?? CCM?
HujafiwaKuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yameshatushinda.
Kaa kimya nimekutukana tusi la sugu nasema tena MAKuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yameshatushinda.
Wewe umejipambanua kuwa mpuuzi mkubwa sana anayejifanya kuandika makala ndefu zisizokuwa na maana yoyote.Jifunze kusoma kwa ufahamu kabla ya kutukana kwenye comment, its pathetic.
Hakuna anayepinga watuhumiwa kuwajibishwa hapa, ila tunakueleza ukweli kuwa hakuna nia wala utashi wa kisiasa wa kushughulikia yaliyotokea period!
Wewe hiyo Dr ni yA mchongo tu; huna unachojuwa kwenye fani hiyo.Kama ni rahisi jiite Dr. na ww! By the way hujaalikwa kusoma makala yangu wala kuyaamini niliyoyaandika.