Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

Dawa yake mtoto kama huyo ni hii...
Polish_20200212_234148599.jpg
 
We jamaa hii ni chai kwanza hamna uhalisia wowote ule.
sio chai mkuu.
Dogo alikuwa mpole sana alivyokuwa mdogo. Tatizo vingi anafanya surprise. Anaweza kuongea neno ambalo hujui kajifunza lini na wapi.

Akiwa kwa watu wengi, haongei kabisa ananyonya vidole tu na kushangaa. Akifika home hata baada ya siku mbili anaanza kuongea vyote alivyokuwa anaviona.

anacheza na watoto wenzake washkaji wanamzidi kidogo na ni wasichana ila cha ajabu juzi anasema anaruka SOTI, na kasimama juu ya kochi anatanguliza kichwa aruke sarakasi. Sijuia kaona wapi, wakati TV tumeshampiga Ban,
 
Kwa kifupi ndani ya siku chache kidume kimeharibu vitu vya milion 60 na usheeee

Wazazi wengine mmebakiza akili za kuvukia barabara tu pheeeewww
mkuu anapenda kuchezea vitu vya electronics tu, ukijisahau tu, unakuta kaloweka simu, anaitoa na kuanza kuongea na watua ambao huwa anasikia mnawataja majina.

mkuu numbi....
nikiwepo huwa nakapa displine labda mama yake.
nimewahi kukachoma pasi kidogo mguuni ili ajue Kuna vitu sio vya kuchezea. hadi kesho anahadithia watu "Baba pasi ngua''.
hataki hata kuiona, anaigopa balaa, Ila akicheza huwa anajinyooshea matambara kwa kutumia makopo ya maji,
 
Back
Top Bottom