[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo yeye na.mkewe ni mbulula?Kama miaka miwili tu anaweza kufanya uharibifu wote huo,basi huyo mtoto ana akili nyingi kuliko walezi wake.Tafuteni mtu awasaidie malezi.
hana matatizo mkuu.We jamaa hebu acha porojo zako bana hamna kitu kama hii labda huyo mtoto ana matatizo ambayo hamyajui.
Miezi sita!Miaka mwambie mamake amuchape hata fimbo moja moja ila wewe usikachape mimi miezi 6 anakula fimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Au mlikunywa dawa kwa bibi?Miezi sita!!!!!!!
Huyu ajachapwa sana, maana tunaona ni mdogo, ila ukimtishia fimbo anaangalia uso kama uko siriasi, akiona umeishika maana anajua ilipo, anaacha fasta,
nimekubali mkuu, sasa wakuu wa jf mathinker wakikuita kilaza unadhani utaanzaje kubisha hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo yeye na.mkewe ni mbulula?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha
Hii nayo sio best solution ukiwa mkali sana mtoto anakuwa nunda ukiwa mpole sana mtoto anakuwa zuzuwife huwa anawacharaza watoto hadi nawaonea huruma...kiasi namgombeza
Lakini kimoyomoyo namshukuru kwa stick na banzi anazowalamba...maana hawachelewi kuwa mayai mayai kama hilo Toto lako
mtoto ukimdekeza naye anadeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu,Hii nayo sio best solution ukiwa mkali sana mtoto anakuwa nunda ukiwa mpole sana mtoto anakuwa zuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera, akipata uelewa ataacha uwe unakaombea asubuhi na jioni kabla ya kulala na kukanenea maneno mazuri kataacha uharibifuhahaha
hapana mkuu. Tulihangaika sana kukasaka hadi siku, mahala, na majira kalipotungwa tunajua.
Watu wa humu nikuwavumilia tu hakuna namnanimekubali mkuu, sasa wakuu wa jf mathinker wakikuita kilaza unadhani utaanzaje kubisha hahahah
Wewe wazazi wako unawasaidia? Walikutungia sheria? Maana yaelekea dogo amefata nyayo zako ki jenetiki kuiga tabia ulizokua nazo ulipokua mdogomkuu mbona unakuwa nabii wa mabaya tena mkuu kama mwamposa.
Nimepata kesi nyingi ya vitoto vya umri huu hata huyu anaafadhali maana anapenda vitu vya umeme mdogo zaidi (electronics) hivyo vingine vya hatari hata time navyo
sawa mkuu.Hongera, akipata uelewa ataacha uwe unakaombea asubuhi na jioni kabla ya kulala na kukanenea maneno mazuri kataacha uharibifu
Sent using Jamii Forums mobile app
nikiwa nacho tunashare.Wewe wazazi wako unawasaidia? Walikutungia sheria? Maana yaelekea dogo amefata nyayo zako ki jenetiki kuiga tabia ulizokua nazo ulipokua mdogo
kweli mkuu, wengine nyuzi kama hizi ndio wanapata pa kupumulia stress za life
Good boyhahahaha... mimi nakubali kila kitu mkuu.
Hivyo hivyo nikuelimishwa kawe kanaombewa kakiwa tayari kwenye net, na sadaka kabisa unakatolea madhabahunisawa mkuu.
tukiomba usiku na yeye anapiga magoti ingawa hazidi sekunde thelathini anaendelea na mishe zake.
Anapenda kusoma Bibilia na anaijua hata ukimchangayia na vitabu vingine, ila akiifunua anakua anaimba huku kaigeuza akichoka ni mwendo wa kuchana yaani inabidi kulia timing badala ya kumnyang'anya kabisa.