ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Ndio Ndio Maan nammonitor Kwa Karibu.Watoto wa hivyo huwa wana kitu special pia
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hii Nzuri mzazi ntaitumiaMimi huwa nikinunua kitu namwelekeza staki akiguse kwanza namchapa with no reason hagusi kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
fisi analiaje mkuu ..mi najuaga huwa anacheka tuMiaka miwili mnashindwa kumwambia acha na akaelewa.. endeleeni kumuendekeza ipo siku mtalia kilio Cha fisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Acha Uswahili dogo.huyu boya alikuwa anataka tujue alikuwa ana laptop tatu moja ni slim laptop ,tablet , simu kadhaa , kabati kubwa ,redio....nashangaa hajachomeka gari vipi mkuu au hauna?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gari litakua bandarin, likifika tutajua maana lazima alikwaruze na chumahuyu boya alikuwa anataka tujue alikuwa anamiliki laptop tatu moja ni slim laptop ,tablet , simu kadhaa , kabati kubwa ,redio....nashangaa hajachomeka gari vipi mkuu hajaliwasha akatoka nduki au hauna?
Hahaha wadada jf msamajungu balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gari litakua bandarin, likifika tutajua maana lazima alikwaruze na chuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa nmecheka mkuuNadhani wewe na mkeo ndo tatizo. Subiri siku akichoma nyumba ndo utakuja hapa kutupa mrejesho wa hayo malezi ya kipoyoyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Ndio Maan nammonitor Kwa Karibu.
Kana surprise nyingi.
Mfano, bila kumfundisha Kwa kutuangalia tu anajua kuwasha na kuzima radio. Mimi namtuma tu niwashie anawasha, Zima anazima.
Ila baadae anaendelea na utoto wake
Yani cjapata ona badala ya kufurahi mtoto kuwa hivyo yy anasema eti anasumbua dah.poor parenting...
Umenikumbusha mtoto wa dada yangu, wenyewe wamenunua gari lao jipyaaa VOX nyeusi kipindi hicho, halina hata mwezi wakakuta mtoto kachora, kaandika numbers 1-50 ubavuni pande zote mbili... Kafanya mahesabu yake hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Walishindwa kujua kama wamchape au la...dogo alikuwa anafanya practice ya kile alichofundishwa shuleni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gari litakua bandarin, likifika tutajua maana lazima alikwaruze na chuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimeichukuaHii safi ila pia mumfundishe kua na mipaka na adabu,sio kila anachokifanya mnamchekea just because ni mtoto.
Mkishindwa kumshape saiv bado mdogo,atakuja kuwasumbua sana akikua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtoto anakulipisha faini ya hasara ambayo ulimtia baba yako wakati ukiwa huna fahamu kama alivyo yeye hivi sasa.Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.
Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).
Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.
Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.
Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.
Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.
Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.
Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Mkuu mimi nililelewa kijemedari, bakora mwanzo mwisho. Mother anapiga hadi vichwa.Huyo mtoto anakulipisha faini ya hasara ambayo ulimtia baba yako wakati ukiwa huna fahamu kama alivyo yeye hivi sasa.
Huwezi kuwa na kumbukumbu hizo kwani ulikuwa mdogo kama alivyo mwanao hivi sasa.Mkuu mimi nililelewa kijemedari, bakora mwanzo mwisho. Mother anapiga hadi vichwa.
Ndio maana najaribu kubalance dogo asijekuwa ssugu
Uwiiiii unaweza kummeza mtoto.Umenikumbusha mtoto wa dada yangu, wenyewe wamenunua gari lao jipyaaa VOX nyeusi kipindi hicho, halina hata mwezi wakakuta mtoto kachora, kaandika numbers 1-50 ubavuni pande zote mbili... Kafanya mahesabu yake hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Walishindwa kujua kama wamchape au la...dogo alikuwa anafanya practice ya kile alichofundishwa shuleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtoto inaonekana hana uangalizi wa karibu.Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.
Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).
Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.
Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.
Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.
Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.
Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.
Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.
Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).
Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.
Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.
Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.
Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.
Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.
Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Wakuu nimemsomea mama yake comments zenu zote, nyingine akicheka kadogo nako kanacheka sana hadi machozi.
Hasa jamaa aliyosema eti turudi kisemvule Kwa Babu hahaha.