Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

huyu boya alikuwa anataka tujue alikuwa anamiliki laptop tatu moja ni slim laptop ,tablet , simu kadhaa , kabati kubwa ,redio....nashangaa hajachomeka gari vipi mkuu hajaliwasha akatoka nalo nduki au hauna?
 
Watoto wa hivyo huwa wana kitu special pia

Sent from my iPhone using Tapatalk
Ndio Ndio Maan nammonitor Kwa Karibu.
Kana surprise nyingi.

Mfano, bila kumfundisha Kwa kutuangalia tu anajua kuwasha na kuzima radio. Mimi namtuma tu niwashie anawasha, Zima anazima.
Ila baadae anaendelea na utoto wake
 
huyu boya alikuwa anataka tujue alikuwa ana laptop tatu moja ni slim laptop ,tablet , simu kadhaa , kabati kubwa ,redio....nashangaa hajachomeka gari vipi mkuu au hauna?
Hahaha Acha Uswahili dogo.
Gari Sina, pia uwe unasoma vzr nimesema kioo slim sio laptop. Huwa natumia yale malenovo magumu hata porini likinyeshewa halipati shida Sema hii kioo ndio kilikuwa mayai.

Afu Acha wivu Basi mkuu
 
huyu boya alikuwa anataka tujue alikuwa anamiliki laptop tatu moja ni slim laptop ,tablet , simu kadhaa , kabati kubwa ,redio....nashangaa hajachomeka gari vipi mkuu hajaliwasha akatoka nduki au hauna?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gari litakua bandarin, likifika tutajua maana lazima alikwaruze na chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii safi ila pia mumfundishe kua na mipaka na adabu,sio kila anachokifanya mnamchekea just because ni mtoto.

Mkishindwa kumshape saiv bado mdogo,atakuja kuwasumbua sana akikua.
Ndio Ndio Maan nammonitor Kwa Karibu.
Kana surprise nyingi.

Mfano, bila kumfundisha Kwa kutuangalia tu anajua kuwasha na kuzima radio. Mimi namtuma tu niwashie anawasha, Zima anazima.
Ila baadae anaendelea na utoto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gari litakua bandarin, likifika tutajua maana lazima alikwaruze na chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mtoto wa dada yangu, wenyewe wamenunua gari lao jipyaaa VOX nyeusi kipindi hicho, halina hata mwezi wakakuta mtoto kachora, kaandika numbers 1-50 ubavuni pande zote mbili... Kafanya mahesabu yake hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Walishindwa kujua kama wamchape au la...dogo alikuwa anafanya practice ya kile alichofundishwa shuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Huyo mtoto anakulipisha faini ya hasara ambayo ulimtia baba yako wakati ukiwa huna fahamu kama alivyo yeye hivi sasa.
 
Mkuu mimi nililelewa kijemedari, bakora mwanzo mwisho. Mother anapiga hadi vichwa.

Ndio maana najaribu kubalance dogo asijekuwa ssugu
 
Umenikumbusha mtoto wa dada yangu, wenyewe wamenunua gari lao jipyaaa VOX nyeusi kipindi hicho, halina hata mwezi wakakuta mtoto kachora, kaandika numbers 1-50 ubavuni pande zote mbili... Kafanya mahesabu yake hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Walishindwa kujua kama wamchape au la...dogo alikuwa anafanya practice ya kile alichofundishwa shuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiii unaweza kummeza mtoto.
Ila hapo ukiangalia mwenyew anaona amefanya kitu kizuri kuandika hesabu. Kaona gari linang'aa vzuri[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Huyo mtoto inaonekana hana uangalizi wa karibu.

Badala ya kufikiria sana kwamba ataharibu TV, kwa mfano, fikiria sana kwamba TV inaweza kumdondokea na kummaliza.

Badala ya kufikiria anaharibu kabati, fikiria kabati linaweza kumuangukia na kumuumiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....

Miaka 2 miwili kawazidi akili wazazi wake, sasa huyo akikua zaidi atawatia moto. Ushauri unatakiwa kuwa full fledge baba uvulana acha ili dogo akikuona anajua mdingi kaingia na ukiunguruma anajua kuna mdingi ndani. Sasa hapo kanawaona wote wasichana tu na hamumfanyi kitu, ukimbwela atavuta bangi mapema mno na ukizembea atabwia ngada.

muulize mzazi wako alikuleaje, manake hata wewe ulikuwa hivyo hivyo lakini umenyooka.
 
Back
Top Bottom