Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

kweli mkuu,

huyu dogo anamazuri yake licha ya hasara alizosababisha na tumejitahidi kuweka vitu mbali na kutojisahau kwa kadili inavyowezekana.

1: Hajinyei wala hajawahi kujinyea tangu alipofikisha mwaka na nusu. akitaka kukata gogo anaita ''mama poti'' analetewa.

2: Hazugi kula, hata ukimpa ugali bila mboga anakula hadi tumbo linajaa, na anaomba maji ya Kunywa.

3:analala mara mbili kwa siku ukiacha usiku.

4:Mimi Baba yake, naweza kwenda naye popote bila mama yake hata siku nzima na asinipe shida yoyote, Juzi nimejaribu kumtembeza kwa mguu tumetembea karibu kilometer moja bila kumbeba. anashangaa tu magari.

5:Ukimtuma kitu anakileta.
Vp Bado hajafumaniwa na vitoto vya watu akiwala mzigo ,hujapata kesi za kuandikia watoto za watu barua za uchumba

kilicho akilini kitumie
 
poor parenting...
Or poor upbringing...

Hizi ndo zile famili mgeni ukifika ukikaa dk tano wewe ni mvumilivu uliyetukuka...

Toto linakuja linakumwagia uji na kukuvuta ndevu ..mama analiambiia oh junior dear...that no gudi..

Pumbav
 
Hahaha Kuna mijamaa imepinda humu balaa. Ushauri hadi unasema ningekuwa Karibu ningelambwa na mitama kabisa
 
hahaha sio chai, ni ukweli mkuu. kuna nyumba moja nilienda nikakuta vitu karibu vyote vimeninginizwa na kuwekwa kimo zaidi ya mtoto wa hapo, hasa vya jikoni.

watoto wa siku hizi ni wajuaji sana, tangu wadogo, usipojua hilo na jinsi ya kuwanandle unaweza kuwaua kwa stiki.
Mtoto uleavyo ndivyo akuavyo! bado una muda wa kumrekebisha mtoto na akabadili tabia!
 
Umenkumbusha uzi wa watoto watukutu hebu utafute ujionee wazazi wenzio walipambana vipi na watoto wa aina hiyo
 
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Mtengee sehemu ya kuchezeaa, muandalie ka room, na mzoeshe kucheza naye humo.

Pia msome mtoto, kids hupenda attention sometimes hufanya vimbwanga ili kuipata hiyo attention. But yote hayo unaweza kuyashinda kwa upendo (sijaongelea kumdekeza bali upendo).

Mzoeshe kuambiwa hii tabia mbay, na aone tabia mbaya ni mbaya.

Pia usiwe mtu wa kukataza sana, mpe maelekezo, chezaa huku, chezea hii. Sio achaaa, achaaa.

Malekezo ndio humlea mtoti, hapo yupo ktk kujitafuta na kujifunza, msaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Hahahahahaha relax bro ndio ulezi huo mwenyewe nmeharibiwa vitu kama wewe tu ila sina namna. Muanzishie daftar la madeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujawahi jaaliwa mtoto mtundu unaweza mlaumu mleta mada, kuna watoto ni watundu kupitiliza mpaka wanakurudisha mzazi darasani ukipekua mbinu mbalimbali ilimradi uhakikishe anapata malezi bora.
Nilichoweza jifunza na kukitenda practically kwa watoto watundu waliopotia mikono yangu ni kuwasoma attitude zao then panapohitaji attention ili kuwa encourage nawapa attention accordingly na panapohitaji motivation na reinforcements I do the same...kids wanatofautiana sana though unaweza watengeneza unavotaka wawe, na wale exceptional unawapokea walivyo unacreate urafiki nao.
Ninae kid under 2 amefanya uharibifu hauendani na umri wake hata kidogo, namsemesha Mara kadhaa in a positive way to the extent sasa anafanya huku anatoa taarifa anatengeneza kitu Fulani so mkimsikia mnamuwahi kumwambia hicho kitu hakistahili kutengenezwa instead anapewa makochokocho yake atengeneze,huyu miss engineer Wa kila kifaa.
Ameshapasua TV mbili na alizifuata juu ukutani anabadilisha channel wakati huo hata kuongea hajui.... Ana uwezo Wa kuunganisha vitu ili apande juu na anakomaa haswa ila akishindwa teremka sasa atalia kwa sauti alazimishe kupandishwa. Ana visa huyu hata kulala lazima aimbiwe ndipo atalala na nyimbo anachagua sio unaimba imba tu anakataa anasema hii ya mchana, sasa watoto Wa hivi ukisimuliwa unaweza toa maoni yoyote Ila ukimpata ndio utaelewa walivo.
Na kuna watoto hawakuwi waharibifu Wa vitu Bali wanahoja ambazo kwa wazazi na walezi wanaoshindwa kabiliana nazo huwaona watoto watukutu kumbe wameumbwa luwa great thinkers hawafanyi kitu bila kuhoji, hawa tunawajengea kujiamini zaidi na kukuamini wewe mzazi ili wasivunjike moyo. Watoto hawa mzazi kuudhuria shuleni ni daily maana wakati mwingine walimu wanawachoka na kuwachukia kwa harakati zao.
Kiufupi malezi sio lelemama na kumtegemea Mungu ni muhimu zaidi..kuomba Mungu akupatie mtoto uweze mfikisha salama asiwe jaribu kwako na familia.

Mleta mada endelea kuongea na mtoto MPE attention anapohitaji attention, mwelekeze kwa upendo lakini pia usiache kumuombea apate spiritual balance . kama anaachwa na Dada chunguza malezi kuna possibility hapati upendo hivyo anahamishia attention kwenye kuharibu vitu lakini pia anaweza kuwa ni Fundi ajae muongezee vya kutengeneza na kuharibu na kumbadilishia attention inapowezekana.
 
Amen
 
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Malezi yenu ni mabovu sana, mtoto akianza kutambaa huwa anakuwa mtundu wa kushika na kujaribu kila kitu anachokutana nacho, hapo mzazi inabidi umkanye na aviogope vitu, Wanangu hawajahawi kuharibu vitu hata akiona simu ataishika na kuniletea au kupeleka kwa mama yake.
Wewe ulimzoesha kuwa unampa vitu anachezea au humuonyi na wakati mwingine unamchapa ili aviogope kivichezea
 
Or poor upbringing...

Hizi ndo zile famili mgeni ukifika ukikaa dk tano wewe ni mvumilivu uliyetukuka...

Toto linakuja linakumwagia uji na kukuvuta ndevu ..mama analiambiia oh junior dear...that no gudi..

Pumbav
Umenichekesha sana, Watoto wadogo chini ya miaka 3 au 5 mzazi anatakiwa awe serious sana maana wanautundu ambao ni wa kiharibifu, unakuta Toto linabishana na mzazi wake
 
Siku akipinga mahakamani kukusaidia kwa madai kwamba hakutaka kuzaliwa duniani achalia mbali na wewe, utamjibu vipi?
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Or poor upbringing...

Hizi ndo zile famili mgeni ukifika ukikaa dk tano wewe ni mvumilivu uliyetukuka...

Toto linakuja linakumwagia uji na kukuvuta ndevu ..mama analiambiia oh junior dear...that no gudi..

Pumbav

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.

Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).

Amechana Macover ya vitabu vyangu na kuvichorachora. Ameiiburuza decoder kamaeigeza gari hadi sasa haifanyi kazi.

Kwa sababu anapenda game, amevizia tablet na kuibomoa kioo, sasa hivi ni nyufa tu. Kila noti anaiita Buku, Kakiiona Buku mahala hata kama ni msimbazi kanalilia kakiichoka ni kuichana.

Laptop mpya ilipokuja kaliivizia na kung'oa Herufi Mbili. Radio sasa kwa kulazimisha kuweka CD kameua Dvd reader, speaker kama mbili.

Ni mdogo miaka miwili kafikisha juzi tu, hata fimbo naona kama namuonea. Mazingira tumejaribu kuficha vitu na kuviweka mbali lakini kila siku anabuni njia za kuvifikia, na hasa ukijisahau.

Hivyo basi, naoendekeza Serikali itunge sheria ya kuwabana watoto kuwasaidia wazazi wao kuwa ni lazima hasa wanapochoka maana nao hutia hasara nyingi utotoni mwao.

Updates za ushauri
1: kumnunulia makorokoro yake mengi ya kuchezea.
2:kutafuta mbinu za kisaikolojia kumsaidia fimbo sio suluhisho zuri.
....
Karithi

Usishangae... Utakua umetia hasara Sana watu maishani mwako
 
Ktk vitu nisivyopenda ni pale mtoto asipokuwa na nidhamu na vitu vya wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom