Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

Usaliti no usaliti na kukosoa no kukosoa,TL alionesha usaliti wke kwenye madinw
Waweza tusaidia kufahamu, kama nchi tunanufaikaje tokana na uuzwaji wa bandari na ngorongoro? Na je kati ya lisu na hawa watawala waliozitoa hizo rasilimali sambamba na madini Kwa mikataba ya kificho, ni nani anastahili kuitwa msaliti?
 
Bahati nzuri na yeye hataishi milele.
 
Dogo nikwambie tu, Lissu akijifanya mjuaji atakula kitanzi nami naombea sana iwe hivyo. Nyie na Lissu endeleeni kufikiri ndio mnaongoza nchi hii, lakini siku akila kitanzi ndio akili zitaingia kichwani! Nyambafu!!
 
Wanaostahiki kutekwa watekwe tu, wasiostahili MUNGU AWALINDE NA MABALAA.
Kuwa muwazi eti wanaostahili kutekwa watekwe.una akili kweli wewe ZEZETA?. Sema mnaopanga kuwauwa mnawauwa tu. Sasa mbona Lisu kalindwa na Mungu mlipotaka kumuuwa dodoma na bado mnamuandama?. Mngekuwa na akili mngeendelea kumuandama aliyelindwa uhai wake na Mungu mwenyewe?. Mungu atawatia kwenye aibu kubwa. Wanuka damu za watu nyinyi
 
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Hiyo mahakama unayo iandika wewe hapa itakuwa 'irrelevant'.
Mahakama ya wananchi tayari ipo kazini sasa, sijui ni kipi kinacho kuogopesha wewe!
 
Dogo nikwambie tu, Lissu akijifanya mjuaji atakula kitanzi nami naombea sana iwe hivyo. Nyie na Lissu endeleeni kufikiri ndio mnaongoza nchi hii, lakini siku akila kitanzi ndio akili zitaingia kichwani! Nyambafu!!
Uzuri MUNGU alipoona magu anapiga risasi na kuuwa watanzania na akapiga kitanzi Chake kwa Magu. Makamanda nchi zima mmekusanyana mpaka wachawi na hamkumsaidia chochote kile. Mpigeni kitanzi hata Leo mnaruka ruka nini kurusha kesi?. Na mnajiona vijimungu furani kutoa uhai wa watu?. UZURI MUNGU ANAJUA KUDILI NA VIONGOZI WAOVU.
 
Dogo nikwambie tu, Lissu akijifanya mjuaji atakula kitanzi nami naombea sana iwe hivyo. Nyie na Lissu endeleeni kufikiri ndio mnaongoza nchi hii, lakini siku akila kitanzi ndio akili zitaingia kichwani! Nyambafu!!
Wewe mwanafunzi, narudia tena kukuambia. Mtaishia tu kumsumbua na kumpotezea muda wake. Ila uwezo wa kumuua Rais wa wananchi wa Tanganyika huru, hamna.

Na mpaka sasa mfahamu tu mnatembea kwenye uzi mwembamba sana. Ukikatika tu huo uzi, nawahakikishia mtatafutana.
 
Inawezekana pamoja na kuramba risasi 36 hakwenda kwa Sir God kwasababu Sir God hapendi watu wachafu kama yeye, bali upenda watu wazuri kama Ibrahim,Yakobo, Yosefu, Suleiman, Yesu, Mwl. Nyerere na Mwamba Magufuli kutaja wachache.
 
Wakenya wakija kusikiliza kesi ni kuingilia mambo yetu ya ndani. Wakati wa machafuko ya Kenya JK alifuata nini Kenya kama si kuingilia mambo yao ya ndani?
Proved Yoda johnthebaptist Retired G Sam Salary Slip
Ukombozi tunahitaji ni ukombozi wa fikra maana kuna vitu wanafanya watu wazima mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia ubongo au makalio naona jinsi Lisu anavyocheza mind game na so far anashinda kila hatua sijui nani anashauri hawa watawala asee.
 
Fut3
Futeni kesi kama mmeona kuna umuhimu wa kumaliza mamboo yetu sisi wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…