Zamazangu
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 949
- 613
😆😆😆😆😆Pole sana China hapa wanafanya dampo la kuuzia takataka zao, hawana wanachokupa kama misaada ila kututumia kama soko.Slavery mentality inakusumbua wewe!! Who is EU? Wako wanahangaika na Trump tu kwa sasa labda ungesema China ndio kwa sasa tunategemea sana almost kila kitu kilichopo TZ kinatoka China, hao EU hata wakikata misaada yao tutaishi tu.