Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Mnategemea EU kama wanaharakati wa Libya walivyo wategemea NATO eti?Aaah wp ni mwepesi sana.
Subiri rungu la EU
Urudi hapa tena
Mnategemea EU kama wanaharakati wa Libya walivyo wategemea NATO eti?Aaah wp ni mwepesi sana.
Subiri rungu la EU
Urudi hapa tena
Yuko Ikulu lakini hajui anafanya nini ama aseme nini.Lissu yuko Gerezani wakati mama yuko Ikulu nafikiri utakuwa na matatizo ya afya ya akili mkuu!
Swimming in money, kikikikiUongozi ni mtamu, madaraka ni matamu, ata ingekua Mimi lazima niwe selfish tu ili niogelee kwenye mafwedhaaaaa
Huna uwezo wa kuwazuwia wazungu wakitaka kukuvuruga.nakubaliana na Samia katika hili. CJ wawili toka Kenya ambao hawawezi kutoka kuja hapa bila kibali cha Ruto, na wote waliokuja, serikali imewaheshimu sana,walitakiwa waadibishwe kabisa. kenya ni EU kuna uwezekano mkubwa wazungu wameona wameshindwa pa kutuvuruga wanaingilia kenya, yaani tangu lini wakenya wakatupenda namna hii kutupigania? never on earth. wazungu wameingilia hapo, na kenya wenyewe tumeshawapiga sana kwenye biashara, SGR inawaumiza moyo kwa sababu tukifia burundi/kigoma rwanda na mwanza, basi bandari yao ya mombasa italia machozi wanatamani tusiendelee ili wao waendelee. kuna mengi sana yamejificha naomba watanzania msijefikiri hawa watu wanatupenda. CJ wawili wasingetoka kule kuja hapa kama hawajatumwa, na waliowatuma hawatutakii mema. tumalizane sisi kwa sisi mambo yetu lakini tusiruhusu jirani atuvuruge.
Ila hii ni ajabu sana. Unakasirika watu kuja kusikiliza kesi 😂😂😂😂😂Wapi Mh.Rais ametamka mahakama, acheni kulialia kamanda.. Lissu yupo salama na kama atakutwa hamna hatia lazma atakua huru
Akiwandwa na nani? Lisu anawindwa na nani? 😁😁👇👇Ushamba tu unawasumbua, Raila amewahi hadi kupewa passport ya Tanzania wakati akiwindwa huko Kenya.
Wewe jinga sio tuu kwamba na wewe utakufa Bali hata kibaraka atakufa so usilete upunguani wako hapa 👇 👇Jiwe yuko wapi?
Kwani si ni Jiwe ndiye alijiita kichaa. Wewe ukabaki kubinuka na kujiita mnyonge. Sasa ni vichaa gani waliyoshindwa kumuelewa kichaa mwenzaoMagufuli aliona mapema kwa huyu msaliti na kumpeleka uhamishoni Ubelgiji,mama akaenda kumfuata eti 4R! Ngoja amnyooshe. Kila alichokifanya magufuli alikuwa sawa,vichaa ndio hawakumuelewa.
Wacha weeeKesi hii ina faida kubwa zaidi kwetu kuliko kwao, yani wazungu wanahangaika mno na jamaa atoke, hata wajinga toka Kenya wanakuja kutukuza kisiasa kimataifa, na ni vizuri deportations ziendelee kuwarudisha Kenya ili watutangaze zaidi kwenye social media, basi nikashangaa mno kuna Mzee mmoja eti analia, mwanaume unaliaje hivyo? kweli ujinga hautoisha bongo hadi Nyerere afufuke, hii kesi ya mnyampaa inajenga picha nzuri Duniani kuwa hapa bongo kuna upinzani mkali na tayari kuna uelekeo wa kutokea vurugu za kisiasa jambo ambalo wazungu wanataka sana litokee wakombe mali, lakini wakati huo huo hili jambo la kuhangaika nae kwa miezi kadhaa ili aachiwe baadae ni zuri mno na lenye faida kwa nchi yetu isiyo na upinzani wowote kiuhalisia maana hata mwenyekiti wa kura ni comrade mwenzetu, watangaza matokeo ni comrades, bunge la upande mmoja la sisi kwa sisi la ndiyo Mzee la kina Betina nalo halina meno.
sasa sisi tayari tumepata mileage kubwa kuwa democracy inakua bongo na mabadiliko yanashika kasi kuelekea kuanza kwa vurugu za kisiasa kama Kenya , hivi sasa tukienda uzunguni kukopa pesa au kuomba misaada watatupa hizo pesa haraka kwa masharti kuwa tuheshimu haki za binadamu, demokrasia na utawala wa Sheria nasi tataahidi kuimarisha haki za binadamu na kutowafunga wapinzani na mpunga utaingia, wazungu washaingia cha kike!!
Kesi hii inafaa sana isogee hadi mwakani maana tutazoa mabilioni ya misaada na mikopo toka uzunguni. Wazungu hutoa pesa pale wanapoona kuna dalili za kutokea fujo za kisiasa!! Ila malengo yakitimia ni vizuri aachiwe tu!
Ahsante sana Bimkubwa kwa kulinda amani na utulivu, go go Mazeri, you are the best.
Waliosoma UDSM political sciences tu wataelewa! Na vipanga wengine of course!!
Kumbe huwa anaona me nilijua huwa haoni malalamiko ya raia.Kaona viclip kadhaa🤔😷
Jamaa walipewa uhuru wa kufanya shughuli za kisiasa wakaona wakipewa uhuru wananchi hawawazingatii kwahiyo wakaamua kumchokoza ili akaze sehemu wapate mada ya kuongeaTena huyu mama ni mpole sana.Waafrika ukiwapa sana uhuru lazima waharibu.Jiwe alijua hilo ndo maana akapiga pini mambo ya siasa za majukwaani na wote tulitulia.Wapinzani tulionao wao wanatafuta uhuru wao wapate madaraka hakuna ata mmoja mwenye kumfikiria mwananchi ndo maana wananchi tunasukumizwa tuone kama rais anakosea na nchi iko kwenye hatari kubwa kumbe ni kelele za wanasiasa na wanaharakati ambazo ziko dunia nzima.
Kenge mkubwa, mmebaki kusifia ujinga ujinga tuBandari imebinafsishwa kwa mwekezaji jinga ww!
Lissu angeamua kulamba asali ni asubuhi na mapema tena ingekuwa asali yenye sega kabisa. Tumia Neno wengi badala ya wote!Tena huyu mama ni mpole sana.Waafrika ukiwapa sana uhuru lazima waharibu.Jiwe alijua hilo ndo maana akapiga pini mambo ya siasa za majukwaani na wote tulitulia.Wapinzani tulionao wao wanatafuta uhuru wao wapate madaraka hakuna ata mmoja mwenye kumfikiria mwananchi ndo maana wananchi tunasukumizwa tuone kama rais anakosea na nchi iko kwenye hatari kubwa kumbe ni kelele za wanasiasa na wanaharakati ambazo ziko dunia nzima.
Hata hapa tumetaka wenyewe waje.Walitaka wenyewe
Tobwa sanNi taco la bbabbako
mimi humo sipo kwenye safari ya shimoniSafi sana.Mama tuko.pamoja na wewe.Wananvhi wako tuko na wewe,wahuni wale watovu wa adabu
You again?Maadam tu hai na hatamu za utawala mkononi,basi hacheki na wowote...mtachezea jando mpaka basi!!..waambieni vizabizabina wa kenya June 2 waje tena,waone mpingo ni mgumu kiasi gani
Sawa,mimi Kenge,leta ushahidi kwamba bandari imeuzwa,mbwa wwKenge mkubwa, mmebaki kusifia ujinga ujinga tu