Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

Kesi hii ina faida kubwa zaidi kwetu kuliko kwao, yani wazungu wanahangaika mno na jamaa atoke, hata wajinga toka Kenya wanakuja kutukuza kisiasa kimataifa, na ni vizuri deportations ziendelee kuwarudisha Kenya ili watutangaze zaidi kwenye social media, basi nikashangaa mno kuna Mzee mmoja eti analia, mwanaume unaliaje hivyo? kweli ujinga hautoisha bongo hadi Nyerere afufuke, hii kesi ya mnyampaa inajenga picha nzuri Duniani kuwa hapa bongo kuna upinzani mkali na tayari kuna uelekeo wa kutokea vurugu za kisiasa jambo ambalo wazungu wanataka sana litokee wakombe mali, lakini wakati huo huo hili jambo la kuhangaika nae kwa miezi kadhaa ili aachiwe baadae ni zuri mno na lenye faida kwa nchi yetu isiyo na upinzani wowote kiuhalisia maana hata mwenyekiti wa kura ni comrade mwenzetu, watangaza matokeo ni comrades, bunge la upande mmoja la sisi kwa sisi la ndiyo Mzee la kina Betina nalo halina meno.

sasa sisi tayari tumepata mileage kubwa kuwa democracy inakua bongo na mabadiliko yanashika kasi kuelekea kuanza kwa vurugu za kisiasa kama Kenya , hivi sasa tukienda uzunguni kukopa pesa au kuomba misaada watatupa hizo pesa haraka kwa masharti kuwa tuheshimu haki za binadamu, demokrasia na utawala wa Sheria nasi tataahidi kuimarisha haki za binadamu na kutowafunga wapinzani na mpunga utaingia, wazungu washaingia cha kike!!

Kesi hii inafaa sana isogee hadi mwakani maana tutazoa mabilioni ya misaada na mikopo toka uzunguni. Wazungu hutoa pesa pale wanapoona kuna dalili za kutokea fujo za kisiasa!! Ila malengo yakitimia ni vizuri aachiwe tu!

Ahsante sana Bimkubwa kwa kulinda amani na utulivu, go go Mazeri, you are the best.

Waliosoma UDSM political sciences tu wataelewa! Na vipanga wengine of course!!
 
Kesi hii ina faida kubwa zaidi kwetu kuliko kwao, yani wazungu wanahangaika mno na jamaa atoke, hata wajinga toka Kenya wanakuja kutukuza kisiasa kimataifa, nikashangaa mno kuna Mzee eti analia kweli ujinga hautoisha bongo hadi Nyerere afufuke, hii kesi ya mnyampaa inajenga picha nzuri Duniani kuwa hapa bongo kuna upinzani mkali na tayari kuna uelekeo wa kutokea vurugu za kisiasa jambo ambalo wazungu wanataka sana litokee wakombe mali, lakini wakati huo huo hili jambo la kuhangaika nae kwa miezi kadhaa ili aachiwe baadae ni zuri mno na lenye faida kwa nchi yetu isiyo na upinzani wowote kiuhalisia maana hata mwenyekiti wa kura ni comrade mwenzetu, watangaza matokeo ni comrades, bunge la upande mmoja la sisi kwa sisi la ndiyo Mzee la kina Betina nalo halina meno.

sasa sisi tayari tumepata mileage kubwa kuwa democracy inakua bongo na mabadiliko yanashika kasi kuelekea kuanza kwa vurugu za kisiasa kama Kenya , hivi sasa tukienda uzunguni kukopa pesa au kuomba misaada watatupa hizo pesa haraka kwa masharti kuwa tuheshimu haki za binadamu, demokrasia na utawala wa Sheria nasi tataahidi kuimarisha haki za binadamu na kutowafunga wapinzani na mpunga utaingia, wazungu washaingia cha kike!!

Kesi hii inafaa sana isogee hadi mwakani maana tutazoa mabilioni ya misaada na mikopo toka uzunguni. Wazungu hutoa pesa pale wanapoona kuna dalili za kutokea fujo za kisiasa!!

Ahsante sana Bimkubwa kwa kulinda amani na utulivu, go go Mazeri, you are the best.

Waliosoma UDSM political sciences tu wataelewa! Na vipanga wengine of course!!
Kada Fungulia Uzi reply yako.
 
Fukuza wahuni hao wakenya.Piga kabisa,wasilete uhuni kwetu Tanzania
Waafrica tunapenda kuwaona wazungu ni wabaya ila kiwango cha ubaya cha mti mweusi hakimfikii mzungu, sasa nchi ngapi zilimpigania Madiba ilitumika nguvu hivi kama huyu mama??
 
Mama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA

Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"

Akasirike asikasirike no reforms no election hii siyo nchi ya baba yake ni nchi yetu watanganyika kwanza aache mara Moja kutufokea ss sio watoto wake.
 
Mama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA

Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"

Kauli hii ya rais kama taifa yaweza kutugharimu kama taifa...
 
Serikali ya Dikteta Samia inaenda kushitakiwa.

View: https://youtu.be/A7x0gzQt5fc?si=0p5fCDvo06AsGW_u

Idd Amin.jpg
 
KUNA MAANDIKO KWENYE BIBLIA YALISEMA ........MWANAMKE MUISLAMU MPUMBAVU UVUNJA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE . SAMIA MWISHO WAKE NI MBAYA NA GENGE LAKE NJIA YA KUMDONDOSHA NI KUMFANYA APANIKI MAANA SIKU ZOTE MPUMBAVU HANA AKILI
TENA MKIZINGATIA WASHAURI WAKE NI MASHEKH NA RAIA FEKI WENZAKE ...ATOBOI.
 
Amevurugwa kweli kweli . Ila siku ikifika atatoka tu.
Akiwaza pesa anazopiga kupitia play maker Abdul .....DP world Lugumi....na maelekezo toka juu kila taasisi nyeti ....kazi hiyo apewe fulani kazi hiyo apewe fulani.......tanganyika imemalizwa na huyu bibi sultani kadhamiria haswaa .....endeleeni kumchekea .....hongera zake mzalendo aliyevujisha ufisadi wa.lugumi manunuzi ya kihuni ya silaha jeshini
 
Nchi kumkabidhi mwanamke ni tatizo kubwa sana..hawa viumbe wanakuaga na inferiority complex...hawataki kukosolewa ...hawataki kusahihishwa...wao wanapenda kusifiwa tu kwa kila jambo...matokeo yake kila anaekwenda agaisnt anaonekana adui....hatuwezi kua na taifa ambalo wote tunamtazamo mmoja tu
Magufuli alikua mwanamke? Unamchukia kwa sababu muislam tu, lkn tutamlinda kwa nguvu zote
 
Kuna siku alikasirika na kuwaita viongozi wenzake hadharan stupid baada ya kugundua Kuna ufujaji wa pesa za umma ila week Moja baadae akasimama tena hadharan akiwaambia wale Kwa urefu wa kwamba zao Ili mradi wasivimbiwe.
 
Nyomi kila kona hazitiishii amani ya nchi yetu, bali zinatisha amani yake binafsi na kunogewa na madaraka ya urithi
 
  • Thanks
Reactions: I M
Wasaidizi wa Mama wamezingua sana, hivi watu wanapotekwa huwa hawamshauri hata aongee chochote, hata kinafiki tu??
Aongee kinafiki then siku chache mbele raia mwingine anatekwa. Katika mazingira hayo,huo unafiki utaendelea kuaminika hadi lini?
 
Sisi wananchi wakawaida tuna macho na masikio hao wanaharakati wasijifanye kuijua sana nchi yetu
Kwenye ishu zisizo wakae na waangalie kwa mbali sana huko huko makwao
Wameona majirani zao tunalia wamekuja kuona kinachotuliza. Wakenya wana huruma sana. Sikutegemea waache shughuli zao wapande ndege hadi huku🙏
 
nakubaliana na Samia katika hili. CJ wawili toka Kenya ambao hawawezi kutoka kuja hapa bila kibali cha Ruto, na wote waliokuja, serikali imewaheshimu sana,walitakiwa waadibishwe kabisa. kenya ni EU kuna uwezekano mkubwa wazungu wameona wameshindwa pa kutuvuruga wanaingilia kenya, yaani tangu lini wakenya wakatupenda namna hii kutupigania? never on earth. wazungu wameingilia hapo, na kenya wenyewe tumeshawapiga sana kwenye biashara, SGR inawaumiza moyo kwa sababu tukifia burundi/kigoma rwanda na mwanza, basi bandari yao ya mombasa italia machozi wanatamani tusiendelee ili wao waendelee. kuna mengi sana yamejificha naomba watanzania msijefikiri hawa watu wanatupenda. CJ wawili wasingetoka kule kuja hapa kama hawajatumwa, na waliowatuma hawatutakii mema. tumalizane sisi kwa sisi mambo yetu lakini tusiruhusu jirani atuvuruge.
Unadhalilisha hata hiyo ID unayotumia
 
Wapinga Serikali wawe makini. Baada ya hii kauli watatekwa na kupotezwa zaidi kuliko mwanzo.
 
Kesi hii ina faida kubwa zaidi kwetu kuliko kwao, yani wazungu wanahangaika mno na jamaa atoke, hata wajinga toka Kenya wanakuja kutukuza kisiasa kimataifa, na ni vizuri deportations ziendelee kuwarudisha Kenya ili watutangaze zaidi kwenye social media, basi nikashangaa mno kuna Mzee mmoja eti analia, mwanaume unaliaje hivyo? kweli ujinga hautoisha bongo hadi Nyerere afufuke, hii kesi ya mnyampaa inajenga picha nzuri Duniani kuwa hapa bongo kuna upinzani mkali na tayari kuna uelekeo wa kutokea vurugu za kisiasa jambo ambalo wazungu wanataka sana litokee wakombe mali, lakini wakati huo huo hili jambo la kuhangaika nae kwa miezi kadhaa ili aachiwe baadae ni zuri mno na lenye faida kwa nchi yetu isiyo na upinzani wowote kiuhalisia maana hata mwenyekiti wa kura ni comrade mwenzetu, watangaza matokeo ni comrades, bunge la upande mmoja la sisi kwa sisi la ndiyo Mzee la kina Betina nalo halina meno.

sasa sisi tayari tumepata mileage kubwa kuwa democracy inakua bongo na mabadiliko yanashika kasi kuelekea kuanza kwa vurugu za kisiasa kama Kenya , hivi sasa tukienda uzunguni kukopa pesa au kuomba misaada watatupa hizo pesa haraka kwa masharti kuwa tuheshimu haki za binadamu, demokrasia na utawala wa Sheria nasi tataahidi kuimarisha haki za binadamu na kutowafunga wapinzani na mpunga utaingia, wazungu washaingia cha kike!!

Kesi hii inafaa sana isogee hadi mwakani maana tutazoa mabilioni ya misaada na mikopo toka uzunguni. Wazungu hutoa pesa pale wanapoona kuna dalili za kutokea fujo za kisiasa!! Ila malengo yakitimia ni vizuri aachiwe tu!

Ahsante sana Bimkubwa kwa kulinda amani na utulivu, go go Mazeri, you are the best.

Waliosoma UDSM political sciences tu wataelewa! Na vipanga wengine of course!!
Umepiga "reverse gear",we mkali🤣
 
Back
Top Bottom