- Thread starter
- #201
Picture of the day! safi sana
Picture of the day! safi sana
Kabisa mkuu hajashtukiaNa bado hajashtukia huo mchezo anaochezewa!
Umeonesha kiwango cha chini sana cha matumizi ya ubongo.Wasio mtakia wema Tundu Lisu ni miongoni mwenu CHADEMA msitafute mchawi na ndio ukaona kundi fulani limejitenga, Lisu anatumika kwa vile wamumuona ana ukosefu fulani wa akili. Wapo watu ndio wanapalilia ili yakimkuta wao ndio wawe viongozi na ndio hao hao wanaojifanya watetezi wake wakubwa. Ndio hatari sana hawa mawakili hawa wanaojidai kumtetea ni watu wasio mtakia heri,
Kutoka ni lazima. Anayebisha hilo akapimwe akiliAmevurugwa kweli kweli . Ila siku ikifika atatoka tu.
Namwonea huruma sanaKesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Kufuatilia kesi kuna hatari gani kwa Nchi? Wewe umewahi kwenda Mahakamani? Ushawahi zuiwa kwenda kufuatilia kesi Mahamani Nchi nyingine ukaambiwa kwa kua wewe sio raia marufuku kufuatilia hii kesi rudi kwenu?Kaongea sahihi.Nyie kama mnadhani kua rais wa nchi ni kusikiliza na kuruhusu ujinga ujinga wawatu niambie nchi ambayo iko hivyo.Hakuna nchi ambayo watu wanaweza kujiamulia kufanya lolote.Na hakuna nchi ambayo haina kabisa vitendo viovu au matukio yakukandamizana au misuguano ya kisiasa.Kwahiyo alichokiongea yeye kama kiongozi wa nchi ni sahihi na ukiwa na akili timamu ujumbe unaeleweka.
Za mkiziMama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Mkuki umepenya kwenye mfupaKaona viclip kadhaa🤔😷
Ulichoandika hapa ni hakina mantiki.Ina maana akija kiongozi wa upinzani yeye hata kufa?.Kufa nikwakila kiumbe hai.Kama kuna hoja za msingi tunaona haziko sawa tunatakiwa kuzipigia kelele ili zitengenezewe mazingira ya kujadiliwa ili tuwe tumefanya sehemu yetu kwasababu ata sisi tutapita siku isiyo na jina.Sasa kukalia kusema kua ata yeye atapita au flani yuko wapi hiyo haina maana kwasababu hata sisi tutapita.Na akipita huyo atakuja mwingine.Je tutapita tukiwa tumebadilisha nini kwenye jamii au tutakua ni kizazi kilichoishia kulalamika na kulaani mitandaoni.Jiwe yuko wapi?
Bandari imebinafsishwa kwa mwekezaji jinga ww!Waweza tusaidia kufahamu, kama nchi tunanufaikaje tokana na uuzwaji wa bandari na ngorongoro? Na je kati ya lisu na hawa watawala waliozitoa hizo rasilimali sambamba na madini Kwa mikataba ya kificho, ni nani anastahili kuitwa msaliti?
Tena huyu mama ni mpole sana.Waafrika ukiwapa sana uhuru lazima waharibu.Jiwe alijua hilo ndo maana akapiga pini mambo ya siasa za majukwaani na wote tulitulia.Wapinzani tulionao wao wanatafuta uhuru wao wapate madaraka hakuna ata mmoja mwenye kumfikiria mwananchi ndo maana wananchi tunasukumizwa tuone kama rais anakosea na nchi iko kwenye hatari kubwa kumbe ni kelele za wanasiasa na wanaharakati ambazo ziko dunia nzima.Kuna muda Rais unatakiwa kuongea hivi kama Amir Jeshi siyo kuchekacheka na wapuuzi, madhara ya kuchekacheka dakika zote umesukumiwa hadi kwenye kona ya mwisho.
Haya tayari ni maelekezo kwa mahakama kutotenda haki kwa Lissu. Tunaomba jumuiya ya kimataifa iwapige pin ili liwe fundisho kwa wapuuzi wengine wanaosigina haki za raia.Mama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Watu kama nyie ndiyo unasababisha tuonekane nyaninakubaliana na Samia katika hili. CJ wawili toka Kenya ambao hawawezi kutoka kuja hapa bila kibali cha Ruto, na wote waliokuja, serikali imewaheshimu sana,walitakiwa waadibishwe kabisa. kenya ni EU kuna uwezekano mkubwa wazungu wameona wameshindwa pa kutuvuruga wanaingilia kenya, yaani tangu lini wakenya wakatupenda namna hii kutupigania? never on earth. wazungu wameingilia hapo, na kenya wenyewe tumeshawapiga sana kwenye biashara, SGR inawaumiza moyo kwa sababu tukifia burundi/kigoma rwanda na mwanza, basi bandari yao ya mombasa italia machozi wanatamani tusiendelee ili wao waendelee. kuna mengi sana yamejificha naomba watanzania msijefikiri hawa watu wanatupenda. CJ wawili wasingetoka kule kuja hapa kama hawajatumwa, na waliowatuma hawatutakii mema. tumalizane sisi kwa sisi mambo yetu lakini tusiruhusu jirani atuvuruge.
HONGERA SANA MH.RAIS ... WEWE NDIYE UMEPEWA MAMLAKA YA KULINDA TAIFA LETU,TUPO PAMOJA NA WEWE,TUIPENDA TANZANIA NA TUTAILINDA KWA GHARAMA YOYOTE ILE.Mama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Wakija kusikiliza kesi wewe unaumia wapi?Wale wacenge wakija tena watakula virungu watafurahi
Wapi Mh.Rais ametamka mahakama, acheni kulialia kamanda.. Lissu yupo salama na kama atakutwa hamna hatia lazma atakua huruHaya tayari ni maelekezo kwa mahakama kutotenda haki kwa Lissu. Tunaomba jumuiya ya kimataifa iwapige pin ili liwe fundisho kwa wapuuzi wengine wanaosigina haki za raia.