Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

Uyu tahaira sijui ana hali gani sasa hivi, kautelekeza na uzi kakimbia
 
Mpaka sasa Kocha Nabi kashaondoka na kocha wa makipa kashasepa. List ndefu inafuata. Wazee wa kutukana njooni tujadili
 
Nakuja na taarifa za Joyce Lomalisa na Fiston Mayele
 
Gueldich(fitness coach) anakaribia kutua South Africa
 
Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga mbele tena kombe la shirikisho Africa msimu huu. Japo Mallumo Galants wanasuasua kwenye ligi yao ila ubora wa mbinu na ushindani wa ligi wa South Africa utawabeba. Mechi ya kwanza kwa Mkapa italeta hofu kubwa kwa Wanayanga.
Natabiri na msimu ujao utakuwa mbaya kwa Yanga ndani na nje ya nchi kwa sababu:
1. Tajiri upepo unakata (mkwanja )
2. Timu za nje zimemjua Yanga na zitajiandaa kumkabili
3. Simba atakuwa bora zaidi
4. Baadhi ya wachezaji wataondoka
4. Baadhi ya wachezaji wake wameanza kuchoka(Aucho,Djuma na Bangala ni mfano
5. Nabi ataondoka.
6. Hujuma wakati wa kupata muwekezaji. Watajitokeza wengi na watakaonyimwa timu wataihujumu

N.B: Ubingwa wa msimu huu umeamuliwa na makosa ya kibinadamu zaidi kuliko ubora
Jipige kifuani sema hakika Mimi ni mchawi kasoro vitendea kazi tu ndio sina.
 
Back
Top Bottom