Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Uyu tahaira sijui ana hali gani sasa hivi, kautelekeza na uzi kakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni siku ya mwisho kufurahi. Kilio na lawama zinakujaUjinga ni kipaji
Ujinga ni KIPAJI nasisitizaLeo ni siku ya mwisho kufurahi. Kilio na lawama zinakuja
Mjinga ataonekana ni suala la mudaUjinga ni KIPAJI nasisitiza
Walikua na mkataba wa milele?Mpaka sasa Kocha Nabi kashaondoka na kocha wa makipa kashasepa. List ndefu inafuata. Wazee wa kutukana njooni tujadili
[emoji23][emoji23][emoji23]Walikua na mkataba wa milele?
Ulivyoambiwa ukashupaza shingo hukulijua hilo?Walikua na mkataba wa milele?
Kwa hio hutaki waondoke?Ulivyoambiwa ukashupaza shingo hukulijua hilo?
Nikuulize weweKwa hio hutaki waondoke?
Tunaongelea present na future wee tuletee past hapaunaumia ukiwa wapi mkuu
YANGA BINGWA NBCPL
YANGA BINGWA ASFC
YANGA MSHINDI WA 2 SHIRIKISHO
Jipige kifuani sema hakika Mimi ni mchawi kasoro vitendea kazi tu ndio sina.Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga mbele tena kombe la shirikisho Africa msimu huu. Japo Mallumo Galants wanasuasua kwenye ligi yao ila ubora wa mbinu na ushindani wa ligi wa South Africa utawabeba. Mechi ya kwanza kwa Mkapa italeta hofu kubwa kwa Wanayanga.
Natabiri na msimu ujao utakuwa mbaya kwa Yanga ndani na nje ya nchi kwa sababu:
1. Tajiri upepo unakata (mkwanja )
2. Timu za nje zimemjua Yanga na zitajiandaa kumkabili
3. Simba atakuwa bora zaidi
4. Baadhi ya wachezaji wataondoka
4. Baadhi ya wachezaji wake wameanza kuchoka(Aucho,Djuma na Bangala ni mfano
5. Nabi ataondoka.
6. Hujuma wakati wa kupata muwekezaji. Watajitokeza wengi na watakaonyimwa timu wataihujumu
N.B: Ubingwa wa msimu huu umeamuliwa na makosa ya kibinadamu zaidi kuliko ubora
unaumia ukiwa wapi mkuuTunaongelea present na future wee tuletee past
Ila onyango bado yupo Simba mkuu, be informedGueldich(fitness coach) anakaribia kutua South Africa