Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Mimi naongea kwa experience, wewe unatumia uzoefu wa ubishi, ngoja nikuache
Napingana na wewe.Materials za Taaluma ya Udaktari nyingi zipo Kwa lugha ya kingereza.
Na kutokana na mabadiliko ya magonjwa na madawa Udaktari kila siku unahitaji ku-update.
Huwezi kuwa Daktari mahiri bila kujua Lugha ya kingereza
Suala la uwezo ni muhimu sana. Daktari asiyeimudu kazi yake hafai.
Lakini suala la uwezo na suala la kuongea Kiingereza ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kuongea Kiingereza kizuri au kibaya, hakuna uhusiano wowote ule wa moja kwa moja na uwezo wa daktari katika kazi yake.
Hapa unazungumzia udaktari. Siyo uanasheria.Huwezi kuwa Guru wa sheria Kama hujui kingereza.
Huwezi kuwa Daktari bingwa Kama kingereza kinakuchenga.
Sasa Kama kingereza kinakuzingua kutokana na uhaba WA msamiati utajifunza vipi vitu vipya maana wote tunajua vitu vingi havijaandikwa Kwa lugha ya Kiswahili.
Labda uwe Daktari wa level ya kawaida tuu
Napingana na wewe.
Unaweza kabisa kuwa daktari mahiri na usijue Kiingereza.
Kuna madaktari wengi tu mahiri, dunia nzima ambao hawajui Kiingereza.
Hapa unazungumzia udaktari. Siyo uanasheria.
Mimi napingana na wewe.
Unaweza kabisa kuwa daktari bingwa hata kama Kiingereza hukijui vizuri.
Wewe una ‘defeatist attitude’. Mimi nina ‘ a can-do spirit’.
Kuna madaktari wengi tu hapa duniani ambao ni mabingwa na hawajui Kiingereza.
Futa ujinga. Panua wigo wako wa ufahamu.
Wajapan wanatumia lugha zipi kati ya hizo ulizoziorodhesha hapo?Hawajui kingereza lakini lazima wajue lugha moja Kati ya hizo.
Ki-spain
Kifaransa
Kirusi
Kireno
Kiarabu
Na kichina kidogo.
Kwa sababu material nyingi zimewekwa au kutafsriwa Kwa lugha hizo.
Hapa nchini uwezo wa kutafsri maandiko na vitabu vya kitaaluma Kwa Kiswahili ni kipengele.
Huko vyuoni kozi nyingi hufundishwa Kwa lugha ya kingereza, sasa Kama kingereza hujui utakuwaje mahiri??
Labda uwezo wa Kati tuu.
Sijui Kama umeelewa concept yangu.
Ni Kama vile Kozi ya sheria, unafikiri ingewekwa Kwa Kiswahili watu wangeiona ngumu?
Wajapan wanatumia lugha zipi kati ya hizo ulizoziorodhesha hapo?
Wajerumani nao wanatumia lugha zipi kati ya hizo?
Waitaliano je? Waturuki je?
Wewe utakuwa hujatembea nchi zingine, ma Dr wengi tu wa china , india na nchi nyingi hawajui kingereza wanajua lugha ya kitabibu, kingereza hakitibu mgonjwaHakuna Daktari wa kichina na kiarabu asiyejua kingereza wadanganye hao hao wajinga.
Hao warusi ukiona hajui kingereza basi ujue anajua ki-spain au kireno.
Nenda Dubai, Qatar, kote huko
Uko sahihi mkuu
Wewe utakuwa hujatembea nchi zingine, ma Dr wengi tu wa china , india na nchi nyingi hawajui kingereza wanajua lugha ya kitabibu, kingereza hakitibu mgonjwa
Sabato NJEMA!
Kuna madaktari waliotokea moja Kwa moja Kidato cha Sita kwenda kusoma MD, na wapo ambao wametokea Diploma(Clinical Officer, CO) kwenda kusomea MD.
Kiukweli nimeshtushwa mno baada ya kukutana na Baadhi ya Madaktari watarajiwa wasomao MD na wengine waliomaliza CO.
Mambo yaliyonishtua;
1. Hawajui Lugha ya kingereza.
Kuna kipindi nilifika Pale Mloganzila ambayo Kwa wasioijua ni sehemu ya Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambayo kimsingi madaktari wake inatakiwa wawe vipanga na wenye uwezo Mkubwa.
Madaktari waliomafunzoni walinishtua Sana Kwa kingereza Chao kibovu kilichowafanya mara Kwa mara kucheka CHEKA Kwa aibu.
Sitaki kuzungumzia Ma-CO, ambao wengi wao nao kingereza kinawapiga chenga.
Kuna watu watasema, kingereza sio muhimu kwani ni lugha Kama lugha zingine.
Kumbuka materials nyingi za Taaluma ya Udaktari zipo katika Lugha ya kingereza, kutokujua kingereza kutamfanya Daktari kutokuwa mahiri.
2. Clinical officers wa Zama hizi wengi wao sio mahiri, hawako competent katika Taaluma Yao.
Nikikutana na wahitiu wa Diploma ya Clinical officer katika Stori nikiwasabahi nikawauliza mmoja mmoja aelezee concept ya Physiology, mwingine aelezee concept ya anatomy, na mwingine aelezee jinsi damu inavyozalishwa ndani ya Mwili WA mwanadamu.
Unajua hizo ni concept ndogo Sana ambazo hata mwanafunzi wa Kidato cha nne na sita wanaweza Kueleza.
Lakini wakaishia kubwabwaja.
Ukienda baadhi ya Hospitali, madaktari hawajui ku-take patient History, baadhi Yao wanakulazimishia vitu ambavyo havikuumi.
Na hapa nazungumzia madaktari Vijana. Unakuta kijana CV kubwa lakini uwezo unatia Shaka.
Hakuna kitu kinakera Kama uende Hospitalini alafu ukute Daktari anauwezo mdogo katika Fani yake, yaani ukimsikiliza unagundua kabisa hapa hamna kitu.
Ni Sawa na Mwanafunzi afundishwe na mwalimu kilaza, yaani inakera Sana.
Ushauri wangu, siku hizi ukienda Hospitalini kuwa Makini Sana, madaktari wa siku hizi sio wakuwaamini 💯 hasa hawa Vijana.
Serikali iangalie Kwa umakini hivi vyuo vya Kati ambavyo ongezeko lake limekuwa kubwa.
Kuna watu hawatanielewa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Na ndio maana nikakwambia wanajua lugha za kitabibu sio kingereza cha kuongea na hiyo ipo kwa wataalamu wengi too sio ma Dr. Peke yao hata engeneers na kada zingineKingereza hakitibu ndio Ila ndio lugha ya kujifunzia huo utabibu.
Sasa la huijui lugha inayokufanya uwe tabibu utakuwaje tabibu mahiri?
Hizo nchi za China na India wanajifunza utabibu Kwa kutumia kingereza? Au wanatumia lugha zao?
English ya kusoma na kuelewa concept haijawahi kuwa tatizo kubwa kwa wanataaluma wengi kibongo..Materials za Taaluma ya Udaktari nyingi zipo Kwa lugha ya kingereza.
Na kutokana na mabadiliko ya magonjwa na madawa Udaktari kila siku unahitaji ku-update.
Huwezi kuwa Daktari mahiri bila kujua Lugha ya kingereza