Pre GE2025 Kwa haya Mafuriko ya Rais Samia, hakuna Sababu ya kampeni Mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu watanzania,

Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za Mheshimiwa Rais wetu mpendwa, kwa hakika hakuna sababu Ya yeye kuanza kuzunguka Nchi nzima kupiga kampeni za Urais Mwakani.

Mama anapendwa na kukubalika mpaka wapinzani wanatetemeka kama wagonjwa wa homa kali. Wapinzani kwa sasa wamechanganyikiwa na kuvurugwa kabisa akili baada ya kuona mapokezi mazito ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapa Nchini.

Kama Afrika ingekuwa ni nchi moja basi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia ndiye angekuwa Rais kwa sasa.Anakubalika kwa watu mpaka Watu wanatokwa na Machozi ya furaha utafikiri wamepakwa pilipili machoni.View attachment 3062519View attachment 3062520View attachment 3062521View attachment 3062522

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3062523
Morogoro kesho ofisi za umma na binafsi wameelekezwa kufunga ofisi mchana ili watumishi wakajaze jamhuri stadium. Mashule kesho kazi ni hiyo hiyo pamoja na kusomba watu toka wilaya za karibu..

Najiuliza tu huyu mama haya yanayofanyika anayajua dhahiri au watu wanamla kisogo? Ni huruma sana!! Imagine hadi vyo visivyo vya umma wafanyakazi kuamriwa wafanye kazi nusu siku!!
 
Naona mafuriko ya Mama yamewachanganya mpaka sasa mnaanza kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu.
 
Morogoro kesho ofisi za umma na binafsi wameelekezwa kufunga ofisi mchana ili watumishi wakajaze jamhuri stadium. Mashule kesho kazi ni hiyo hiyo pamoja na kusomba watu toka wilaya za karibu..

Najiuliza tu huyu mama haya yanayofanyika anayajua dhahiri au watu wanamla kisogo? Ni huruma sana!! Imagine hadi vyo visivyo vya umma wafanyakazi kuamriwa wafanye kazi nusu siku!!
Pia kesho kuna Shoo ya bure ya Diamond platnumz lazima mafuriko yatakuwepo
Samia bila busta hajazi.

View: https://www.instagram.com/p/C-TMMulKCLP/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.
Acha kuongea maneno ya Kipuuzi Wewe mbele ya watu wenye akili zao timamu, Mnafiki mkubwa wewe, Kila rais ni Mpango wa Mungu, Acha kukufukuru na kujipendekeza kwa mtu ambaye hakujui na mtu ambaye anapita tu hawezi kuishi milele. hata Jakaya Kikwete mpaka Maaskofu walikuwa wanasema ni mpango wa Mungu. mmekuwa Wajinga sana Nyinyi Walamba viatu.

Hiyo 2020 hizo kura zenyewe mliiba mfumo wote wa matokeo ya Uchaguzi halafu leo unakuwa unaandika Ujinga kama huu. Ningekuwa na mamlaka na hili jukwaa hizi nyuzi zako zote ningekewa nazifuta maana unaata ujinga na upuuzi mtupu.
 
Chanzo cha mafuriko
1. Kusomba watu
2. Kutumia watu maarufu kama wasanii. Mfano kesho 6/8/2024 Diamond platnumz atashusha shoo morogoro lazima mafuriko yatakuwepo

Erythrocyte

View: https://www.instagram.com/p/C-TMMulKCLP/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==

Wajinga sana hawa raia, Na mfumo wote sasa hivi umekuwa hovyo tu , halafu anatokea Mjinga mmoja huyu Lucas Mwashambwa anakuwa anaandika ujinga humu. Kwa kifupi watu tumedhurumiwa haki zetu na tumejaribu kila namna kuzidai bado haki haitendeki. Punguza Ujinga wako, Lucas
 
hayo ni matokeo ya ujinga uliozalishwa na CCM wananchi january to december wapo vijijini hawana mahala pa kwenda so wakiona anything making their environment look deferent lazima walipuke kushangaa hasa hayo mafuriko ya anasa
 
Acha uongo wako hapa
 
Wajinga sana hawa raia, Na mfumo wote sasa hivi umekuwa hovyo tu , halafu anatokea Mjinga mmoja huyu Lucas Mwashambwa anakuwa anaandika ujinga humu. Kwa kifupi watu tumedhurumiwa haki zetu na tumejaribu kila namna kuzidai bado haki haitendeki. Punguza Ujinga wako, Lucas
Umedhulumiwa haki gani? Umekwenda mahakamani?
 
Acha kuongea maneno ya Kipuuzi Wewe mbele ya watu wenye akili zao timamu, Mnafiki mkubwa wewe, Kila rais ni Mpango wa Mungu, Acha kukufukuru na kujipendekeza kwa mtu ambaye hakujui na mtu ambaye anapita tu hawezi kuishi milele. hata Jakaya Kikwete mpaka Maaskofu walikuwa wanasema ni mpango wa Mungu. mmekuwa Wajinga sana Nyinyi Walamba viatu.

Hiyo 2020 hizo kura zenyewe mliiba mfumo wote wa matokeo ya Uchaguzi halafu leo unakuwa unaandika Ujinga kama huu. Ningekuwa na mamlaka na hili jukwaa hizi nyuzi zako zote ningekewa nazifuta maana unaata ujinga na upuuzi mtupu.
Unateseka ukiwa wapi! Wapinzani hamuwezi kupewa kura na watanzania maana ninyi ni wababaishaji tu na wasaka Tonge tu
 
Chanzo cha mafuriko
1. Kusomba watu
2. Kutumia watu maarufu kama wasanii. Mfano kesho 6/8/2024 Diamond platnumz atashusha shoo morogoro lazima mafuriko yatakuwepo

Erythrocyte

View: https://www.instagram.com/p/C-TMMulKCLP/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==

Wasanii na watu maarufu wote wanamkubali sana Rais wetu mpendwa na ndio maana wanamuunga mkono sana na watampigia kura za ndio. Embu na ninyi ma CHADEMA nendeni mumuite Diamond muone kama atakuja kwenye vibanda vyenu vya ufipa hapo.
 
Rais Samia ni kiongozi Mnyenyekevu,mtulivu, mwenye moyo wa Subira na uvumilivu wa hali ya juu sana
Mnyenyekevu,mtulivu,MSIKIVU: lakini that is about to change,kazi zitamuelemea,hawezi kuiongoza hii nchi,it is a very sophisticated country.
You will see her beginning to falter.
The president will break down. Kwa mfano, tulikuwa tunadhania ipo vita huko DRC lakini tunaambiwa,no,hiyo vita imekaribia kuanza.
 
Ndugu zangu watanzania,

Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za Mheshimiwa Rais wetu mpendwa, kwa hakika hakuna sababu Ya yeye kuanza kuzunguka Nchi nzima kupiga kampeni za Urais Mwakani.

Mama anapendwa na kukubalika mpaka wapinzani wanatetemeka kama wagonjwa wa homa kali. Wapinzani kwa sasa wamechanganyikiwa na kuvurugwa kabisa akili baada ya kuona mapokezi mazito ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapa Nchini.

Kama Afrika ingekuwa ni nchi moja basi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia ndiye angekuwa Rais kwa sasa.Anakubalika kwa watu mpaka Watu wanatokwa na Machozi ya furaha utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
View attachment 3062519View attachment 3062520View attachment 3062521View attachment 3062522

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3062523
Hata Wapinzani wanatakiwa kuona aibu,hakuna awamu imewali peleka maendeleo makubwa kwenye sekta zote Nchi hii kama awamu ya 6 chini ya Dk Samia.

Sasa unajiuliza hao Wapinzani wataenda kusema Serikali haijafanya kipi? Maana karibu Kila sekta mama ameupiga mwingi.

Wapinzani njooni mtueleze mtasema nini?

Samia Anatosha na chenji inabaki
 
Nitaendelea kuzileta tuuu kila siku, maana Najuwa zinakutesa sana moyo wako mpaka presha inapanda na kushuka utafikiri mtu aliyevaa suruali mlegezo. Mama ni mpango wa Mungu Mwenyewe.kama unaumia kunywa hata sumu tu ndugu yangu Erythrocytes😃😃😃
Walishapanuka mioyo yao hawa tayari. Wewe endelea comrade kutupia vitu. Picha hazina kuedit hizi
 
Back
Top Bottom