Pre GE2025 Kwa haya Mafuriko ya Rais Samia, hakuna Sababu ya kampeni Mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu watanzania,

Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za Mheshimiwa Rais wetu mpendwa, kwa hakika hakuna sababu Ya yeye kuanza kuzunguka Nchi nzima kupiga kampeni za Urais Mwakani.

Mama anapendwa na kukubalika mpaka wapinzani wanatetemeka kama wagonjwa wa homa kali. Wapinzani kwa sasa wamechanganyikiwa na kuvurugwa kabisa akili baada ya kuona mapokezi mazito ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapa Nchini.

Kama Afrika ingekuwa ni nchi moja basi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia ndiye angekuwa Rais kwa sasa.Anakubalika kwa watu mpaka Watu wanatokwa na Machozi ya furaha utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
View attachment 3062519View attachment 3062520View attachment 3062521View attachment 3062522

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3062523
SIJAWAHI KUONA LUCAS MWENYE AKILI WOTE HUWAGA NI MINARA
 
Mafuriko ya mchongo.
 
Tungekuwa hatujui hayo mafuriko yanapatinaje ndio yangetuchanganya. Watu wasiojitambua ndio mnaweza kuwahadaa na hayo mafuriko ya mchongo.
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, anaendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.Ndio maana unaona Watu wakimiminika na kufurika kama mchanga wa baharini katika mikutano yake
 
Narudia tena, kwa mazombie ndio mtawahadaa kwa hizo nyomi za mchongo. Tunaojitambua tunawachora tu.
 
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe

Hata Wapinzani wanatakiwa kuona aibu,hakuna awamu imewali peleka maendeleo makubwa kwenye sekta zote Nchi hii kama awamu ya 6 chini ya Dk Samia.

Sasa unajiuliza hao Wapinzani wataenda kusema Serikali haijafanya kipi? Maana karibu Kila sekta mama ameupiga mwingi.

Wapinzani njooni mtueleze mtasema nini?

Samia Anatosha na chenji inabaki
Hivi wodi za mirembe zimejaa?
 
Mmejaza watoto wetu wa shule za msingi, secondary, vyuo, watumishi wa Halmashauri - mna taabu nyingi nyie.
 
Back
Top Bottom