Pre GE2025 Kwa haya Mafuriko ya Rais Samia, hakuna Sababu ya kampeni Mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Wapinzani wanatakiwa kuona aibu,hakuna awamu imewali peleka maendeleo makubwa kwenye sekta zote Nchi hii kama awamu ya 6 chini ya Dk Samia.

Sasa unajiuliza hao Wapinzani wataenda kusema Serikali haijafanya kipi? Maana karibu Kila sekta mama ameupiga mwingi.

Wapinzani njooni mtueleze mtasema nini?

Samia Anatosha na chenji inabaki
Ndio maana kwa sasa upinzani umekata kabisa pumzi.
 
Ndugu zangu watanzania,

Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za Mheshimiwa Rais wetu mpendwa, kwa hakika hakuna sababu Ya yeye kuanza kuzunguka Nchi nzima kupiga kampeni za Urais Mwakani.

Mama anapendwa na kukubalika mpaka wapinzani wanatetemeka kama wagonjwa wa homa kali. Wapinzani kwa sasa wamechanganyikiwa na kuvurugwa kabisa akili baada ya kuona mapokezi mazito ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapa Nchini.

Kama Afrika ingekuwa ni nchi moja basi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia ndiye angekuwa Rais kwa sasa.Anakubalika kwa watu mpaka Watu wanatokwa na Machozi ya furaha utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
View attachment 3062519View attachment 3062520View attachment 3062521View attachment 3062522

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3062523
Watu wanabubujikwa na machozi ya furaha 🌺
 
Mafuriko yawepo yasiwepo sawa lakini siku ya kupiga kura ili zijulikane mbivu na mbichi msije mkajaza kura fake kwenye masanduku ya kura na kuwateka washindani wenu.
 
Rais Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Maana ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania.
 
Unateseka ukiwa wapi! Wapinzani hamuwezi kupewa kura na watanzania maana ninyi ni wababaishaji tu na wasaka Tonge tu
Mimi sio Mpinzani sema Wewe akili yako imekuwa ni ya Kijinga sana na wale Wafia tumbo wenzako yaani mnakuwa mnajipendekeza kwa mtu na kumpa sifa zote, Halafu huu ujinga wa kuwaita Marais walioko Madarakani ulianza tangu kipindi cha Kikwete. Yaani huu ujinga unanikera sana. Unampamba mtu na kumpa sifa ambazo hana huu ni unafiki na ujinga mkubwa sana. Hakusikii na wala hakujui. Punguza ujinga huu.
 
Kama unaumia watanzania kumpenda Raisi wao na kumpongeza kwa uchapakazi wake basi wewe kunywa tu sumu UFE tu kabla hujafa kwa presha .
 
Ndugu zangu watanzania,

Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za Mheshimiwa Rais wetu mpendwa, kwa hakika hakuna sababu Ya yeye kuanza kuzunguka Nchi nzima kupiga kampeni za Urais Mwakani.

Mama anapendwa na kukubalika mpaka wapinzani wanatetemeka kama wagonjwa wa homa kali. Wapinzani kwa sasa wamechanganyikiwa na kuvurugwa kabisa akili baada ya kuona mapokezi mazito ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapa Nchini.

Kama Afrika ingekuwa ni nchi moja basi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia ndiye angekuwa Rais kwa sasa.Anakubalika kwa watu mpaka Watu wanatokwa na Machozi ya furaha utafikiri wamepakwa pilipili machoni.
View attachment 3062519View attachment 3062520View attachment 3062521View attachment 3062522

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3062523
Vua chupi haraka akuweke kitu. Jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Chonde chonde CCM tusimsimamishe Mama.Hali itakuwa mbaya mno.
 
Kwenda zako huko .Itakuwa wewe ni li CHADEMA
Mimi ni kada wa kweli wa CCM.Kabla ya mwaka 2015 nilikuwa nawashauri wazee wa deep state wasimsimamishe Lowasa badala yake wamsimamishe Magufuli.Hoja ilikuwa anatoka ukanda wenye wapiga kura wengi na bado anaaminika kwa watanzania.

Na ikawa hivyo.

Naangalia tu uhalisia wa mambo.Kwani CCM itaendelea kuongoza miaka nenda rudi.Hata tungekusimamisha wewe utashinda urais.Lakini CCM ina watu wengi mno wenye uwezo zaidi na waadilifu.Wapo akina Nchimbi,Polepole,Makonda,Bashiru,Mpina nk.
 
Rais Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Maana ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania.
Nakubaliana na wewe kuwa atashinda.Lakini hoja hapa ni je,CCM tutakuwa tumewandea haki watanzania?
 
Mimi ni kada wa kweli wa CCM.Kabla ya mwaka 2015 nilikuwa nawashauri wazee wa deep state wasimsimamishe Lowasa badala yake wamsimamishe Magufuli.Hoja ilikuwa anatoka ukanda wenye wapiga kura wengi na bado anaaminika kwa watanzania.

Na ikawa hivyo.

Naangalia tu uhalisia wa mambo.Kwani CCM itaendelea kuongoza miaka nenda rudi.Hata tungekusimamisha wewe utashinda urais.Lakini CCM ina watu wengi mno wenye uwezo zaidi na waadilifu.Wapo akina Nchimbi,Polepole,Makonda,Bashiru,Mpina nk.
Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili na kuliletea maendeleo kwa wakati huu na ujao.
 
Rais Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Maana ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania.
Tatizo siyo kushinda,tatizo ni pale mnaposhinda kwa kura fake,kupora form za wapinzani,kuteka wapinzani,kutumia tume kukata majina ya wapinzani,kulazimisha wananchi kuongozwa na viongozi ambao hawakuwachagua na hakuna anayepinga CCM kushinda kinachopingwa ni mbinu chafu inazotumia CCM kushinda.
 
Back
Top Bottom