Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,
"Hukumbuki pia Aliwahi sema haoni chama kingine zaidi ya ccm "

Mimi nimesema Mwalimu kaongea ukweli CCM sio mama yake. Tunaangalia ulweli wa kauli sio mtoa kauli. Kuna kipindi mwanasiasa naye huongea ukweli.
 
Mimi nimesema Mwalimu kaongea ukweli CCM sio mama yake. Tunaangalia ulweli wa kauli sio mtoa kauli. Kuna kipindi mwanasiasa naye huongea ukweli.
Kwa akili yako kauli hiyo unaiamini kwa moyo wako wote 😇😇😇
 
Kwa akili yako kauli hiyo unaiamini kwa moyo wako wote 😇😇😇

Nimekwambia Mimi nimeangalia ukweli wa kauli sio kuiamini. Mimi nikisema CHADEMA sio mama yangu Kuna uongo hapo?. Mwalimu alimaanisha mama ni mmoja tu hakuna mama wawili.
 
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.

Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?

Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.

Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?

"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"

" Ahsanteni sana"
Marekani inayoogopeka Kwa silaha Dunia nzima itaanguka soon Kwa civil war, sembuse CCM!!!

Mungu akitamka mwisho wa jambo Fulani umekuwa, hayupo wa kulinusuru CCM na kifo.

Aamen
 
Lini marekani itaanguka? OK inaweza kama ottoman empire ilianguka
Marekani inayoogopeka Kwa silaha Dunia nzima itaanguka soon Kwa civil war, sembuse CCM!!!

Mungu akitamka mwisho wa jambo Fulani umekuwa, hayupo wa kulinusuru CCM na kifo.

Aamen
 
CCM itakufa pasipo kutarajia kama Magufuli tu, ambaye mpk leo machawa wake wanaamini ipo siku atarudi ikulu.
Ni Kweli CCM itakufa pasipo kutarajia.

Lakini ni Kweli pia Magu atarudi IKULU tena, baada ya mnaemwita mama.

Tusubiri.
 
Lini marekani itaanguka? OK inaweza kama ottoman empire ilianguka
Marekani ilianzishwa kama Taifa ktk msingi wa Mungu, hata pesa Yao imeandikwa IN GOD WE TRUST.

Marekani imeacha msingi uliotumika ktk kuanzishwa hivyo Iko hatua za mwisho, na itaanguka soon.

Msingi wa kuanzisha CCM ulikuwa ni Imani ktk UTU na HAKI.

CCM wameuacha msingi huo, amini usiamini baada ya 2026 sahau kuhusu CCM, bt TANZANIA itaneemeka na maziwa na asali vitapatikana hapa.

Aamen.
 
Suala sio kutoka madarkani
ccm kama ccm inaweza kutolewa madarakani

Issues ni kuwa hata ikitoka mifumo na desturi za utendaji ndio tatizo
Kama mifumo hiyo itaendelea na ccm nayo itakuwa madarakani katika ngozi mpya au dera mpya na chupi ya zamani
 
Back
Top Bottom