econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mwl. Alikuwa mwanasiasa pia, ogopa Wanasiasa,wana kauli za mitego na kiudadisi,mwanasiasa anaweza kuzungumza jambo la kukufurahisha kukupima au kuichezea akili yako.
Mwalimu aliongea ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwl. Alikuwa mwanasiasa pia, ogopa Wanasiasa,wana kauli za mitego na kiudadisi,mwanasiasa anaweza kuzungumza jambo la kukufurahisha kukupima au kuichezea akili yako.
sahauni ccm oyeeeee....wale tunao amini hawa vijana wavaa vinjunga hawawezi kuitoa ccm madarakani tuseme ccm oyeeeee..
We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,Mwalimu aliongea ukweli.
acha kuota saaizi.ccm milele daima .
We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,
"Hukumbuki pia Aliwahi sema haoni chama kingine zaidi ya ccm "
Ogopa Sana siku mjinga akierevuka.
We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,
"Hukumbuki pia Aliwahi sema haoni chama kingine zaidi ya ccm "
Kwa akili yako kauli hiyo unaiamini kwa moyo wako wote 😇😇😇Mimi nimesema Mwalimu kaongea ukweli CCM sio mama yake. Tunaangalia ulweli wa kauli sio mtoa kauli. Kuna kipindi mwanasiasa naye huongea ukweli.
kwavijana walivyo wajinga wapenda ngono wapenda mtelezo wapenda shortcut sijui kwakweli...
Umeongea ukweli,mda utafika tu,aliondoka kaburu sembuse CCMHakuna lenye mwanzo, likakosa kuwa na mwisho! Hakuna Dola ilikuwa na nguvu hapo zamani kama Dola ya Kirumi! Lakini muda wake wa kuanguka ulipofika, ilianguka kifo cha mende! Sembuse ccm!
It is just the matter of time.
Kwa akili yako kauli hiyo unaiamini kwa moyo wako wote 😇😇😇
Marekani inayoogopeka Kwa silaha Dunia nzima itaanguka soon Kwa civil war, sembuse CCM!!!Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.
Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?
Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.
Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?
"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"
" Ahsanteni sana"
Sio NCCR?, but OK, (mwanasiasa) don't trust.Na hukumbuki alisema chama kinachoweza kushika dola baada ya CCM ni CHADEMA.
wazee hamna kitu vijana ndio kabisaa ngono mbele..Ngono hata wazee wanapenda, siku yakuanguka CCM dharau zitapungua.
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, angalau sasa baadhi mnaanza kuukubali ukweli huu kuwa Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo
Marekani inayoogopeka Kwa silaha Dunia nzima itaanguka soon Kwa civil war, sembuse CCM!!!
Mungu akitamka mwisho wa jambo Fulani umekuwa, hayupo wa kulinusuru CCM na kifo.
Aamen
Ni Kweli CCM itakufa pasipo kutarajia.CCM itakufa pasipo kutarajia kama Magufuli tu, ambaye mpk leo machawa wake wanaamini ipo siku atarudi ikulu.
Marekani ilianzishwa kama Taifa ktk msingi wa Mungu, hata pesa Yao imeandikwa IN GOD WE TRUST.Lini marekani itaanguka? OK inaweza kama ottoman empire ilianguka
No, ni ENEMIES from WITHIN ndo wataiua CCM, ni kanuni ya Uasi ilivyo.Na Hakuna njia nyingine zaidi ya wapinzani.