Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,
"Hukumbuki pia Aliwahi sema haoni chama kingine zaidi ya ccm "

Mimi nimesema Mwalimu kaongea ukweli CCM sio mama yake. Tunaangalia ulweli wa kauli sio mtoa kauli. Kuna kipindi mwanasiasa naye huongea ukweli.
 
Mimi nimesema Mwalimu kaongea ukweli CCM sio mama yake. Tunaangalia ulweli wa kauli sio mtoa kauli. Kuna kipindi mwanasiasa naye huongea ukweli.
Kwa akili yako kauli hiyo unaiamini kwa moyo wako wote 😇😇😇
 
Kwa akili yako kauli hiyo unaiamini kwa moyo wako wote 😇😇😇

Nimekwambia Mimi nimeangalia ukweli wa kauli sio kuiamini. Mimi nikisema CHADEMA sio mama yangu Kuna uongo hapo?. Mwalimu alimaanisha mama ni mmoja tu hakuna mama wawili.
 
Marekani inayoogopeka Kwa silaha Dunia nzima itaanguka soon Kwa civil war, sembuse CCM!!!

Mungu akitamka mwisho wa jambo Fulani umekuwa, hayupo wa kulinusuru CCM na kifo.

Aamen
 
Lini marekani itaanguka? OK inaweza kama ottoman empire ilianguka
Marekani inayoogopeka Kwa silaha Dunia nzima itaanguka soon Kwa civil war, sembuse CCM!!!

Mungu akitamka mwisho wa jambo Fulani umekuwa, hayupo wa kulinusuru CCM na kifo.

Aamen
 
CCM itakufa pasipo kutarajia kama Magufuli tu, ambaye mpk leo machawa wake wanaamini ipo siku atarudi ikulu.
Ni Kweli CCM itakufa pasipo kutarajia.

Lakini ni Kweli pia Magu atarudi IKULU tena, baada ya mnaemwita mama.

Tusubiri.
 
Lini marekani itaanguka? OK inaweza kama ottoman empire ilianguka
Marekani ilianzishwa kama Taifa ktk msingi wa Mungu, hata pesa Yao imeandikwa IN GOD WE TRUST.

Marekani imeacha msingi uliotumika ktk kuanzishwa hivyo Iko hatua za mwisho, na itaanguka soon.

Msingi wa kuanzisha CCM ulikuwa ni Imani ktk UTU na HAKI.

CCM wameuacha msingi huo, amini usiamini baada ya 2026 sahau kuhusu CCM, bt TANZANIA itaneemeka na maziwa na asali vitapatikana hapa.

Aamen.
 
Suala sio kutoka madarkani
ccm kama ccm inaweza kutolewa madarakani

Issues ni kuwa hata ikitoka mifumo na desturi za utendaji ndio tatizo
Kama mifumo hiyo itaendelea na ccm nayo itakuwa madarakani katika ngozi mpya au dera mpya na chupi ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…