Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

Gaganiga

Senior Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
168
Reaction score
376
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.

Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?

Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.

Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?

"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"

" Ahsanteni sana"
 
Siku ikifika ya kutoka watatoka tu madarakani, na miongoni mwa wale watakaochangia kuiondoa CCM madarakani ni hao hao walioko huko vyuoni na jeshi la polisi.

Sio wote wanaoridhishwa na utawala wa CCM kama unavyodhani, wengi wanavumilia tu maumivu wakisubiri siku ya kuliamsha ifike, kwani kiuhalisia wanaofaidi kwa maslahi ya CCM ni kikundi kidogo sana cha watu, sio hao wote uliowataja.
 
Hakuna lenye mwanzo, likakosa kuwa na mwisho! Hakuna Dola ilikuwa na nguvu hapo zamani kama Dola ya Kirumi! Tena ilitawala dunia kabla, na hata baada ya kuzaliwa Yesu Kristo! Lakini ilianguka! Sembuse ccm!

It is just the matter of time.
wee mzee utaicha ccm madarakani.ulishindwa kuitoa ujanani utaweza sasaivi nauzee wako?au malaika atakuja kuitoa au unategemea hawa vijana unao shinda nao humu mukiikashifu ndio waitoe?
 
Siku ikifika ya kutoka watatoka tu madarakani, na miongoni mwa wale watakaochangia kuiondoa CCM madarakani ni hao hao walioko huko vyuoni na jeshi la polisi.

Sio wote wanaoridhishwa na utawala wa CCM kama unavyodhani, wengi wanavumilia tu maumivu wakisubiri siku ya kuliamsha ifike, kwani kiuhalisia wanaofaidi kwa maslahi ya CCM ni kikundi kidogo sana cha watu, sio hao wote uliowataja.
acha kuota saaizi.ccm milele daima .
 
Wasiotaka kutoka Madarakani ni kizazi hiki kumbuka kinapukutika na Kuisha Uliamini kuna Wapiga kura wangeupigia Upinzani kwa jinsi Nchi nzima watu wote walikuwa ccm?
 
Kwani kuna waotanjozi wanaodhania wataitoa ccm madarakani? (Ni utahahira) better dream others issue......
 
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.

Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?

Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.

Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?

"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"

" Ahsanteni sana"
Shika maneno ya Mwalm "CCm si mama yangu".
 
Hakuna mpinzani mwenye nia ya dhati ya kuiondoa ccm madarakani.

Ni swala la wananchi kuamua tu wenyewe. Ukwiategemea wapinzani utakesha.
 
Back
Top Bottom