Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Nimekuelewa sana ulipotaja AL and ML. Kwa wasiovijua hivi vitu wanaweza amini kweli kuwa mwamba kawalamba hao wanawake wote. Dunia inapoelekea utu unapotoshwa na mashine...
 
Mahali nimeona kuwa Balthazar alikuwa na kesi ya upotevu mkubwa wa pesa ya umma,

Wakamkata then wakaenda kwake wakachukua baadhi ya vitu vyake kama laptop ambayo waliifungua na kufanya yaliyoonekana

Ukisema nyaya ni kweli, siamini kama Balthazar ameyafanya yote

Vijana nendeni polepole.
 
Umeongea point kubwa sana ila hawa wavulana wa humu hawawezi kukuelewa kila kitu chao wanaweka kwenye social media halafu wanafanya mauchafu yao.......sio mambo ya kudate na wenye power tu hata hawa michepuko wa kawaida tu mtaani wanaua sana wake/watoto wa me kwa ushirikina
 
Utachoka bure....
 
Kuna video za kweli mule na za AI pia...
 
Twende pole pole! Hivi mimi nikisema nimetembea nawe utakaa kimya? Halafu wewe ni mke wa boss na familia yako
 
Naamini Hizi ni AI ila zinaakisi ukweli wa matukio. Kuwa hawa wake wa vigogo aliwapitia (ndiyo maana wapo kimya na mpaka mwingine kujiua)! Ila it’s impossible mke wa mtu kumrecord wakati anachepuka.

Ila kiuhalisia alitembea nao! Hivi unajua mwanaume kuambiwa kuwa mke wako amekazwa ni kashfa kubwa kwako! Mara ngapi watu wanafumania na kuua wanaume ila mkewe anamuacha. Hivi Makamu wa Rais mkewe atumuke naye akae kimya kama mtoto kapewa peremende. Think twice
 
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…