Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Wewe una hamu na talaka, Mimi ni Mme wako sio mdogo wako !!! Nitake radhi MPZ.Mdogo wetu HUJIELEWI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una hamu na talaka, Mimi ni Mme wako sio mdogo wako !!! Nitake radhi MPZ.Mdogo wetu HUJIELEWI
Utengenezewe video 400 za AI ukila wake za vigogo wenzako? Hiyo ni overkillWatu hawaelewi ila ukweli zile ni AI
Utengenezewe video 400 za AI ukila wake za vigogo wenzako? Hiyo ni overkillWatu hawaelewi ila ukweli zile ni AI
Hao wake umewaon?Utengenezewe video 400 za AI ukila wake za vigogo wenzako? Hiyo ni overkill
Tatizo kuna kitu ujui..Hivi mnatuonaje watz? Kwamba ai wewe unaijua sanaaa wengine vichwa maji hawawezi kuona tale tale signs za ai generated images? Andaa movie ama series kwa ai zako upige hela, simple, why trying hard to prove a point on jf.
Si kwenye hizo video, ingekuwa AI mngeambiwa AIHao wake umewaon?
Basi jua hiyo ni AISi kwenye hizo video, ingekuwa AI mngeambiwa AI
Kwa ushahidiBasi jua hiyo ni AI
Kwa ushahidi gani kwamba ni AI? Naomba chanzo kinachosema hivyoBasi jua hiyo ni AI
Bado sijapata chanzo mkuuHizo free AI ndiyo mnaona maajabu Sasa Kuna zakulipia mpaka thousands of dollars hizo ndizo machine haswa.
Kuanzia body posture, sound alterations, colour changes na response ya wahusika.Kwa ushahidi
Kwa ushahidi gani kwamba ni AI? Naomba chanzo kinachosema hivyo
Mamlaka hazijasema hayo kwasababu gani?Kuanzia body posture, sound alterations, colour changes na response ya wahusika.
Mfano mzuri ni kwenye movies, wale wanaposex wewe unaona kabisa wanasex lakini uhalisia hakuna ambae hata analijua paja la mwenzake lipoje.Ungekuwa unajua Picha za Ai zinavoonekana ungeelewa
Those are not really
That was a project mzee, chunguza vema hizo video. Ukitaka hata sura yako itatokea, AI jinsi inao input na kucommqnd ndio unapata out unayotaka
Hata ukitaka aonekane Beyonce anamfanyia Bqltqzar Blow job it is easy
Learn to be smart kwenye ulimwengu wa innovation and technology
Vipi kama aliyejinyonga kafanya hivyo kutokana na sonona la kujikuta kwenye aibu nzito ambayo hajashiriki?Ufanye A.I uweke sura za wakuu wa Taasisi wakuchekee sio? Mpaka mmoja wao kajinyonga wewe bado unaona ni A.I tu?
Zile clips ni kweli jamaa kala ile mizigo
Wee sii unasemaga mie maneno mengi utendaji sufuri na kwamba huko kwenye vikao vya mashangazi mzabzab anaongelewa kama nyoka wa kibisaKumbe uongo?daaah afadhali! Nilisikitika sana kuona mpenzi wangu mzabzab kazidiwa kete na kijana wa guinea
Kama uko na tool huna haja ya kuwaaminisha watu...Yani we ulipie Ili fulani aje aamini...!! Je wangeijua yule jamaa alivopiga Hela bank kwa hiyo AI kwa kuweka mkutano wa zoom as a manager wa bank na kumbe sura za wafanyakazi wote ni AIUnaomba niweke au unaniambia niweke; ?
tool nyingine ni kikazi zaidi confidential , I can do the needful if you request properly
Swali la kujiuliza hapa ni kwanini mamlaka za Guinea hazijasema kwamba hizo picha ni AI ?Kama uko na tool huna haja ya kuwaaminisha watu...Yani we ulipie Ili fulani aje aamini...!! Je wangeijua yule jamaa alivopiga Hela bank kwa hiyo AI kwa kuweka mkutano wa zoom as a manager wa bank na kumbe sura za wafanyakazi wote ni AI