Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Hivi mnatuonaje watz? Kwamba ai wewe unaijua sanaaa wengine vichwa maji hawawezi kuona tale tale signs za ai generated images? Andaa movie ama series kwa ai zako upige hela, simple, why trying hard to prove a point on jf.
Tatizo kuna kitu ujui..
Ngoja kwanza kuna somo moja takupa kuhusu hayo mamuvi na vingine vingi..
Be patient
 
Hizo free AI ndiyo mnaona maajabu Sasa Kuna zakulipia mpaka thousands of dollars hizo ndizo machine haswa.
 
Ungekuwa unajua Picha za Ai zinavoonekana ungeelewa
Those are not really

That was a project mzee, chunguza vema hizo video. Ukitaka hata sura yako itatokea, AI jinsi inao input na kucommqnd ndio unapata out unayotaka

Hata ukitaka aonekane Beyonce anamfanyia Bqltqzar Blow job it is easy

Learn to be smart kwenye ulimwengu wa innovation and technology
Mfano mzuri ni kwenye movies, wale wanaposex wewe unaona kabisa wanasex lakini uhalisia hakuna ambae hata analijua paja la mwenzake lipoje.
 
Kumbe uongo?daaah afadhali! Nilisikitika sana kuona mpenzi wangu mzabzab kazidiwa kete na kijana wa guinea
 
Ufanye A.I uweke sura za wakuu wa Taasisi wakuchekee sio? Mpaka mmoja wao kajinyonga wewe bado unaona ni A.I tu?

Zile clips ni kweli jamaa kala ile mizigo
Vipi kama aliyejinyonga kafanya hivyo kutokana na sonona la kujikuta kwenye aibu nzito ambayo hajashiriki?
 
Kumbe uongo?daaah afadhali! Nilisikitika sana kuona mpenzi wangu mzabzab kazidiwa kete na kijana wa guinea
Wee sii unasemaga mie maneno mengi utendaji sufuri na kwamba huko kwenye vikao vya mashangazi mzabzab anaongelewa kama nyoka wa kibisa
 
Unaomba niweke au unaniambia niweke; ?

tool nyingine ni kikazi zaidi confidential , I can do the needful if you request properly
Kama uko na tool huna haja ya kuwaaminisha watu...Yani we ulipie Ili fulani aje aamini...!! Je wangeijua yule jamaa alivopiga Hela bank kwa hiyo AI kwa kuweka mkutano wa zoom as a manager wa bank na kumbe sura za wafanyakazi wote ni AI
 
Swali la kujiuliza hapa ni kwanini mamlaka za Guinea hazijasema kwamba hizo picha ni AI ?
 
Back
Top Bottom