PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

Kitu chochote kinapokuwa kikubwa ni lazima kipasuke. Ni kama puto. Ukilijaza upepo litaendelea kupanuka hadi litakapo fikia uwezo wa mwisho wa kupanuka halafu litapasuka.

Chadema imekuwa kubwa, na imefika uwezo wa mwisho wa kupanuka. Itapasuka kwa baadhi ya watu kuondoka. Lakini kwa misingi na uimara wa viongozi chadema original itaendelea kukua na kukua tena. Haya ni mambo ya asili wala yasiwaogopeshe.

Hao wanaojiita G55 wakiondoka wataifanya Chadema iwe imara zaidi.
 
Ndugu mbona umekuwa muhanga wa "fear of the unknown"!!??
CHADEMA ni mpango wa MUNGU wa kuikomboa Tanzania, hakuna wa kundi lolote la kuifisha.
Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249
Kwa Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema nili tegemea hili kutokea..
Lissu ni opportunist sio politician
Na hawa vijana wa 2000 hawajui siasa wana jua harakati. Sito shangaa Chadema kuwa kama NCCR na TLP. Napenda siasa za mwamba
 
CDM kuwa CUF au TLP itakuwa ni kuipendelea sana😂.

Uchaguzi 2025 uliisha jana... CDM hawana mgombea yeyote uchaguzi ujao alafu wanasema watazuia uchaguzi..kama nani?

Kama wewe sio mgombea utamlalamikia nani kuhusu uchaguzi? Seriously...
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249
Utahqngaika sana, cdm ni mpango wa Mungu hivyo utakufa wewe utaiacha cdm na uzuri wewe sio wa kwanza kuja na hizo ramli
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249

..Reforms wanazodai Chadema ni ngumu kiasi gani kiasi kwamba ni ngumu kuzitekeleza?

..Tujielekeze kupaza sauti ili Reforms zifanyike na tuwe na uchaguzi huru na wa haki.
 
Kundi la Mbowe wameamua kuia CHADEMA na Mbowe yuko kimya kabisa!
 
Kwa Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema nili tegemea hili kutokea..
Lissu ni opportunist sio politician
Na hawa vijana wa 2000 hawajui siasa wana jua harakati. Sito shangaa Chadema kuwa kama NCCR na TLP. Napenda siasa za mwamba
Mwamba alikuwa anawapa viti maalum kila uchaguzi halafu anawarudi ndiyo maana mnapenda siasa zake. Yule jamaa angeendelea, angezidi kuuza chaguzi kwa CCM. Yeye alikuwa kibiashara zaidi na mambo ya kuwakomboa watanzania ilikuwa siyo kipaumbele chake.
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249
Nyie ndio makamanda ni vipi mnashindwa kumshauri dikteta uchwara kwani hiyo busara wewe huna!
 
Hapo kuna shida. Nilichoelewa mie hawa wagombea wote wanawahi mbele wakati tafatibu zipo wazi
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249
Mheshimiwa Retired habari yako?
 
Nini kimekupata ghafla exactly? Mbona unateseka sana?
 
Back
Top Bottom