PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waachwe ilimradi walituletee machafuko tu wataona nchi chungu hii
 
Zilikuwa na nguvu kwa muda gani?

Nyie kuleni tu pesa za CCM ila nawahakikishia CHADEMA haipo kama mnavyoichukulia. Hiki chama ni mpango wa Mungu kuwakomboa Watanzania dhidi ya udhalimu wa CCM.
Mungu yupi ww totolasi anaeshulikia ujinga huo mbona umekaririshwa
 
Kundi la Mbowe wameamua kuia CHADEMA na Mbowe yuko kimya kabisa!
Mbowe alikuwa kiongozi wa Chadema, hakuwa kiongozi wa Kundi fulani. Kila jambo asisingiziwe Mbowe tu, Walioandika Waraka wanazo akili na ni watu wazima, Kwani hawawezi wao wenyewe kujituma?

Tumeshauri kwamba hawa 55 walioandika waraka kwa Katibu Mkuu wajibiwe kama taratibu zinavyoelekeza na Waelimishwe kwa kuonyeshwa Makaburi ya Viongozi na wanachama wenzao waliouawa kwa sababu za Uchaguzi, nina hakika wataelewa tu
 
Umeanza vizuri lakini mwisho umeharibu. Hamna haja ya kuwaelimisha G55 kwa sababu walishiriki kikamilifu chaguzi zote zilizopita na inawezekana machungu yake wanayajua kuliko baadhi ya viongozi waliopo. Kinachotakiwa ni kukaa nao pamoja na kujadiliana kwa kuheshimu mtazamo wa kila upande. Pasipokuwa na muafaka waachiwe waendelee na msimamo wao lakini msimamo rasmi wa chama uendelee kuwa huo uliopitishwa na Mkutano Mkuu.

Hii kutovumilia mitazamo tofauti itaweza kukipeleka chama kubaya.

Amandla...
 
Acha ujinga, hakuna ccm, tumasema what might be the outcome of this misunderstanding among you . Ni kulizuia mapema.
48 by 51 ballot scores ni mgawanyiko mkubwa mkiuendekeza na hoja za kitoto
Wewe unajulikana ni timu maslahi binafsi. Nyie ndo mlikuwa CHADEMA kama madalali wa kisiasa. Chama sasa kimepata mpinzani wa kweli asiyeangalia maslahi binafsi bali ya Taifa mnaweweseka humu.

Unadhani hatukufahamu humu. Uzuri unajua JF sio ya wajinga.
 
CCM wanatumia nguvu kubwa kupandikiza mamluki ili wavuruge hali ya mambo katika chama, ni muda sasa watu waamini kuwa hii kaulimbiu ya no Reform no Election ni Kwa maslahi mapana ya taifa Kwa Sasa na vizazi vijavyo na sio Kwa faida ya Lissu au Heche, Hawa watu wamejitolea sana inabidi kuwaunga mkono
 
Hivi kweli wana Chadema munashindwa kumuelewa akili kubwa Lissu na Heche munashipaza shingo kwa kikundi kilichoundwa na John Mrema kwa maelekezo ya Mtumishi Mbowe?

Kama walivyoshindwa kwenye Uchaguzi ndivyo watakavyoshindwa kwenye agenda yao hii.
 
Back
Top Bottom