PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kitu chochote kinapokuwa kikubwa ni lazima kipasuke. Ni kama puto. Ukilijaza upepo litaendelea kupanuka hadi litakapo fikia uwezo wa mwisho wa kupanuka halafu litapasuka.

Chadema imekuwa kubwa, na imefika uwezo wa mwisho wa kupanuka. Itapasuka kwa baadhi ya watu kuondoka. Lakini kwa misingi na uimara wa viongozi chadema original itaendelea kukua na kukua tena. Haya ni mambo ya asili wala yasiwaogopeshe.

Hao wanaojiita G55 wakiondoka wataifanya Chadema iwe imara zaidi.
KWA KUFAULU KUFANYA UCHAGUZI WA MFANO, UNAOSIFIKA NA KILA MTU, ILE NDO PONA YA CHADEMA. HONGERENI VIONGOZI WAKUU SIMAMIENI MALENGO YA MUDA MFUPI YA CHAMA BILA KUTETEREKA!!! Viva chadema, nasema haitakufa.
 
Chadema itabaki imara bila wasaliti na hapo ndo ccm mtalia na kusaga meno.
Acha ujinga, hakuna ccm, tumasema what might be the outcome of this misunderstanding among you . Ni kulizuia mapema.
48 by 51 ballot scores ni mgawanyiko mkubwa mkiuendekeza na hoja za kitoto
 
Kundi la Mbowe wameamua kuia CHADEMA na Mbowe yuko kimya kabisa!
Sasa mtu mmemuita nkurunzinza,mlamba asali,akiongea mtamnanga kua anataka tena madaraka?au muongee anataka asali tena

Muacheni mstaafu

uongozi mpya ulioachiwa ufanye kazi yake
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249
We bado unaugua uchaguzi,subiri upone
 
Nafikiri majizi ya taifa hli ccm ndo maombi yenu hayo hakika kwasasa hakuna wa kuiua chadema hayupo zitto kabwe aliondoka na watu wa maana sn chadema haikufa sembuse hao nyani mnaowatumia huko ccm thubutuuu..
 
Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....
Zilikuwa na nguvu kwa muda gani?

Nyie kuleni tu pesa za CCM ila nawahakikishia CHADEMA haipo kama mnavyoichukulia. Hiki chama ni mpango wa Mungu kuwakomboa Watanzania dhidi ya udhalimu wa CCM.
 
Zilikuwa na nguvu kwa muda gani?

Nyie kuleni tu pesa za CCM ila nawahakikishia CHADEMA haipo kama mnavyoichukulia. Hiki chama ni mpango wa Mungu kuwakomboa Watanzania dhidi ya udhalimu wa CCM.
Watz wakombolewe na nyumbu!!? Are real serious mkuu?
 
Acha fix Tanzania ilikua na watu milion ngapi miaka hiyo ufananishe na Chadema ya Sasa fix
Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....
 
Population ya miaka ya Sasa na Kipindi kile inaua hoja yako ya kwamba TLP ina nguvu kuliko chadema ya sasa
Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....
 
Chadema ajenda zake ni universal.
Cuf based on religion,Tlp under one man show and he was special gvt agent.
Ngoma hii no reform no election ilianza kiutani ila inaenda kuchukua Oscar AWARD.
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249
Hata Mimi na wewe tutakufa,ccm yenyewe ilishakufa imebaki DP world
 
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu

TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri

Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!

silikiliza

View attachment 3293249
Mwaka huu haushi Chadema itabaki kama APPT MAENDELEO!
 
Kundi la Mbowe wameamua kuia CHADEMA na Mbowe yuko kimya kabisa!
Mbowe anahusika vipi? Mbowe alishindwa uchaguzi baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kumkataa yeye na sera zake. Sasa unataka aseme nini? Wanaompinga Lissu hawakuanza leo na walikuwa na sababu zao za kumpinga. Ni wajibu wake na viongozi wenzake kuwaonyesha kuwa pamoja na tofauti zao bado wana nafasi katika chama chao. Huu ni wajibu wao, sio wa hao wabangaizaji.

Amandla...
 
Kwa Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema nili tegemea hili kutokea..
Lissu ni opportunist sio politician
Na hawa vijana wa 2000 hawajui siasa wana jua harakati. Sito shangaa Chadema kuwa kama NCCR na TLP. Napenda siasa za mwamba
 

Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Back
Top Bottom