Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....Ndugu mbona umekuwa muhanga wa "fear of the unknown"!!??
CHADEMA ni mpango wa MUNGU wa kuikomboa Tanzania, hakuna wa kundi lolote la kuifisha.
Kwa Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema nili tegemea hili kutokea..Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Utahqngaika sana, cdm ni mpango wa Mungu hivyo utakufa wewe utaiacha cdm na uzuri wewe sio wa kwanza kuja na hizo ramliYanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Mwamba alikuwa anawapa viti maalum kila uchaguzi halafu anawarudi ndiyo maana mnapenda siasa zake. Yule jamaa angeendelea, angezidi kuuza chaguzi kwa CCM. Yeye alikuwa kibiashara zaidi na mambo ya kuwakomboa watanzania ilikuwa siyo kipaumbele chake.Kwa Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema nili tegemea hili kutokea..
Lissu ni opportunist sio politician
Na hawa vijana wa 2000 hawajui siasa wana jua harakati. Sito shangaa Chadema kuwa kama NCCR na TLP. Napenda siasa za mwamba
Nyie ndio makamanda ni vipi mnashindwa kumshauri dikteta uchwara kwani hiyo busara wewe huna!Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Mheshimiwa Retired habari yako?Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Nini kimekupata ghafla exactly? Mbona unateseka sana?Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249