KWA KUFAULU KUFANYA UCHAGUZI WA MFANO, UNAOSIFIKA NA KILA MTU, ILE NDO PONA YA CHADEMA. HONGERENI VIONGOZI WAKUU SIMAMIENI MALENGO YA MUDA MFUPI YA CHAMA BILA KUTETEREKA!!! Viva chadema, nasema haitakufa.Kitu chochote kinapokuwa kikubwa ni lazima kipasuke. Ni kama puto. Ukilijaza upepo litaendelea kupanuka hadi litakapo fikia uwezo wa mwisho wa kupanuka halafu litapasuka.
Chadema imekuwa kubwa, na imefika uwezo wa mwisho wa kupanuka. Itapasuka kwa baadhi ya watu kuondoka. Lakini kwa misingi na uimara wa viongozi chadema original itaendelea kukua na kukua tena. Haya ni mambo ya asili wala yasiwaogopeshe.
Hao wanaojiita G55 wakiondoka wataifanya Chadema iwe imara zaidi.
Acha ujinga, hakuna ccm, tumasema what might be the outcome of this misunderstanding among you . Ni kulizuia mapema.Chadema itabaki imara bila wasaliti na hapo ndo ccm mtalia na kusaga meno.
Time will tell, nyie nyote ni watoto hamjui historia ya migawanyiko hii kwa vyama vya siasaNini kimekupata ghafla exactly? Mbona unateseka sana?
Sasa mtu mmemuita nkurunzinza,mlamba asali,akiongea mtamnanga kua anataka tena madaraka?au muongee anataka asali tenaKundi la Mbowe wameamua kuia CHADEMA na Mbowe yuko kimya kabisa!
We bado unaugua uchaguzi,subiri uponeYanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Anyway, Wacha tusubiri, muda uongee.Time will tell, nyie nyote ni watoto hamjui historia ya migawanyiko hii kwa vyama vya siasa
Zilikuwa na nguvu kwa muda gani?Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....
JPM alitamani ife akafa yeye..hatatokea
Watz wakombolewe na nyumbu!!? Are real serious mkuu?Zilikuwa na nguvu kwa muda gani?
Nyie kuleni tu pesa za CCM ila nawahakikishia CHADEMA haipo kama mnavyoichukulia. Hiki chama ni mpango wa Mungu kuwakomboa Watanzania dhidi ya udhalimu wa CCM.
Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....
Nakwambia CUF na TLP-Mrema zilikuwa na nguvu kuliko chadema. Nyerere ameshastaafu aliona Mrema anachukua nchi akaingia kupiga kampeni....
Hata Mimi na wewe tutakufa,ccm yenyewe ilishakufa imebaki DP worldYanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Mwaka huu haushi Chadema itabaki kama APPT MAENDELEO!Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri
Kemeeni makundi makundi..... bila chadema hakuna upinzani na hakuna ukombozi!
silikiliza
View attachment 3293249
Wakala wa DP world ni ccmWatz wakombolewe na nyumbu!!? Are real serious mkuu?
Mbowe anahusika vipi? Mbowe alishindwa uchaguzi baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kumkataa yeye na sera zake. Sasa unataka aseme nini? Wanaompinga Lissu hawakuanza leo na walikuwa na sababu zao za kumpinga. Ni wajibu wake na viongozi wenzake kuwaonyesha kuwa pamoja na tofauti zao bado wana nafasi katika chama chao. Huu ni wajibu wao, sio wa hao wabangaizaji.Kundi la Mbowe wameamua kuia CHADEMA na Mbowe yuko kimya kabisa!
Au siyo? 😆😆 Gomeeni uchaguzi tuone mtakavyouzuiaNdugu mbona umekuwa muhanga wa "fear of the unknown"!!??
CHADEMA ni mpango wa MUNGU wa kuikomboa Tanzania, hakuna wa kundi lolote la kuifisha.
Kwa Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema nili tegemea hili kutokea..
Lissu ni opportunist sio politician
Na hawa vijana wa 2000 hawajui siasa wana jua harakati. Sito shangaa Chadema kuwa kama NCCR na TLP. Napenda siasa za mwamba