Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Vita vya mtoto na mzazi, ndugu kwa ndugu, jirani kwa jirani, nchi kwa nchi na dunia kwa ujumla ni dalili mbaya iletayo hofu kubwa.
Sisi kwa sisi hatupendani kabisa, kila MTU anajua, anajitutumua, twaumizana kwa makusudi, yaani wale walioumbiwa upole wa moyo na matendo ndio wanazidi kuonewa, wapo kwenye mateso makuu hasa kwa kuangalia na kusikia mateso ya watu wengine (inaumiza sana moyoni jaman)
Tusemeni nini au tuombe nini mbele ya mwenyezi Mungu ili dunia iwe na unafuu (mnasikia matukio ya mauaji kwa wazazi, kulawiti watoto, vita maofisini sisi kwa sisi yaani kutenda dhambi now imekuwa fashion)
Tufanye nini ili tujenge amani, upendo na ustahilivu?