Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Tutapeleka kwa fundi kitanda...Embu tuendelee kutafuta mbinu ya kujinasua ili tusiangushe kitanda mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutapeleka kwa fundi kitanda...Embu tuendelee kutafuta mbinu ya kujinasua ili tusiangushe kitanda mkuu
Umesamehewa na uanze kujificha usionekane...Ha ha haa,then am sor..nisamehe Mimi..nimekosa mimi
Sasa je, ya walimwengu unawaachia wenyewe... Yasikuumize kichwa...Na kikaon sihudhurii but salary ipo palepale
Kama kaini na Abili nadhan.Kweli mambo haya yapo toka enzi aiseeKwenye maisha kila mtu anataka kua na maisha bora kuliko mwingine,maisha ni kama mashindano ya nani awe juu zaidi ya mwingine,hapo ndipo chuki na vita huanza,
Kama ilivyo kwenye nchi,kila nchi inajitahidi iwe juu zaidi ya nchi nyingine,iwe kiuchumi au kiuwezo wa nguvu na silaha,hali hii ndio huleta vita,
Hata ndani ya familia moja pia kuna mashindano ya kila mmoja kua bora kuliko wengine na ndipo chuki huanzia na kupigana vita ya wao kwa wao.
Haya usihangaike kuombea au kusaidia binadamu wabishi...Hapo nimekuelewa kabisa aisee
Sawa tutakomaa wote, nipo serious...Ndo maana nami nataka nikomae...binadamu ni mbishi sana
MADA FIKIRISHI....Vita vya mtoto na mzazi, ndugu kwa ndugu, jirani kwa jirani, nchi kwa nchi na dunia kwa ujumla ni dalili mbaya iletayo hofu kubwa.
Sisi kwa sisi hatupendani kabisa, kila MTU anajua, anajitutumua, twaumizana kwa makusudi, yaani wale walioumbiwa upole wa moyo na matendo ndio wanazidi kuonewa, wapo kwenye mateso makuu hasa kwa kuangalia na kusikia mateso ya watu wengine (inaumiza sana moyoni jaman)
Tusemeni nini au tuombe nini mbele ya mwenyezi Mungu ili dunia iwe na unafuu (mnasikia matukio ya mauaji kwa wazazi, kulawiti watoto, vita maofisini sisi kwa sisi yaani kutenda dhambi now imekuwa fashion)
Tufanye nini ili tujenge amani, upendo na ustahilivu?
So sadTutubu..tumrudie Mungu kwa kumaanisha
Ila hakika dunia inatisha kwa Sasa
MnooooooSijui tunaelekea wapi lakini hali inatisha sana.
👍Na ndo msingi mkuu wa mauaji
Na tumepumbazika mazima...pesa imebeba utuMADA FIKIRISHI....
MADA BORA KABISA......😍
Kiufupi binadamu anajiangamiza mwenyewe.....ninapokuchukia wewe TO YEYE...ninapomchukia ndugu yangu ,jirani na kila nimuonaye basi ninabaki na MATESO MOYONI MWANGU....inawezekana nikajiona ninajipenda sana,nina maendeleo lukuki ila nitaendelea KUIKOSA AMANI YA MOYO.....
Yaitwayo maendeleo.... GLOBALIZATION n.k kamwe HAYAWEZI KUBADILISHA ASILI ZETU....DNA NA CHROMOSOMES zetu zilizofinyangwa na NATURE kuwa BINADAMU MWENYE kuyatawala mazingira yake na si kutawaliwa na mazingira......
MAZINGIRA YANATUTAWALA....
PESA INATUTAWALA.....
MATERIALS YANATUTAWALA.....
MATERIALISM ni adui mkubwa wa kiumbe MWANADAMU.....
Kwa wanaoamini IMANI ZA DINI basi wanajisahaulisha kuwa YALIYOKATAZWA si kwa ajili ya faida ya MWENYEZI MUNGU bali ni kwa faida ya mwanadamu....yetu WANADAMU........
Waliosoma masuala ya afya kuna kitu kinaitwa "DO NOT DO HARM"....je wanayafuata hayo ?!!!!
Kwa sisi MARASTAFARIANS tunaamini sana kuwa "THERE ARE EVILS WHO WANT TO DOMINATE HUMAN BEINGS THROUGH LIES AND DECEPTIONS as a result we believe THEY CANT FOOL PEOPLE ALL THE TIMES BUT FOR SOMETIMES....the issue is when will they stop fooling us?!!!!!
#YetzerHatov
#ShavuaTov
Ni laana....ubatili mtupu yaanSasa unashangaa hayo? Nitafute nikakuoneshe wadada wanavyowavuta wanaume kwa nguvu ili wakatoe papuchi ili wapate 5000 etc
Hapohapo kuna makaka poa nao wanapambania hiyo kitu.
Njoo ujionee mambo yanayotokea duniani usiku-J mo aliimba.
Ni balaa na laana tu
Me pia nilikuwa nashangaa kama wewe but sasa naona ndo tulipofika hamna namnaNi laana....ubatili mtupu yaan