Kwa haya yanayotokea ulimwenguni, tuombe au kusema nini mbele ya Mungu?

Kwa haya yanayotokea ulimwenguni, tuombe au kusema nini mbele ya Mungu?

Kwamba Mungu haoni na hajui kwa sasa tunahitaji msaada gani toka kwake?
 
Nikiwa serious utanikimbia...

Binadamu ni wagumu sana, huwajui tu wewe...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Kwann nikukimbie ingali tutakuwa tunaongea maongez serious
 
Siku za mwisho hizi matukio yaliyosemwa na Mungu mwenyewe lazima yatokee, na huo mwisho ndipo utakapokuja.
Baadhi ya matukio ni njaa,
Njaa ilikuwepo hata zama za Wana Biblia..
Yusufu aliuzwa sababu ya njaa.
Israel kwenye BIBLIA walipigana vita Vingi sanaa?
magonjwa,
Yalikuwepo mengi tu mpaka Tauni kuangamiza na kutesa baadhi kwenye BIBLIA.
manabii wa uongo,
Kwenye Biblia wapo kibaoo (Mungu bahari)
tamaa na uchu wa madaraka.
Kaini, na kisa cha Yusuph na visa vyengine kama hivyo.
Umeuliza tuombe nini?
Mungu alisema muyaonapo haya, inuane vichwa vyenu, changamkeni mwisho umekaribia, Mshukuru Mungu kwa mafunuo haya unayoyashubudia Sasa akuwezeshe kufundisha wanao, mkeo, nduguzo, majirani ili kuutambua wakati.
Sasa mbona tokea enzi VILIKUWEPO?

#YNWA
 
Njaa ilikuwepo hata zama za Wana Biblia..
Yusufu aliuzwa sababu ya njaa.

Israel kwenye BIBLIA walipigana vita Vingi sanaa?

Yalikuwepo mengi tu mpaka Tauni kuangamiza na kutesa baadhi kwenye BIBLIA.

Kwenye Biblia wapo kibaoo (Mungu bahari)

Kaini, na kisa cha Yusuph na visa vyengine kama hivyo.

Sasa mbona tokea enzi VILIKUWEPO?

#YNWA
Sawa,nimejifunza kitu...ni kwamba inatakiwa tuishi umo
 
Nimeona na nimeprove maana comments zinaendana....mtu anaweza jifeel special to you kumbe ni nothing. Ha ha haa ..meinyaka...u are always not serios
Kaah!! Hizi shutuma siyo zangu i believe...

Kwani nani anaji feel special to me?? Embu fafanua nipe muongozo...
 
Mtaalamu wa kazi, Shetani, shetty, Ibilisi, Azazzel, Devil, Satan, Beelzebub, Lucifer,
Akiwa kazini anapiga shift zote mchana na usiku

Yaani asipokukamata kwenye uzinzi atakushika kwenye Uongo, ukichomoka kwenye Wizi atakushika kwenye, Usengenyaji ukichomoka kwenye Uuaji unanaswa kwenye Chuki, Husda na Wivu.
 
Hakuna pa kuchomokea
 
Kaah!! Hizi shutuma siyo zangu i believe...

Kwani nani anaji feel special to me?? Embu fafanua nipe muongozo...
Embu tuendelee kutafuta mbinu ya kujinasua ili tusiangushe kitanda mkuu
 
Back
Top Bottom