Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu, tuzidi kuitumainia tu kesho iliyo njema, kwa sababu tumewekewa ukomo katika fikra na hatuwezi kubadili uhalisia wa ulimwengu.Yaan ni fumbo kuu
Tuzidi tu kumtumainia aliyetuleta hapa.Peke yetu hatuwez kwa kweli
Huko kwa Putini hawana elimu ya darasani ?Elimu inatengeneza fursa ya kuishi kwa kuheshimiana. Nazungumzia elimu ya darasani
Siku za mwisho hizi matukio yaliyosemwa na Mungu mwenyewe lazima yatokee, na huo mwisho ndipo utakapokuja.Vita vya mtoto na mzazi, ndugu kwa ndugu, jirani kwa jirani, nchi kwa nchi na dunia kwa ujumla no dalili mbaya iletayo hofu kubwa.
Sisi kwa sisi hatupendani kabisa, kila MTU anajua, anajitutumua, twaumizana kwa makusudi, yaani wale walioumbiwa upole wa moyo na matendo ndo wanazidi kuonewa, wapo kwenye mateso makuu hasa kwa kuangalia na kusikia mateso ya watu wengine (inaumiza sana moyoni jaman)
Tusemeni nini au tuombe nn mbele ya mwenyez Mungu ili dunia iwe na unafuu (mnasikia matukio ya mauaji kwa wazazi, kulawiti watoto, vita maofisini sisi kwa sisi yaan kutenda dhambi now imekuwa fashion)
Tufanye nn ili tujenge amani, upendo na ustahili
Kweli kabisaSiku za mwisho hizi matukio yaliyosemwa na Mungu mwenyewe lazima yatokee, na huo mwisho ndipo utakapokuja.
Baadhi ya matukio ni njaa, vita, magonjwa, manabii wa uongo, tamaa na uchu wa madaraka.
Umeuliza tuombe nini?
Mungu alisema muyaonapo haya, inuane vichwa vyenu, changamkeni mwisho umekaribia, Mshukuru Mungu kwa mafunuo haya unayoyashubudia Sasa akuwezeshe kufundisha wanao, mkeo, nduguzo, majirani ili kuutambua wakati.
Binadamu tumekua, machoni kama watu, mioyoni hatuna utu...Sure yaan
Labda tuangushe kitanda...Na unasema haipaswi kufanya kitu? Je huamini kuwa tukisimama mimi na wewe tunaweza angusha milima? Tunaweza Smart