Kwa haya yanayotokea ulimwenguni, tuombe au kusema nini mbele ya Mungu?

Na tumepumbazika mazima...pesa imebeba utu
Hilo ndilo anguko KUU.....

Pesa IMEFINYANGWA haswa na imani ya WHITE SUPREMACISM.....na imani hiyo adui mkubwa wa wanadamu WENGI WALIO WANYONGE......

Bahati mbaya sana TUMEKUWA MATEKA WAO.......

#YetzerHatov
#ShavuaTov
 
Kutoka nd
Yanii wee acha tu.Nimepita sehemu juzi aisee nilifadhaika sn
Mungu mwenyewe aingilie kati kwa kweli
 
Hilo ndilo anguko KUU.....

Pesa IMEFINYANGWA haswa na imani ya WHITE SUPREMACISM.....na imani hiyo adui mkubwa wa wanadamu WENGI WALIO WANYONGE......

Bahati mbaya sana TUMEKUWA MATEKA WAO.......

#YetzerHatov
#ShavuaTov
We are all dead.Tutakoma
 
Vita vya mtoto na mzazi, ndugu kwa ndugu, jirani kwa jirani, nchi kwa nchi na dunia kwa ujumla ni dalili mbaya iletayo hofu kubwa.

Sisi kwa sisi hatupendani kabisa, kila MTU anajua, anajitutumua, twaumizana kwa makusudi, yaani wale walioumbiwa upole wa moyo na matendo ndio wanazidi kuonewa, wapo kwenye mateso makuu hasa kwa kuangalia na kusikia mateso ya watu wengine (inaumiza sana moyoni jaman)

Tusemeni nini au tuombe nini mbele ya mwenyezi Mungu ili dunia iwe na unafuu (mnasikia matukio ya mauaji kwa wazazi, kulawiti watoto, vita maofisini sisi kwa sisi yaani kutenda dhambi now imekuwa fashion)

Tufanye nini ili tujenge amani, upendo na ustahilivu?
Rudieni umoja wenu wa Kiafrika.

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Vita vya mtoto na mzazi, ndugu kwa ndugu, jirani kwa jirani, nchi kwa nchi na dunia kwa ujumla ni dalili mbaya iletayo hofu kubwa.

Sisi kwa sisi hatupendani kabisa, kila MTU anajua, anajitutumua, twaumizana kwa makusudi, yaani wale walioumbiwa upole wa moyo na matendo ndio wanazidi kuonewa, wapo kwenye mateso makuu hasa kwa kuangalia na kusikia mateso ya watu wengine (inaumiza sana moyoni jaman)

Tusemeni nini au tuombe nini mbele ya mwenyezi Mungu ili dunia iwe na unafuu (mnasikia matukio ya mauaji kwa wazazi, kulawiti watoto, vita maofisini sisi kwa sisi yaani kutenda dhambi now imekuwa fashion)

Tufanye nini ili tujenge amani, upendo na ustahilivu?
Pole best
 
Labda tuanze na huyu muumbaji je haya anayaona au hayaoni au tumeachwa huru tufanye kile tunachotaka kufanya,,,jambo lingine ni kwamba huwezi kumuweka mtoto na nyoka ndani ya chumba kimoja ukawa na matarajio ya kwamba mtoto ata mshinda uyo nyoka kama wakianza kupigana ikitokea kashinda mtoto basi ni huruma ya huyo nyoka lakini ki uharisia hakuna ushindi apo tunajidanganya tu kudhani kwamba shetani ni mwepesi kiasi cha kusema tunamuweza
 
Back
Top Bottom