Kwa haya yanayotokea ulimwenguni, tuombe au kusema nini mbele ya Mungu?

Hakika mkuu, tuzidi kuitumainia tu kesho iliyo njema, kwa sababu tumewekewa ukomo katika fikra na hatuwezi kubadili uhalisia wa ulimwengu.
Kizazi mpaka kizazi


Aliharibu sauli na yuda eskarioti
 
Siku za mwisho hizi matukio yaliyosemwa na Mungu mwenyewe lazima yatokee, na huo mwisho ndipo utakapokuja.
Baadhi ya matukio ni njaa, vita, magonjwa, manabii wa uongo, tamaa na uchu wa madaraka.
Umeuliza tuombe nini?
Mungu alisema muyaonapo haya, inuane vichwa vyenu, changamkeni mwisho umekaribia, Mshukuru Mungu kwa mafunuo haya unayoyashubudia Sasa akuwezeshe kufundisha wanao, mkeo, nduguzo, majirani ili kuutambua wakati.
 
Leo umewaza nini, ila kiujumla Mungu hajachoka kutuacha Hadi sasa anavumilie akitegemea tutatubu na kurejea kwake
 
Kweli kabisa
 
Hakuna cha kuomba wala kuombea...

Dunia tambara bovu...
 
Binadamu tumekua, machoni kama watu, mioyoni hatuna utu...
Na unasema haipaswi kufanya kitu? Je huamini kuwa tukisimama mimi na wewe tunaweza angusha milima? Tunaweza Smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…