Kwa haya yanayotokea ulimwenguni, tuombe au kusema nini mbele ya Mungu?

Kwenye maisha kila mtu anataka kua na maisha bora kuliko mwingine,maisha ni kama mashindano ya nani awe juu zaidi ya mwingine,hapo ndipo chuki na vita huanza,

Kama ilivyo kwenye nchi,kila nchi inajitahidi iwe juu zaidi ya nchi nyingine,iwe kiuchumi au kiuwezo wa nguvu na silaha,hali hii ndio huleta vita,

Hata ndani ya familia moja pia kuna mashindano ya kila mmoja kutaka kua bora kuliko wengine na ndipo chuki huanzia na kupigana vita ya wao kwa wao.
 
Kama kaini na Abili nadhan.Kweli mambo haya yapo toka enzi aisee
 
MADA FIKIRISHI....

MADA BORA KABISA......😍

Kiufupi binadamu anajiangamiza mwenyewe.....ninapokuchukia wewe TO YEYE...ninapomchukia ndugu yangu ,jirani na kila nimuonaye basi ninabaki na MATESO MOYONI MWANGU....inawezekana nikajiona ninajipenda sana,nina maendeleo lukuki ila nitaendelea KUIKOSA AMANI YA MOYO.....

Yaitwayo maendeleo.... GLOBALIZATION n.k kamwe HAYAWEZI KUBADILISHA ASILI ZETU....DNA NA CHROMOSOMES zetu zilizofinyangwa na NATURE kuwa BINADAMU MWENYE kuyatawala mazingira yake na si kutawaliwa na mazingira......

MAZINGIRA YANATUTAWALA....
PESA INATUTAWALA.....
MATERIALS YANATUTAWALA.....

MATERIALISM ni adui mkubwa wa kiumbe MWANADAMU.....

Kwa wanaoamini IMANI ZA DINI basi wanajisahaulisha kuwa YALIYOKATAZWA si kwa ajili ya faida ya MWENYEZI MUNGU bali ni kwa faida ya mwanadamu....yetu WANADAMU........

Waliosoma masuala ya afya kuna kitu kinaitwa "DO NOT DO HARM"....je wanayafuata hayo ?!!!!

Kwa sisi MARASTAFARIANS tunaamini sana kuwa "THERE ARE EVILS WHO WANT TO DOMINATE HUMAN BEINGS THROUGH LIES AND DECEPTIONS as a result we believe THEY CANT FOOL PEOPLE ALL THE TIMES BUT FOR SOMETIMES....the issue is when will they stop fooling us?!!!!!

#YetzerHatov
#ShavuaTov
 
Sasa unashangaa hayo? Nitafute nikakuoneshe wadada wanavyowavuta wanaume kwa nguvu ili wakatoe papuchi ili wapate 5000 etc
Hapohapo kuna makaka poa nao wanapambania hiyo kitu.

Njoo ujionee mambo yanayotokea duniani usiku-J mo aliimba.

Ni balaa na laana tu
 
Na tumepumbazika mazima...pesa imebeba utu
 
Ni laana....ubatili mtupu yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…