zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Yeye ndio aliasisi huu upumbavu na mwenzie ameendeleza, toka wabake uchaguzi 2020 na waTz wakabakia kimya ndio utakua mchezo huo kila uchaguzi.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kwahiyo wangeshiriki ili waenguliwe wote?Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Kwahiyo wangeshiriki ili waenguliwe wote?
Serikali za mitaa tulishiriki tulienguliwa koteee, likewise 2019 na 2020 tulienguliwa. So tushiriki au tusishiriki either way CCM watapewa ushindi wa 90%+ kwenye uchaguzi.Acha ku fail kabla ya kufanya unalotakiwa
Serikali za mitaa tulishiriki tulienguliwa koteee, likewise 2019 na 2020 tulienguliwa. So tushiriki au tusishiriki either way CCM watapewa ushindi wa 90%+ kwenye uchaguzi.
Maadam mmechagua hii njia, Endeleeni tu wenyewe si mtatawala milele!!
Hao sio tu walisusia chaguzi ila hadi walipewa kesi za uhaini!! So hakuna wanachopitia chadema hao watu hawakupitia. Ila siku moja ipo tu, nani alijua ipo siku KANU ingetolewa madarakani Kenya? Au nani alijua ANC leo hii ingeunda serikali ya nusu mkate?Mnachagua kuwa wanasiasa halafu mnadeka badala ya kutumia akili😆😆😆
Kina Nyerere na kina Mandela wangekuwa kama nyie sijui tungekuwa wapi
Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Mbowe aligombea ubunge 2020 alipata faida gani zaidi ya kupoteza pesa kwenye uchaguzi ?
Acja CCM wapambane na ACT na NCCR . ACT watapata Majimbo Mengi kule Zanzibar na haikuwa Sahihi kususia uchaguzi wa Zanzibar maana kuna muafaka unaoeleweka na pia wazanzibari linapokuja suala la nchi yao hawana masihara kabisa ndio maana Rais na makamu wake wote wa Wili ni wanaume hakuna mwanamke.
2030 Chadema itakua imejipambanua vya kutosha na kujua ni jimbo lipi la kuweka mgombea na lipo la kuwaachia ACT ili CCM itoweke kabisa kwenye Uso wa dunia na Samia wake.
Chandema ingegombea bado CCM ingetumia nguvu kuiba uchaguzi na kisha kushinda kwa kishindo feki ili wananchi waone kuwa bado CCM inakubalika . Sasa Ngoja Tyson apigane na mtu mwenye uzito wa nyoya.
Na kwa sababu wana uhakika wa kushinda basi watafanya uchaguzi wa huru na haki kabisa .
Ila kuna wabunge tutawaondoa kupitia ACT kwama yule Makamba wa Shinyanga na Stela manyanya .
Machafuko yatakusaidia nini ndugu,maana nchi hii ikishakuwa na machafuko hatuwezi kushikamana hata kidogo tena!Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Mnachagua kuwa wanasiasa halafu mnadeka badala ya kutumia akili😆😆😆
Kina Nyerere na kina Mandela wangekuwa kama nyie sijui tungekuwa wapi
Tofaitisha ukoloni wa mgeni na ukoloni wa Ndugu yako wa familia moja .?
Ukoloni ilikua ni rahisi hata kuwapiga hata mishale bila huruma maana hawakua ndugu zetu.
Leo karibu kila familia ina mtu wa CCM na Chadema .
Ni roho mbaya tu ya watu wa chache wanaowaza madaraka na tezi lakini ni vigumu sana kupambana Wenyewe kwa wenyewe maana sisi wengi ni ndugu ndio maana Nyerere kwa hekima alijenge ujamaa na wakaja wahuni wakafikiri Vyama vingi ni fursa ya watawala kuua ujamaa na kuwatumikia wachache kwa faida zao .
Sasa Lisu anatujengea uzalendo dhindi ya mafisadi wachache
Wewe unavyofikiri kila mgombea lazima apate😆😆
Wanapata wanaostahili kupata wale waliojianda na wenye kujua wafanye nini ili kupata
Kwa hiyo Mbowe ndio mtu wa kukosa Ubunge Mpaka diwani nyumbani kwao .
Umesahau kauli ya Polisi kuwa wewe Mbowe hautashishinda uchaguzi .
Kama ni kustahili nadhani wabunge karibu wote wa CCM hawafai kabisa zaidi ya kutegemea rushwa .
Mtu anayeshinda kwa rushwa kamwe hawezi kuhoji ufisadi bungeni
Acheni excuses
Mlijua siasa ndio sehemu ya kupiga madeal.
Sijawahi ona wanasiasa nyoronyoro kama chadema
MBONA UNAUMIA WEWE CCM?That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Ingekuwa kupiga madili si wangegombea ili wapige dili.
Baki kwenye chama chako ili iwaletee wananchi maendeleo au kazi ya vyama ni kufanya fujo na kuua watu ili wahuni waende bungeni na ikulu.
Kwani yeye ni nani hadi asikose
Hata makonda alikosa uteuzi Kigamboni. Serikali na wananchi wake wako makini
Makonda hajawahi kusimama mwenyewe .
Yule ni mtu wa kuteuliwa na Dola .
Alibebwa kuanzia chuoni .
Umaarufu wake ni wa kubebwa ndio maana hajulikani huko Kolomije anakimbilia Kigamboni .
Alidhani atabebwa na Magufuli .
Mbowe ameanza siasa kabla hajazaliwa .
Amegombea jimbo Hai akiwa na miaka 30 akiwa upinzani .
Huyo Makonda angekua upinzani angekua ameshapotea kabisa maana umaarufu wake ni wa kutumia dola.
Kamata yule weka ndani .
Wananchi wanashangilia lakini siku akikosa nguvu ya dola hana ushawishi tena.
Subiri Makonda apate ubunge halafu akose uwaziri atajua kuwa hajui jiji la Arusha .