Tubaki na ukondoo wetu milele kusud tuepuke machafuko 🤙Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
Hata hiyo 2030 hatuhitaji kushiriki uhuni, na siasa tutaendelea kufanya muda wote...okay, mapumziko mema see U in 2030/31
Shithole
Tunaenda kukifuta kabisa baada ya uchaguzi Octoba 2025.Hata hiyo 2030 hatuhitaji kushiriki uhuni, na siasa tutaendelea kufanya muda wote.
..so mnalilia nini fungeni mjadala basi, u'r no longer significant in Tz politicsHata hiyo 2030 hatuhitaji kushiriki uhuni, na siasa tutaendelea kufanya muda wote.
Mbona huko mbali, kwanini msikifute usiku wa leo?Tunaenda kukifuta kabisa baada ya uchaguzi Octoba 2025.
Siasa za Tanzania hazipimwi na uchaguzi unaoshirikisha vyama vya siasa tu. Labda hujui siasa ni nini. Cdm wameamua kujitenga na siasa za chaguzi za uongo na sio siasa...so mnalilia nini fungeni mjadala basi, u'r no longer significant in Tz politics
Mbona tayari huwaoni G55 plus 200 viongozi. Na hakuna uasi utatokea hivyo mabeberu hayatatoa pesa kama anavyosema Mhaini Lissu hapa chini.Mbona huko mbali, kwanini msikifute usiku wa leo?
Okay, best wishesSiasa za Tanzania hazipimwi na uchaguzi unaoshirikisha vyama vya siasa tu. Labda hujui siasa ni nini. Cdm wameamua kujitenga na siasa za chaguzi za uongo na sio siasa.
Nimecheka kwa nguvu, ww utakuwa ni mzee lazima, nyie ndio huwa mnachotwa na maigizo ya aina hii? Mambo ya Steve Nyerere kuwa na sauti kama ya Nyerere. Nimecheka hatari.Mbona tayari huwaoni G55 plus 200 viongozi. Na hakuna uasi utatokea hivyo mabeberu hayatatoa pesa kama anavyosema Mhaini Lissu hapa chini.
View attachment 3302046
Umeanza kum-worship your fake GODDuuh, hivi Samia unaweza kumsimamisha popote chini ya mbingu na kumshindanisha na Lisu kwa hoja yoyote inayowahusu wanadamu labda majini 😂😂😂😂😂
Yaani Samia hata angekoswa na jiwe asingejeribu tena kuingia kwenye siasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Yaani Chama tawala amepita bila kupingwa ndani ya chama lakini angalia pesa na rushwa anazomwaga .
Mabango nchi mzima .
Unajua gharama ya kuchapisha bango moja wewe?
Pikipiki Elfu 17 sio mchezo .
Mpaka radio za Samia zimetengenezwa na wachina .
Bado tu kuzalisha vifarangaa vilivyoandikwa SSH Mitano tena .
Halafu gharama zote na maandalizi mpaka polisi wanawake nchi nzima walishona vitenge vya Samia mitano tena wanakwenda kushindana na Chauma .
CCM wamepata hasara kubwa sana .
Hata majukwaa yao hawatakua na hoja za maana . Utabeba watu na malori ili iweje wakati hakuna ushindi ni lazima na ushindani ni dhaifu.
Aibu kubwa sana
. Unafikiri Samia na Kundi lake wanamhofia nani zaidi ya Lisu.?
Huoni kwamba kundi la mafisadi la Samia linapata maumivu makubwa sana baada ya kutumia fedha nyingi na kuwaumiza wananchi wakati Chandema hawashiriki .
Wewe ni mtu wa akili ya kawaida kabisa unayewaza maisha yako binafsi na familia yako jambo ambalo hata wanyama wanawaza hivyo hivyo .
Umewahi kuandaa chakula Kingi cha gharama kwa ajili ya wageni halafu wale wageni wakaghairi kuja siku hiyo ?🤣🤣🤣🤣🤣
Utawalalamika na kuwalaumu sana kwama vile umepata hasara kumbe hata wangekuja bado chakula kingeingia matumboni mwao na kwenda chooni bila kurudishiwa pesa gharama zako .
CHEKA kwa nguvu mpaka 2030/31Nimecheka kwa nguvu, ww utakuwa ni mzee lazima, nyie ndio huwa mnachotwa na maigizo ya aina hii? Mambo ya Steve Nyerere kuwa na sauti kama ya Nyerere. Nimecheka hatari.
Duuh sio dikteta uchwara tenaThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Jifunzeni kuukubali ukweliSasa mbona wewe ndio unaonekana chizi. Toka lini mtu anaetetea haki akaonekana chizi?
Mimi ni msomi wa Forensic Computing hivyo hiyo audio nimeifanyia forensic examination na nikajiridhisha kuwa huyo ni Mhaini Lissu. Usifikiri mimi ni nyumbu kama wewe!🤣🤣🤣Nimecheka kwa nguvu, ww utakuwa ni mzee lazima, nyie ndio huwa mnachotwa na maigizo ya aina hii? Mambo ya Steve Nyerere kuwa na sauti kama ya Nyerere. Nimecheka hatari.
sikichafue tuige kwako? au we mkenya?Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
2030 Lissu atakuwa na miaka 91, ataweza kweli kukinukisha?Hata hiyo 2030 hatuhitaji kushiriki uhuni, na siasa tutaendelea kufanya muda wote.
Kwamba niwarekodiWeka uthibitisho ili watu wakuamini,other ways hoja Yako haitakuwa na nguvu.
"It's better to die being truthful than to live being a liar"That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437