SASA mnaumia nini cdm kutoshirik😂😂 nyie shindeni mpata kura zote. Cdm ishasema hakuna uchaguzi kwq refa anayeteuliwa na timu mpinzani.Hamna uhalali wa kuzuia uchaguzi.Mkijaribu kuzuia uchaguzi ambao hamshiriki ni uhaini mwingine
watanzania wa wapi we mamachadema imejijengea picha ya uhaini kwa watanzania
Wajinga wakubwa nyie, CHADEMA washiriki ili watu wauliwe?Nipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisu
NImeanza kumwelewa Lisu, huwezi kushiriki uchaguzi ambao watu wanauliwa kama panya kisa Uenyekiti wa mtaaSASA mnaumia nini cdm kutoshirik😂😂 nyie shindeni mpata kura zote. Cdm ishasema hakuna uchaguzi kwq refa anayeteuliwa na timu mpinzani.
-Polisi mwajiriwa wa ccm
-mwenyekiti wa NEC mteuliwa wa ccm
-wakurugenzi wateuliwa wa mwenyekiti wa ccm
-Walim waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm
-watendaji wa kata na vijiji waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm😂😂 afu unamlazimisha watu washiriki uchafuzi wa demokrasia.
Kwa upande wangu nimefurahi sana sijaumia.Ningeumia kama vyama vyote visingesainiSASA mnaumia nini cdm kutoshirik😂😂 nyie shindeni mpata kura zote. Cdm ishasema hakuna uchaguzi kwq refa anayeteuliwa na timu mpinzani.
-Polisi mwajiriwa wa ccm
-mwenyekiti wa NEC mteuliwa wa ccm
-wakurugenzi wateuliwa wa mwenyekiti wa ccm
-Walim waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm
-watendaji wa kata na vijiji waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm😂😂 afu unamlazimisha watu washiriki uchafuzi wa demokrasia.
Sidhani kama unaongea kwa dhati kutoka moyoni au umeegemea upande fulani ,uchaguzi wa, 2020 ulisababisha wanachama zaidi 1000 waCDM kufungwa jela na wengine kutekwa na kuuwawa wakapewa kiti kimoja. Sasa kunafaida gani ya wao kushiriki uchaguzi huu wakati mazingira sasa ndiyo mabaya kabisa kuliko kipindi kile.Afadhali wapumzike waendelee kupigania mazingira bora ya sheria nzuri za uchaguzi na katiba mpya.CCM itajitahidi kuhakikisha hivyo vyama vidogo dogo vinaweka wagombea nchi nzima ikijua hawana impact yoyote.ACT kwa uupande wazanzibar wataachi viiti vitatu kama uchaguzi ulio pita vitawasaidia na baadhi ya viongozi wao kama wakina Zito wanaweza wakapewa baadhi ya vyeo huku Tanzania bara uchaguzi utakuwa umeisha tusubiri kulrtewa maendeleo.That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Ukileta uasi utaumiaNImeanza kumwelewa Lisu, huwezi kushiriki uchaguzi ambao watu wanauliwa kama panya kisa Uenyekiti wa mtaa
Sasa unalalamika ya nini? shiriki wewe na mumeoUkileta uasi utaumia
Hata Chadema ikiingia madarakan hao wote uliowataja watageuka na kuwa waajiriwa wa Chadama.SASA mnaumia nini cdm kutoshirik😂😂 nyie shindeni mpata kura zote. Cdm ishasema hakuna uchaguzi kwq refa anayeteuliwa na timu mpinzani.
-Polisi mwajiriwa wa ccm
-mwenyekiti wa NEC mteuliwa wa ccm
-wakurugenzi wateuliwa wa mwenyekiti wa ccm
-Walim waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm
-watendaji wa kata na vijiji waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm😂😂 afu unamlazimisha watu washiriki uchafuzi wa demokrasia.
Dunia hii si ya kuringia, baada ya miaka 50 ijayo sote humu jf hatutakuwepo, tutakuwa Tunapambania maisha yetu ya kabriniHamna uhalali wa kuzuia uchaguzi.Mkijaribu kuzuia uchaguzi ambao hamshiriki ni uhaini mwingine
hao ni wahainiwatanzania wa wapi we mamaView attachment 3301454
😂😂😂Hebu tupe takwimu za hivyo vyama vingine katika chaguzi za nyuma!!. Yaan unataka kushindana na vyama ambavyo havipati hata kura moja ya Rais Nchi mzima!!. Bata kabisa..Kwa upande wangu nimefurahi sana sijaumia.Ningeumia kama vyama vyote visingesaini
Nafuu ujinga na uwoga wa Watanzania uendelee ili ustawi wa nchi uwepo kuliko ujasiri wa kujaribu kuwapa uongozi watu kama Lissu.Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
Yaapi huu ni uamuzi wa maana kabisa waliofanya cdm. Ni upuuzi kuendelea kushiriki chaguzi viini macho.That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Upumbavu wa Lissu na genge lake.Uharakati umewaponza
Lissu anafanikiwa kuiua CDM, na Mbowe yuko ana mwangalia ili yatimie tuThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Ndio picha inayotakiwa, kuliko picha ya ukondoo. Chaguzi za kishenzi ni mwiko kushiriki.chadema imejijengea picha ya uhaini kwa watanzania
Tundu Lissu ni msaliti, Sasa chadema akaungane na Spunda Hadi 2030.That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
We km una akili si ukianzishe? Au unamsubiri naniNi uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka