Kwa hesabu zangu Makusanyo ya DP World bado yapo chini kulinganisha na miaka ya nyuma 2019/20

Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja.

Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka (12 miezi). Hii ni sawa na Bilioni 75 kwa wastani wa kila mwezi mmoja (1) kwa miezi 12.

Hapa kuna tofauti ya Bilioni 10 kwa kila mwezi. Source google mapato dar Port 2019/2020.

Ushauri: DP World walete mitambo hasa ya kupakua mizigo kutoka kwenye meli. Offshore gantry cranes. Wameleta mitambo ya kupanga container sio kupakua. Bandarini inaonesha bado wanatumia mitambo ya TICTS na ile mipya miwili ya Serikali. Kimakusanyo wamekuwa chini. Mungu ibariki Tanzania muhimu tuzingatie facts..
Hapana, pesa za kampeni za ccm zinatoka hapo
 
NI KWELI DP WORLD wanatumia quay crane mbili walizochukua TPA, ambapo TPA hawakuwahi kuzitumia kabisa.

Pia DP World wameleta Terminal Trucks kama 20 hivi na used Rubbered Tyre Gantre ( RTG) 8 ambazo ni used.

Pia walileta Harbour Cranes 2 kuu kuu
Awaja wekeza kwenye ship to shore crane ata Moja. Iyo ndo kiungo muhimu kwenye upakuaji. Vitu walivyowekeza bandarini ata angepewa GSM au ROSTAM angeweza. Mimi ni CCM damu lakini lazima tuongee facts.
Hii Ship to shore awajaleta ata Moja.
images (17).jpeg

Wameleta izi rubber mounted gantry cranes. Hii naisi ni propaganda anayofanya Msigwa kuonyesha kunajambo wamefanya. Kiuwalisia hakuna uwekezaji wa maana kwanza na zenyewe used kama unavyo dai.
download (1).jpeg
 
Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    8.6 KB · Views: 1
Hapana, pesa za kampeni za ccm zinatoka hapo
Wala sio pesa za kampeni. Kampeni haitaji pesa nyingi kama unavyofikili. Lowassa alitumia pesa yake na akafanya kampeni kubwa tu. CCM kwa mapato yake ya majengo inaendesha kampeni vizuri tu.
 
Wanataka pesa ya kampeni, iwe kidogo au nyingi hutumika kwenye kampeni, fact ni kwamba Kuna hela hapo inaenda kwenye kampeni!!

Kampeni inahitaji pesa nyingi kwa mambobalimbali, logistics na mambo yasioyoonekana wazi wala kusemwa wazi!!
 
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja.

Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka (12 miezi). Hii ni sawa na Bilioni 75 kwa wastani wa kila mwezi mmoja (1) kwa miezi 12.

Hapa kuna tofauti ya Bilioni 10 kwa kila mwezi. Source google mapato dar Port 2019/2020.

Ushauri: DP World walete mitambo hasa ya kupakua mizigo kutoka kwenye meli. Offshore gantry cranes. Wameleta mitambo ya kupanga container sio kupakua. Bandarini inaonesha bado wanatumia mitambo ya TICTS na ile mipya miwili ya Serikali. Kimakusanyo wamekuwa chini. Mungu ibariki Tanzania muhimu tuzingatie facts..
Kwanza jiridhishe ni kodi ama tozo za huduma?
 
sasa hawa wamekuja kuwekeza au kuvuna kama hata vifaa na mitambo wanatumia ya kwetu na ile waliyoikuta hapo hapo bandarini wana faida gani sasa kwetu si ni bora tungeendelea na wazawa wetu wale wale wa miaka yote..au ndio ulaji wa wakubwa huo
 
Awaja wekeza kwenye ship to shore crane ata Moja. Iyo ndo kiungo muhimu kwenye upakuaji. Vitu walivyowekeza bandarini ata angepewa GSM au ROSTAM angeweza. Mimi ni CCM damu lakini lazima tuongee facts.
Hii Ship to shore awajaleta ata Moja.View attachment 3180342
Wameleta izi rubber mounted gantry cranes. Hii naisi ni propaganda anayofanya Msigwa kuonyesha kunajambo wamefanya. Kiuwalisia hakuna uwekezaji wa maana kwanza na zenyewe used kama unavyo dai.View attachment 3180345
Nakubaliana na wewe, DP WORLD wanafanya maigizo
 
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja.

Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka (12 miezi). Hii ni sawa na Bilioni 75 kwa wastani wa kila mwezi mmoja (1) kwa miezi 12.

Hapa kuna tofauti ya Bilioni 10 kwa kila mwezi. Source google mapato dar Port 2019/2020.

Ushauri: DP World walete mitambo hasa ya kupakua mizigo kutoka kwenye meli. Offshore gantry cranes. Wameleta mitambo ya kupanga container sio kupakua. Bandarini inaonesha bado wanatumia mitambo ya TICTS na ile mipya miwili ya Serikali. Kimakusanyo wamekuwa chini. Mungu ibariki Tanzania muhimu tuzingatie facts..
Kwanza hiyo 2029/20 ndio upumbavu gani?

Hiyo ndio hasara ya kutunga uongo 🚮🚮

Mwisho badala uweke source au link unaleta upuuzi wa eti google 😆😆😆

Mapato yanapanda Kila mwaka haijawahi tokea yameshuka labda miaka ya uviko 19 so matakwimi Yako ya kubumba ni uongo.

View: https://www.instagram.com/p/DDyldT6KEmd/?igsh=cjdsZzNoczY3cGNq
 
Mi mwenyewe nilifikiria kuwa hii hela ni ndogo sana tulipaswa kuzungumzia bilion 800 ila Machawa hawahangaiki na ufanisi wao ni kelele tu!
 
Kwanza hiyo 2029/20 ndio upumbavu gani?

Hiyo ndio hasara ya kutunga uongo 🚮🚮

Mwisho badala uweke source au link unaleta upuuzi wa eti google 😆😆😆

Mapato yanapanda Kila mwaka haijawahi tokea yameshuka labda miaka ya uviko 19 so matakwimi Yako ya kubumba ni uongo.

Msome mwenyewe msigwa 2023 kuhusu mapato ya 2019/2020
 
Kwanza lazima muelewe aina ya Mapato ambayo yanazungumziwa ,lakini on other side of the coin Kuna TRA ambayo imevuka 100% ya target Kwa miezi hii yote mwaka huu wa Fedha na wanawapa kongole hao DP World 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DDJZVp7qK_i/?igsh=MXFlNzdqYjRxY3dkZg==

View: https://www.instagram.com/reel/DDK2APqt3ag/?igsh=Z3F3emJqdjN1Y21s
 
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja.

Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka (12 miezi). Hii ni sawa na Bilioni 75 kwa wastani wa kila mwezi mmoja (1) kwa miezi 12.

Hapa kuna tofauti ya Bilioni 10 kwa kila mwezi. Source google mapato dar Port 2019/2020.

Ushauri: DP World walete mitambo hasa ya kupakua mizigo kutoka kwenye meli. Offshore gantry cranes. Wameleta mitambo ya kupanga container sio kupakua. Bandarini inaonesha bado wanatumia mitambo ya TICTS na ile mipya miwili ya Serikali. Kimakusanyo wamekuwa chini. Mungu ibariki Tanzania muhimu tuzingatie facts..
Toka lini mapato yakatangazwa kwa miezi 5?

Kwa report ya miezi 3 hapa

Bilioni 365 kwa miezi 3 ni sawa na zaidi ya Bilioni 120 kwa mwezi na sio 65.

Otherwise ungetuekea source ya mapato yako.
 
Watu kama nyie mnaofukua Data ni hasara kwa CCM. Serikali yetu inapenda machawa kama Lucas Mwashambwa wazidi kudanganya raiaaa
Sio hasara tu pia wanajitafutia kutekwa na kupotea familia zibaki na majonzi ya matumaini hewa miaka yote pasipo kuweka kaburi. Hakuna uchungu wa kutojua kama mtu yuko hai au ameshakufa? Kila mkimkumbuka mnajiuliza "amekufa au hajafa"?. Halafu watu wa makanisa na misikiti wanatwambia eti dhambi zote ni sawa, yaani dhambi ya mtu anayepoteza watu nakuacha simanzi ya kudumu kwa familia na mtu anayejichukulia kamchepuka "kura raha" wachomwe moto sawa??
 
Awaja wekeza kwenye ship to shore crane ata Moja. Iyo ndo kiungo muhimu kwenye upakuaji. Vitu walivyowekeza bandarini ata angepewa GSM au ROSTAM angeweza. Mimi ni CCM damu lakini lazima tuongee facts.
Hii Ship to shore awajaleta ata Moja.View attachment 3180342
Wameleta izi rubber mounted gantry cranes. Hii naisi ni propaganda anayofanya Msigwa kuonyesha kunajambo wamefanya. Kiuwalisia hakuna uwekezaji wa maana kwanza na zenyewe used kama unavyo dai.View attachment 3180345
Kabla ya Dp world Dar port ilikua na average 12,000 TEU, na Record ya 15,000 TEU kwa mwezi ila Mwezi Sept wameweka Record ya 27,000 TEU, wamewezaje na hivyo vifaa vikui kuu almost double capacity?
 
Back
Top Bottom