Kwa hesabu zangu Makusanyo ya DP World bado yapo chini kulinganisha na miaka ya nyuma 2019/20

Kwa hesabu zangu Makusanyo ya DP World bado yapo chini kulinganisha na miaka ya nyuma 2019/20

We mzee unatumia nini kufikiri? Mimi napingana nae wapi? Mimi nakubaliana nae kwa 100%, Wewe ndio unapinga unasema hayo sio mapato yote, ndio nikakuuliza hayo mengine yalete. Unasema Kuna mapato ya Adani hayajawekwa, ndio ulete Sasa tuone

Tumia akili, yaani akaitishe press aandae taarifa alafu aache kuzungumzia mapato yote ya uwekezaji wa DP world na adani? Ili iweje aiache adani? Wewe lini umewahi kuona taarifa yoyote imeandika kuhusu mapato yatokanayo na Adani? Umejiuliza kwa nini??
Bosi Bandari ina Gati 11, Gati 0-7 Dp world, Gati 8-11 Adani, Msemaji wa serikali anasema hayo ni mapato ya Gati 0-7 wewe unasema ni mapato ya Bandari nzima bado unahisi upo sawa? Nipotezee tu mkuu usinipotezee muda
 
Wewe hujui lolote. Gati 0-7 ni dp world, na TPA wo wanaoperate gati zipi?

Ninekutolea mfano kwa kuwa hukuelewa hiyo taarifa vizuri. Nakupa mfano mwingine TRA wanaposema makusanyo yameongezeka sababu ya matumizi ya EFD, tafsiri yake makusanyo wanayozungumza yanatokana na EFD tu?

Nilitegemea ungeleta hayo mapato ya Adani ili tuone hiko unachosema. Hadi sasa hivi hujaleta mapato ya adani, utakua umegoogle mpaka umechoka. Ndio uelewe
 
Kwanza hiyo 2029/20 ndio upumbavu gani?

Hiyo ndio hasara ya kutunga uongo ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Mwisho badala uweke source au link unaleta upuuzi wa eti google ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Mapato yanapanda Kila mwaka haijawahi tokea yameshuka labda miaka ya uviko 19 so matakwimi Yako ya kubumba ni uongo.

View: https://www.instagram.com/p/DDyldT6KEmd/?igsh=cjdsZzNoczY3cGNq

Wivu wa kike, hii ni sifa yetu ambayo tunazaliwa tunazeeka mpaka tunakufa nayo.

Hawezi kuzungumzia namna zile habari za wateja kuikimbia bandari yetu na kwenda Mombasa au Beira, siku hizi hakuna tena upuuzi huo.
 
Wewe hujui lolote. Gati 0-7 ni dp world, na TPA wo wanaoperate gati zipi?

Ninekutolea mfano kwa kuwa hukuelewa hiyo taarifa vizuri. Nakupa mfano mwingine TRA wanaposema makusanyo yameongezeka sababu ya matumizi ya EFD, tafsiri yake makusanyo wanayozungumza yanatokana na EFD tu?

Nilitegemea ungeleta hayo mapato ya Adani ili tuone hiko unachosema. Hadi sasa hivi hujaleta mapato ya adani, utakua umegoogle mpaka umechoka. Ndio uelewe
TPA wanashirikiana na DP World katika baadhi ya magati kwa maana ya hayo 0-7, kwenye mkataba DPW anatakiwa atoe elimu ya masuala ya shipping kwa wafanyakazi wazalendo.
 
Back
Top Bottom