Kwani hata hiyo DP World ya hapa ni ya hao waarabu, au ni ya wajanja wa hapa hapa. Usidanganyike boss ni wajanja wa humuhumu.Mwarabu atoke kwake aje kuwekeza pesa zake then ufaidike wewe? Humjui mwarabu nyie.
😀😀😀wametuzunguka. Ila kwa ule mkataba you can think tumepigwa na watu wa nyumbaniKwani hata hiyo DP World ya hapa ni ya hao waarabu, au ni ya wajanja wa hapa hapa. Usidanganyike boss ni wajanja wa humuhumu.
Ilo jambo angeulizwa msigwaKwanza jiridhishe ni kodi ama tozo za huduma?
Hiyo ni jumla ya kinachotokana na bandari, hao uliowataja aapo included.Kumbuka pale Kuna dp world, adani na ticts
Mapato yanaweza kutangazwa hata ya mwezi au miezi miwili au hata miezni minne, mitano n.k. usikaririToka lini mapato yakatangazwa kwa miezi 5?
Kwa report ya miezi 3 hapa
Bilioni 365 kwa miezi 3 ni sawa na zaidi ya Bilioni 120 kwa mwezi na sio 65.
Otherwise ungetuekea source ya mapato yako.
Umemtag huyu mwamba mzee wa mapambio kwa mamaWatu kama nyie mnaofukua Data ni hasara kwa CCM. Serikali yetu inapenda machawa kama Lucas Mwashambwa wazidi kudanganya raiaaa
Mwarabu atoke kwake aje kuwekeza pesa zake then ufaidike wewe? Humjui mwarabu nyie.
Kuna vitu unachanganya. Hayo mapato ni ya Dar port ambayo ipo chini ya Dp world. Ambapo ndio wamekusanya bil 325 kwa mwezi.Still haya si mapato ya Bandari bali mapato ya Bandari Yaliyotokana na Dp world, huna Data za TPA after Q1 mwaka huu?
Nasikia kuna hasira sana juu ya bandari ila wanasubiri muda ufike walisanue hahaha kuna mtu atafia gerezani Mungu bariki mfumoMsemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja.
Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka (12 miezi). Hii ni sawa na Bilioni 75 kwa wastani wa kila mwezi mmoja (1) kwa miezi 12.
Hapa kuna tofauti ya Bilioni 10 kwa kila mwezi. Source google mapato dar Port 2019/2020.
Ushauri: DP World walete mitambo hasa ya kupakua mizigo kutoka kwenye meli. Offshore gantry cranes. Wameleta mitambo ya kupanga container sio kupakua. Bandarini inaonesha bado wanatumia mitambo ya TICTS na ile mipya miwili ya Serikali. Kimakusanyo wamekuwa chini. Mungu ibariki Tanzania muhimu tuzingatie facts..
Jamaa aliuza ubongo wake huko kichwani amejaza matambara ya kijani tuUmemtag huyu mwamba mzee wa mapambio kwa mama
Eti nini?Mmepigwa
Dar port haipo chini ya Dp world, Dar port toka zamani imegawanyika, nimewahi Fanya kazi ICD fulani hapo Bandarini kulikua na mizigo inatolewa na Ports gati za mwanzo mpaka 5 kama bado kumbukumbu zipo sahihi, na gati nyengine walikua TICTS.Kuna vitu unachanganya. Hayo mapato ni ya Dar port ambayo ipo chini ya Dp world. Ambapo ndio wamekusanya bil 325 kwa mwezi.
Mapato ya TPA kwa ujumla yanajumuisha na ports zingine ambazo hazipo chini ya Dp world
Ndio maana huwa wanavunja BoT kwa sababu hela zao zinatosha au sio!? Sawa!Wala sio pesa za kampeni. Kampeni haitaji pesa nyingi kama unavyofikili. Lowassa alitumia pesa yake na akafanya kampeni kubwa tu. CCM kwa mapato yake ya majengo inaendesha kampeni vizuri tu.
Hata wazungu pia, tena wazungu ndio wametunyonya sana na bado wanatunyonya sanaMwarabu atoke kwake aje kuwekeza pesa zake then ufaidike wewe? Humjui mwarabu nyie.
Hakuna alichowekeza paleMwarabu atoke kwake aje kuwekeza pesa zake then ufaidike wewe? Humjui mwarabu nyie.
Sio KweliWatu kama nyie mnaofukua Data ni hasara kwa CCM. Serikali yetu inapenda machawa kama Lucas Mwashambwa wazidi kudanganya raiaaa
Hayo maziwa hayakauki tu?Hata wazungu pia, tena wazungu ndio wametunyonya sana na bado wanatunyonya sana
Mkuu hiki ulichoandika upo serious? dp world ndio operator wa dar port, lazima kazi zingine zitakua subcontracted kwa wengine. Kwani tuliposema dar port ipo chini ya TPA maana yake wale TICTS hawakuwepo bandarini?Dar port haipo chini ya Dp world, Dar port toka zamani imegawanyika, nimewahi Fanya kazi ICD fulani hapo Bandarini kulikua na mizigo inatolewa na Ports gati za mwanzo mpaka 5 kama bado kumbukumbu zipo sahihi, na gati nyengine walikua TICTS.
Sehemu ambayo Bandari wenyewe walikua wanasimamia ndio wame pewa Dp world, sehemu ambayo TICTS walikuwa wanasimamia ndio wame pewa Adani Group.
So kupata Mapato ya Bandari Dar lazima ujumlishe Gati zote including Adani.